Ruvuma: Mwanafunzi wa Darasa la 6 afariki katika harakati za kutoa mimba

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,545
Mwanafunzi Monica Ponera wa darasa la 6 Shule ya Msingi Mtumbatimaji Wilaya ya Namtumbo, Ruvuma, amefariki baada ya kufanyika kwa jaribio la kutoa mimba ya Mapacha wawili kwa njia ya kienyeji, inadaiwa Mwanafunzi huyo alipelekwa kwa Mganga wa Jadi na Wazazi wake ili kutoa mimba.

mwalimu_mbaroni_kwa_kumpa_ujauzito_mwanafunzi_h24261_0eb62.jpg

(Picha haihusiani na mwanafunzi aliyefariki)​
 
Hii ni mbaya sana, elimu itolewe kwa wazazi pindi watoto wao wanapopata mimba kwamba solution sio kuitoa.
 
Wandendeule wa mgombasi mpaka mtumbati Maji waache ngoma za usiku na miziki ya usiku hasa kipindi hiki cha kiangazi hii inawafanya wapate mda wa kulambana alolo
 
Back
Top Bottom