dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UN: Watoto 620,000 wanaougua UKIMWI Afrika hawapokei dawa

    Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya ukimwi VVU. Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya, ijifunze na itoe maelekezo ya matumizi ya dawa iitwayo "Ivermectin" kwa kutibu wangojwa wa Corona

    Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona. "That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa au namna ya kutibu ulimi mzito na vyakula vya kumpa mtu aliyeungua kinywa

    Habari members. Kuna jamaa yangu alinyweshwa maji ya betri na majambazi. Mungu alimsaidia hakuimeza lakini imeathiri kinywa chake. Amekua akipata shida kutafuna na kwa upande wa kuongea ulimi wake umekua mzito. Je, kuna tunaweza kumsaidiaje ili ulimi wake urudi katika hali ya kawaida...
  4. JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Mamlaka: Ni sahihi IGP kuthibitisha usalama wa Chanjo, Tiba au dawa fulani?

    Nikiacha tamko la IGP kuwa tuwapuuze wale wanaopinga kuchanjwa Covid ambao Mh. Waziri wa Afya amewaita Vibwetere, Azim Dewji akiwashambulia kuwa wanaingilia fani zao na kwenda Mbali zaidi kwa UVCCM na baadhi ya wabunge kuwashambulia kwa maneno mbalimbali. Sitaki kuwauliz hawa wote kuwa miaka ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, Mgonjwa ana haki ya kujua jinsi dawa inavofanya kazi?

    Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili. Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbona hamjahoji kuhusu Panadol, Aspirin na ARVs kuwa wazungu wanaweza "kutufanyizia"?

    Makelele mengi kuhusu chanjo ya corona, mbona hamjahoji au kukataza dawa/chanjo tunazozitumia hospitalini leo hii? Aina za chanjo ambazo kila mtoto wa Kitanzania anazipata na zinatoka west/USA BCG (Bacile Calmette-Guérin) DTP au DPT (Dondakoo, Pepopunda na Kifaduro) Surua Polio Magonjwa haya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa nzuri ya kuua nzi

    Kama kichwa kinavyoeleza ninapoishi tumevamiwa na kundi la nzi Kama nyuki kwenye mzinga!Wanakuja mchana,jioni na hata usiku!Wanafikia nje ukifungua tu mlango wanaingia ndani. Nimejaribu baadhi ya dawa haziwaui wote!Ajabu kila wanapogusa wanaacha alama ya madoa meusi meusi!Nasubiria muda muafaka...
  8. JamiiForums Tanzania Gonjwa lisiloponyeka bila dawa

    Ukiachana na magonjwa ya kisaikolojia, kiakili, kimwili, kiroho na mengineyo mengi yale yanayozidi kubainika na kuongezeka siku hadi siku katika kizazi cha ulimwengu wa sasa; lipo gonjwa la muda mrefu, ambalo limedumu karne kwa karne. Gonjwa hili sugu ni kongwe kuliko magonjwa mengine baadhi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora na salama kwa kutumia dawa na mbolea za kibailojia (Biofertillizers and Bio pesticides)

    Habarini wana jukwaa... Mbolea za kemikali na dawa za kimekali limekuwa ni tatizo kubwa linalopelekea mabaki ya hizi dawa au mbolea katika mazao hususa ni mboga za majani. Hali hii ni mbaya maana inaweza kupelekea matatizo kwa miaka ya baadae mfano magonjwa kama kansa. Hivyo tunahitaji mbolea...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Zingatia matumizi sahihi ya dawa

    kuzingatia matumizi sahihi ya dawa ni jambo muhimu na jukumu la kila mmoja wetu, Unapopewa dawa sehemu yoyote iwe hospitali au famasi za jamii hakikisha umepewa maelekezo ya kutosha ya namna ya kutumia dawa husikana kama kuna kitu kina kutatiza ama hukielewi muulize mtaalamu wako. Dawa hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Mgala muueni haki yake mpeni, na tusisahau baniani mbaya kiatu chake dawa

    Huu ndio muonekano wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma , Ujenzi wa hospitali ya Uhuru umegharimu kiasi cha Shilingi Billioni 3.9 (Milioni 3900). Ujenzi wa hospital ya uhuru ni agizo la aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alilolitoa kwa kusema fedha...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni upatikanaji wa dawa katika hospitali za umma?

    Tumeaminishwa na Serikali kuwa mgonjwa anatakiwa kwenda hospitali za umma na atapata matibabu bure. Leo nimeenda Kituo cha Afya ya Buzuruga kumwona mgonjwa wangu sikuamini macho yangu nilipoambiwa kanunue gloves, kanunue pamba, kanununue dawa ya kusafisha jeraha nk. Hivi Mtanzania wa kawaida...
  14. JamiiForums Tanzania Kilo 1.2 ya heroin yawafikisha mahakamani

    Watu watatu wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mkoani Dar es salaam, wakikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kilo 1 na gramu 200. Washtakiwa hao ni Andrew Paul, Said Mugoha na Geroge Mwang’ata wote wakazi wa Temeke mkoani Dar es salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Dawa ni kuiondoa CCM Madarakani. Raia wana Maisha magumu kwa makusudi

    Sasa hatuwezi kuendelea kuwaachia nchi watu walioshindwa kuiendesha, haiwezekani gharama za maisha kupanda kwa kiasi kikubwa huku pesa mzunguko wake ni mbovu halafu kila siku kudumu Chama chaMapinduzi. Sasahivi kununua vifaa vya ujenzi ukiwa mipakani Tarime kutoka nchi jirani ya Kenya ni nafuu...
  16. JamiiForums Tanzania Ninaomba kujuzwa dawa kwa mtu aliyeng'atwa na ng'e

    Nina ndugu aling'atwa na ng'e mara mbili kwa wakati mmoja kutokana na maumivu makali aliyokuwa nayo alikimbizwa hospital nakupatiwa matibu zimepita siku sita sasa toka apatiwe matibabu nakumaliza dozi aliyopewa lakini leo ameanza kuvimba na kukakamaa mwili mzima. Je hii inaashiria nini? Ni...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi dawa za COVID-19 ni siasa au tuna malengo gani? SUA hiki kitu gani?

    Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita? Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Yahibitisha dawa ya asili kutibu COVID19

    Mamlaka ya Dawa ya Uganda(NDA) imethibitisha matumizi ya COVIDEX kama dawa ya asili ya kupambana na maambukizi a #COVID19 Mkurugenzi Mtendaji wa NDA amesema dawa hiyo sio tiba ya COVID-19 bali inaweza kutumika na madaktari katika kuwatibu wagonjwa wa Corona Wananchi wametakiwa kutoa taarifa ya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya jino ninapata maumivu Makali

    Linatikiska kwa Mbali na Daktari kasema haling'oleki.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, watuhumiwa tunabambikiziwa kesi za dawa za kulevya

    Saidy Hemed Abubakar amefikishwa katika mahakama ya wilaya Jijini Tanga akikabiliwa na makosa mawili ya kusafrisha dawa za kulevya lakini akaishushia tuhuma nzito Tume ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya kwamba watendaji wake si waadilifu kwani wamekuwa wakiwabambikiza watu kesi za dawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…