Wahitimu 173636 Wa Darasa La Saba Kukosa Nafasi Nini Maana Yake

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
Hii taarifa ya wahitimu 173636 wa darasa la saba kukosa nafasi za sekondari kwa sababu ya uhaba wa madarasa linaingia akilini kweli.
 
IMG_20191206_005821.jpg
 
Pesa za kununulia ndege zipo ila za kujengea madarasa hakuna? Hivi hii nchi haina mipango wala takwimu kujua watakaomaliza ni wangapi na shule zina uwezo gani wa kuwapokea, mpaka wamalize ndio mnaanza kuhangaika pa kuwapeleka, hayo madarasa ya kujengwa kwa siku 86 yatakuwa imara kweli yasije yakatukuta ya Nairobi leo Ghorofa kufunika maelfu.
IMG_20191206_131743.jpg
 
Uhaba wa waalimu itakuwa . Walimu tuliomtaani tuungane kuanzisha international school zetu. Madent wote
 
Hii taarifa ya wahitimu 173636 wa darasa la saba kukosa nafasi za sekondari kwa sababu ya uhaba wa madarasa linaingia akilini kweli.
Sarkali iache ubinafsi inabidi ishirikiana na shule private kwa kuewake ada elekezi ili shule zinazo weza uwapokea hao wanafunzi za private zifanye hivo ili serikali ilipie hiyo gharama....mda wakufanya watoto wetu kua mtaji wa siasa unagharimu hi nchi sana arafu wanao umia zaidi niwale watoto wamasikini wasio kua na uwezo wakulipia shule za private
 
Wanaenda kusoma juu ya bombadia na chini ya mfugale we are in the rait tarck
 
Kwani serikali ingeamua kusema kuwa wamefeli ungefanyaje? Ni busara ya serikali kuhakikisha wote wanaenda shule waliofaulu.
 
Hivi serikali imefanyaje kutok kufauli 12 kwenye darasa la 230 mpaka 200 kwenye darasa hilo hilo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom