dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Daktari: Watumiaji wa dawa kuzuia hedhi hatarini kupata magonjwa ya MOYO

    Wataalam wa afya wametoa angalizo kwa wanawake wanaotumia dawa za kuzuia hedhi bila kuzingatia ushauri wa daktari kuwa wako hatarini kupata madhara, yakiwamo maradhi ya moyo. Daktari wa Magonjwa ya Kinamama Hospitali ya Rufani Mkoa wa Njombe, Shomari Masenga ametaja dawa hizo kuwa zimegawanyika...
  2. JamiiForums Tanzania Sabaya ole Lengai dawa ya Mafisadi, karibu tuwatibu wagonjwa wenye ugonjwa wa ufisadi, wizi na wauza madawa ya kulevya

    Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania nchi yako ili mapato ya serikali yako yaongezeke Taifa lako litekeleze miradi yake kwa fedha za...
  3. JamiiForums Tanzania Bangi Dawa na mirungi iruhusiwe kama chanzo cha Mapato

    Kutokana na Ugumu wa Maisha ni muda sasa serikali iangalie namna mbadala ya kuwasaidia wananchi wake kujikwamu kimaisha! Soko la bangi dawa lonakadiriwa kufikia USD Billion 344 kwa mwaka ( Zaidi ya Mara Tano ya uchumi mzima wa Tanzania )...
  4. JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa kuuza duka la dawa muhimu

    Medical dispenser ama nurse mwenye ADDO anahitajika kuuza duka la dawa maeneo ya Lushoto, Tanga. Inbox kwa maelezo zaidi.
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi amkute katika ofisi za Bohari ya Dawa (MSD) Jumatatu saa nne asubuhi, baada ya kubaini madudu katika ununuzi wa vifaa vya matibabu. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo katika...
  6. JamiiForums Tanzania Siri ya dawa ya saratani/ kansa (cancer) na vyakula kwenye tiba

    CHEMOTHERAPY NA TIBA YA MIONZI MATOKEO DALILI Kukosa hamu ya kula, kutapika, kuharisha, upungufu wa damu, kupoteza nywele, wasiwasi ,kukosa usingizi, maumivu, uchovu, vidonda mdomoni, yeast infection, unyogovu. SABABU Zilizotajwa hapo juu ni baadhi ya dalili za matibabu ya saratani ya sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujua dawa mbadala ya vidonge vya once a day Kwa ajili ya vitamini vya macho

    Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini nilipokuwa nameza sikupata nafuu nikaamua kwenda Muhimili kwa bima niliyokatiwa na mzazi baada ya vipimo...
  8. JamiiForums Tanzania Dawa ya PrEP inavyotumika kuepuka maambukizi ya VVU

    Ikiwa 'umeuza' mechi au kondomu imepasuka, basi usihamaki kwea bodaboda fasta wahi hospitali ya karibu na jipatie PEP kwa siku 28 na utakua safi. TAHADHARI: Utapewa PEP baada ya kupimwa HIV na kuonekana NEGATIVE pia utapaswa kupitia hatua kadhaa za mahojiano (ya kukera) utawekwa kwenye foleni...
  9. JamiiForums Tanzania TMDA: Wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume watakufa

    Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini. Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Dawa ya wadudu wanaoshambulia mahindi yanayoota

    Wakuu salaam, Naomba mwenye kujua dawa ya wadudu wanaoshambulia mimea aina ya mahindi anijulishe.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa bibi Tu Youyou aliyefanikiwa kuvumbua dawa ya kutibu malaria ya Artemisinin miaka 50 iliyopita

    Leo tarehe 25 Aprili ni Siku ya Malaria Duniani. Kwa maelfu ya miaka, vita vya binadamu dhidi ya malaria havijawahi kukoma. Katika miaka ya 1960, Bibi Tu Youyou na timu yake hatimaye walivumbua artemisinin yenye ufanisi wa kutibu malaria baada ya kuchunguza mamia ya dawa za jadi za Kichina...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali: Mteja ana haki ya kuona cheti cha mtoa huduma wa duka la dawa

    Wizara ya Afya kupitia Baraza la Famasi Tanzania itayafungia maduka yote ya dawa ambayo hayajasajiliwa wala kuwa na vibali na kuchukua hatua za kisheria. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es Salaam na Msajili wa Baraza la Famasi Bi.Elizabeth Shekhalage wakati wa ukaguzi unaoendelea nchini...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Geoff Leah awakebehi wana simba redioni: Asema dawa ya moto ni moto

    Kijana anatamba hapa kazini kwake anaongea kwa dharau kwelikweli anawashangaa wana simba wanalalamika nini/ anauliza mbona wamechoka mapema ?anasema dawa ya moto ni moto, kijana kwa hakika kajipanga kuichafua simba, hongera sana |Geoff leah wewe ni shupavu kwelikweli Wenzako hapo studio...
  14. JamiiForums Tanzania Vipele baada ya kunyoa nywele sehemu za siri (Mavuzi): Matibabu na Dawa/mafuta ya kupaka ili kuzuia vipele na weusi

    Wakuu nawasilimieni nyote, Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, Nimejaribu kabla ya ku-post uzi huu kuona kama kuna uzi ulishawisilishwa humu wa namna/njia/dawa/mafuta maalum yasiyo na madhara ya kutumia kumpaka shemeji/wifi yenu ili kuzuia vipele na weusi aneo letu (lake) la ikulu baada...
  15. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Wilaya ya Chato yakumbwa uhaba mkubwa wa dawa

    HOSPITALI ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita, inakabiliwa na uhaba wa dawa hali inayotishia baadhi ya wagonjwa kupoteza maisha. Wakizungumza na Nipashe baadhi ya wagonjwa na ndugu katika hospitali hiyo, wamesema wanalazimika kutumia fedha nyingi kupata matibabu kutokana na kutakiwa kununua dawa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo: Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Matumizi ya dawa za kulevya yamekuwa 'fashion'

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, George Simbachawene amesema kwa sasa, si ajabu kukuta pengine matumizi ya Dawa hizo yanafanywa hata na watu wenye nafasi kubwa, akieleza "Hali hii iliendelea tutakuwa na Taifa gani kesho?" Akiwa Bungeni, Simbachawene amesema ameamua...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa napoweza kupata dawa hizi

    Wakuu kumradhi, nina uhitaji wa hizi dawa kwa ajili ya mzazi wangu, mko niliopo nimetafuta sana hamna, tafadhali msaada!
  19. JamiiForums Tanzania Marekani yamshikilia kiongozi wa Yakuza kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya

    Marekani imemkamata kiongozi wa kundi la yakuza la Japan na wanaume watatu wa Thailand, wakiwatuhumu kwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini na methamphetamine na kujaribu kupata makombora ya kutoka ardhini hadi angani yaliyotengenezwa na Marekani kwa ajili ya makundi yenye silaha huko...
  20. JamiiForums Tanzania Anayejua Bei ya shelf za mbao za Duka la dawa tafadhari

    Msaada tutani! Naomba anayejua Bei ya shelfu za mbao Kwa ajili ya Duka la dawa tafadhali. Natanguliza Shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…