dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Restaurant gani Dar es Salaam ninaweza kupata WIFI yenye kasi zaidi?

    Za sahizi binadamu wenzangu. Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB. Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Kuna mpango wowote wa kuibadilisha Dar es salaam kuwa New City?

    UTANGULIZI Kwa sasa dunia inabadilika sana, kila nchi inaweka mipango ya kuibadili miji mikokwe na kuwa miji ya kisasa. Kwa upande wa Dar es salaam, mji huu umekuwa ni wa zamani zana lakini miundombinu iliyo mingi bado ni ya kizamani kama mji ulivyo. Tukianza na mfumo wa maji taka, tangu mji...
  3. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam lakubwa na uhaba was Maji.

    Ni mawiki Sasa mji mzima sehem za milima milima maji hakuna. Hakuna kwenda toilets. Yaani ni mwendo wa kunawa. Tunakoelekea watu watafunga. Alichosema mh waziri wa tamisemi ni sawa kabisa viongoz wanajifungia maofisini
  4. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar hawapendi wageni

    Tuache utani watu wa Dar wengi hawapendi wageni kabisa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada sehemu ya kupata Vitamin D3 yenye K2 kwa Mwanza au Dar

    Ndgu zangu naomba msaada sehemu gan nitapata Vitamin D3 yenye K2 Kwa Mwanza au Dar
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watu wa mkoani wanaoishi Dar: Pangeni mjini na nje ya mji

    Mwaka 2020 jirani yangu alifukuzwa na mama mwenye nyumba wake (muhaya) usiku. Alikuwa na mke na watoto watatu. Hakuwa na pa kwenda. Kwa kuwa alikuwa na mazoea na Mimi (tulikuwa tunakunywa wote plus wote Yanga) akaja kuomba msaada kwangu. Msaada nilio mpa: 1. Nilimpa Hifadhi yeye na...
  7. JamiiForums Tanzania Dar: Watu Wawili kizimbani wakidaiwa kubaka

    Vijana wawili, Erick Filbert (27) na Jafari Said (23) wakazi wa Wilaya ya Temeke wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Wilaya ya Temeke kwa mashtaka ya ubakaji. Wawili hao wamesomewa mashtaka yao wanayodaiwa kuyatenda kwa nyakati tofauti na Wakili wa Serikali, Amedeus Mallya mbele ya Hakimu Mkuu...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii
  9. JamiiForums Tanzania Ni ujuzi gani wa kuongeza thamani ninaweza kujifunza kwa mwezi mmoja hapo Dar es Salaam, Nairobi au Kampala?

    Wakuu nawasalimu katika jina la Jamuhuri. Natarajia kuwa mapumziko ya mwezi mmoja katuka moja ta majiji ya EA DSM, Kampala, Nairobi au Kigali, Nataka kuyatumia pamoja na mambo mengine kuongeza na kujinoa kwa ajili ya kuwa bora zaidi. Naweza kusaidiwa mahali pa kujifunza ujuzi wowote kwa mwezi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Dar port's $357m upgrade bears fruit, topples Mombasa from perch Sunday May 28 2023 The East Africa

    Dar port's $357m upgrade bears fruit, topples Mombasa from perch Sunday May 28 2023 The East Africa Kenya and Tanzania have been competing as the preferred entry point by Uganda, Rwanda, Burundi, South Sudan and the DRC. IN SUMMARY Mombasa has been losing business to Dar es Salaam, as...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani...
  12. JamiiForums Tanzania Mwezi wa 10 nataka kupanda ndege nakuja Dar. Naombeni ramanI ya kutoka uwanja wa Nyerere hadi Mbezi

    Wakuu za jioni. Mwenzenu nataka kujipongeza (Kwa jinsi mambo yanavyoenda kadri nilivyotarjia) Kwa kupanda ndege kutok mbeya Hadi Dar via Precision air maana hizo zingine nimeon gharama sana. Sasa nikifika uwanja wa nyie napita wapi na wapi hadi kufika mbezi?
  13. JamiiForums Tanzania Dar: Afungwa Jela maisha kwa kumlawiti Mtoto

    Mahakama ya Mwanzo Kinondoni, imemhukumu Charles Deus, kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa chini ya miaka 16. Hukumu hiyo imesomwa na na Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kinondoni, Rahim Mushi, akisema mahakama imejiridhisha kuwa mshatakiwa amefanya kosa ilo...
  14. JamiiForums Tanzania Tender Inviting Bids for renovation of the public toilet in the India House Dar es Salaam

    The High Commission of India, Dar es Salaam invites sealed quotations for work of renovation of the public toilet in the India House Dar es Salaam. The tender Document shall be available for collection by applicants from 28.08.2023 to 11.09.2023 upto 1500hrs from High Commission of India...
  15. JamiiForums Tanzania Asanteni kwa Kumbakiza kwa Mganga wa Kienyeji Tanga Mchezaji Aubin Kramo tokea Fainali ya Community Shield na kurejea Dar Juzi

    Na hapa GENTAMYCINE nawaonya wazi kuwa acheni kudhani kuwa Winga Machachari Aubin Kramo karogwa na Yanga SC ila ukweli ni kwamba Karogwa na Mchezaji Mmoja maarufu wa Simba SC kipenzi cha Kocha ila asiyeaminika na Mashabiki. Niliwaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hakikisheni kabla ya Ligi Kuu...
  16. JamiiForums Tanzania Askari Polisi 6, Maafisa wa TFS wawili na Walinzi Binafsi 11 watuhumiwa kujeruhi Bodaboda na kusababisha vifo vyao

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji kwa kina askari wa Kampuni ya ulinzi PASCO LTD 11, Maafisa wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) wawili na askari Polisi 6. Kushikiliwa kwa watu hao kunatokana na tuhuma za kujeruhiwa kwa watu wawili ambao baadae walipoteza...
  17. JamiiForums Tanzania Dar: Upelelezi kesi ya Watumishi 16 waliopiga Tsh. Bilioni 8.9 za Halmashauri ya Jiji Wakamilika

    Upande wa mashtaka katika kesi inayowakabili watumishi 16 wakiwemo wahasibu wa Jiji la Dar es Salaam umedai upelelezi umekamilika wanaandaa taarifa kwa ajili ya kuituma Mahakama Kuu. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 143 likiwemo la kuisababishia hasara jiji hilo zaidi ya Sh8.9 bilioni...
  18. JamiiForums Tanzania Itakuwaje DP World ikimuuzia China bandari yetu ya Dar es kwa mkataba wa milele!?

    Mwendo wa kimyaaa kimya huku wakingoja watu wasahau tukisha sahau tutaiona bendera ya waarabu inapepea pale bandarini kimya kimya na hakuna hata gazeti litalo andika! tukianza kelele mwarabu anamuuzia MoU mchina,mpaka hapo Watanzania tutakuwa tumepotezwa mbaya,tukitaka kumpokonya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

    Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja. Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania when you come to Dar es Salaam, do not wish to leave without reaching the fishermen's camp

    morng Its weekend again 26/08/2023 ni siku ya vibe nikualike au nikukumbushe wewe ambaye unatamani kutoka leo na upajui wapi kwa kwenda lakini pia wewe ni new comer in Dar es salaam unahitaji kutoka na ujajua ni sehemu gani mzuri ya kwenda kuondoa stress bas sehemu ni moja tu WAVUVI KEMP pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…