SHEHE wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Nurdin Mbawala amesema watoto wa kike kuanzia darasa la nne wanatumiwa na wazazi wao kuuza pombe za kienyeji hivyo kuhatarisha usalama wao.
Aidha amesema hali hiyo inawaweka watoto hao katika hatari ya kutumika katika ngono wakiwa...