Da‘wah (Arabic: دعوة, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.
Amani iwe nanyi...
Nimetamani kuuliza jambo hili kwa muda kidogo, ni kuhusu hizi dawa ambazo wansema zinasaidia katika masuala mazima ya uzazi ikiwemo kutibu magonjwa kama vile PID, FUNGUS,. UTI na mengine kemkem!
Ninachoomba kujua kuna mtu amewahi kutumia na zikamsaidia?!
Asante.
Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake.
Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
Wadau ninateswa na chwa kwenye site ambayo ninaendelea na ujenzi. Nyumba bado haijaisha ili watu kuhamia lakini ghafla wamejitokeza mchwa na kusababisha vishimo shimo ndani ya vyumba 2. Baadae tukagundua kuwa unatokea kwa nje ambako kuna onekana pia kuna mashimo ya kichuguu. Na tangu awali...
Salaam wanajamvi,mm nauliza dawa nzuri yakuua nyasi kwenye shamba la kahawa bila kuathiri Miche ya kahawa.naomba kwa walionauzoefu au utaalam juu ya hili suala wanisaidie.nawasilisha
Habari za usiku wanajf,
Bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe.
Pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana.
Atumie dawa gani
Habari za usiku wanaJF, bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
Mungu ni mwema nyote Mabibi na mabwana!
Imesaidia wengi japo baada ya muda hurudi Tena nawewe unaweka Tena.
Chakufanya. Nunua ugoro kulingana na ukubwa wa paa lako(nyumba) Nunua Grease oil (grisi) changanya na paka sehemu wanayoingilia na kutokea ama toboa signboard panda juu paka mbao za...
Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani.
Ni hivyo tu shukrani
Wadiz
Habar wakuu msaada wenu wa mawazo binti yangu ana miezi saba kamili sasa.
Awali ya yote tangu ijumaa kaanza kuugua malaria akapewa doze ya mseto, sasa tangu alfajiri ya leo kaanza kuharisha na na tumbo kulisikia kama linatoa sauti. Kaharisha mara 13 tangu alfajiri.
Asubuh tukachukua jukumu...
Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako
Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako?
Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi?
2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aina ya Range Rover Sport HSE, Magomeni Mapipa, Mtaa wa Idrisa, jijini Dar es Salaam karibu na Bar ya Chipolopolo leo Jumanne, Septemba 24, 2024.
Mwananchi ambayo ipo eneo la tukio inasubiri polisi wafike eneo hilo...
Salaam wakuu.
Waliosoma Cuba level za PHD washanielewa. Upi msemo at least unatia moyo.
NB: please usitaje jina lolote, kwenye comment majibu ya jicho la 3D yatapendeza sana
Nawasilisha.
TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO
1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV's) ili kunenepesha mifugo yao.
2. TMDA inapenda kukemea...
Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa kidogo tuu zamatumizi kama ya sikumbili kutokana na uchache aliokua nao,kiukweli nilitumia ndani yahizo...
Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.
Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.