dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Jiji la Dar ikifika Jumamosi, Lodge, Guest na hotel za nyota ndogo zote hujaa. Shida nini hasa?

    Siku hizi kama unatoka safari kuja Dar, basi jitahidi usifike huku Jumamosi usiku, wallahi utalala stand.
  2. M

    RC Chalamila, PR yako ya kumsafisha rais juu ya shida ya Maji jijini wana Dar es salaam hatudanganyiki

    Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam. Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
  3. Mvua Ya Algeria kama Ya Dar tu

    Imeripotiwa kuwa mvua kubwa inanyesha nchini Algeria especially eneo ambalo Watani watacheza kesho. Itabidi tuzidishe maombi
  4. Cecil David Mwambe - Wawekezaji Mradi wa LNG badala ya Kutumia Bandari ya Dar es Salaam Watumie Bandari ⛵ na Uwanja wa Ndege wa Mtwara na Lindi

    MHE. CECIL MWAMBE - MRADI WA LNG WAWEKEZAJI WATUMIE BANDARI NA UWANJA WA NDEGE WA MTWARA NA LINDI BADALA YA DAR ES SALAAM Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Mhe. Cecil David Mwambe wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati amesema ni vyema wawekezaji wa mradi wa LNG badala ya kutumia Bandari ya Dar...
  5. Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

    Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali. Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...
  6. Zambia yaipongeza Tanzania kwa maboresho bandari ya Dar es Salaam

    Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji wa Serikali ya Zambia Mhe. Frank Tayali ameipongeza Serikali ya Tanzania na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania-TPA kwa maboresho makubwa ya kimiundombinu yanayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Akizungumza wakati akifungua Kongamano la...
  7. Majaribio ya SGR Dar mpaka Morogoro yakwama, Vichwa havijakamilika kutengenezwa

    Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi. Soma pia: Uzi mkuu...
  8. Jamani, huwa mnapumzika wapi mkiwa Dar?

    Nina mgeni wangu anakuja kutoka mahali fulani, sitaki afikie kwangu. Nataka nitafute Beach House nzuri, sea viewing. Sio mbaya hata kama nikipata çlassic jungle House eneo tulivu. Iwe imezungukwa na bustani nzuri, miti, na sio mbaya ikiwa na ka swimming pool. Au nyie wenzangu huwa mnapumzika...
  9. Bwawa la Kidunda Kuleta Ahueni Wakati wa Kiangazi Kwa Wakazi wa Dar na Pwani

    SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi Bwawa la Kidunda litakalojengwa mkoani Morogoro na kugharimu sh bilioni 335. Bwawa hilo litakua na uwezo wa kuhifadhi maji kwa miaka mitatu mfululizo. Akiwasilisha taarifa...
  10. Mkuu wa Mkoa was Dar es Salaam tuma watu wako Mbezi Louis

    Tahadhali ubungo stendi ya daladala si salama. Stend ya daladala njia ya ngazi inayounganisha stend yq juu na chini sio salama. Sio usiku mchana Wala jioni watu ni wengi sana. Lete watu wenu wananusalama wasaidie yaani msongamano madhara makubwa yatatokea. Wizi. Magonjwa. KERO. Nktafadhalini
  11. Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

    Habari ndugu zangu leo sina mengi naomba mwenye ramani ya mkoa wa dar es salaam inayoonesha mipaka ya wilaya na mitaa yake aniwekee hapa kwa mfumo wa PDF au picha kwa mfumo wa JPGE/PNG nina uhitaji nayo muhimu sana, nitashukuru sana kwa msaada huo. Mungu awabariki, karibuni sana canada.
  12. Just In: Wachezaji mahiri Watatu wa USM Alger FC jana hawakucheza Dar es Salaam kwa Mkapa

    Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto. Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7 Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
  13. Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

    Hellow africa Acheni sifa ambazo wengi mnazibeza kuhusu wanaume wa dar japo nyingi ni za uongo msingekuwa mnatoka mkoani kuja kufwata penzi dar Il uwe mwanaume wa dar must having money Sifa za mwanaume wa dar Kwaza tupo smart kuliko kawaida na wasafi sana yaani tunapiga pamba kali af kwa bei...
  14. SoC03 Faida za Kubinafsisha Bandari ya Dar es Salaam ni Nyingi. Lakini Changamoto Tatu (3) Zinapaswa Kudhibitiwa Ili Tuweze Nufaika Zaidi

    UTANGULIZI Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni moja ya bandari kubwa na muhimu zaidi barani Afrika, imekuwa chanzo cha fursa na maendeleo kwa Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo kuhusu ubinafsishaji wa bandari hii ili kuongeza ufanisi, kupanua huduma, na kuchochea ukuaji wa uchumi...
  15. M

    Dar es Salaam imeitika na Tanzania imesimama, Mageti yafunguliwe isije kuleta maafa mengine

    Ninachokishuhudia hapa benjamini mkapa ni rekodi ya aina yake kwa nyomi ya mashabiki waliojazana hapa, na bado barabara ziko bize uelekeo ni benjamini mkapa, hakika ni mechi ya kihistoria, Serikali walipaswa kufungua mageti kuanzia saa 2 asubuhi ili kuepusha maafa yanayoweza kutokea hapa, watu...
  16. Natafuta kazi yeyote ya kiume

    Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam. Kazi yeyote nafanya Kwa mawasiliano: 0672780428
  17. Dar: Barabara ya Nyerere makutano ya Shaurimoyo kufungwa kwa miezi minne kupisha ujenzi wa daraja

    Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika. Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
  18. MBIO ZA MWENGE KERO DAR

    Maeneo yanayopitiwa na mbio za mwenge wananchi wanateseka bila sababu. Chukulia mfano leo mwenge ulikuwa unaenda kuzindua barabara iliyojengwa kiwango cha zege kuanzia eneo linaloitwa sauzi mpaka matosa kuelekea njiapanda ya goba. Cha kushangaza barabara ilifungwa tangu jana kuanzia msikiti...
  19. D

    Niagize business cards nikuletee mpaka ulipo Dar (free delivery) 25,000/= kwa 100pcs (design+printing+delivery)

    Habari? Je unahitaji BUSINESS CARDS? wasiliana nami leo niweze kukufanikishia.. Business cards 100 kwa Tsh 25,000/= tu UNAHITAJI VIPEPERUSHI? Kwa mahitaji ya Vipeperushi pia unaweza wasiliana nami ili niweze kukufanikishia PCS 100 KWA TSH 40,000/= TU.. Wasiliana nami: Whatsapp/ 0765 680 241
  20. Fundi plaster anahitajika Haraka-Site Bunju Dar es salaam

    Asante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…