dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Kesho, Panapitika: Waziri Bashungwa

    MAWASILIANO YA BARABARA DAR - LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi - Dar es Salaam ambapo tayari eneo la somanga limeanza kupitika na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

    Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami. Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ombi, ushauri au ufafanuzi ofisi za NACTE ofisi za Dar es Salaam

    Habari zenu ndg zangu, Ndugu zangu naomba ufafanuzi au ufahamu na ufafanuzi juu ya hali anayopitia mdogo wangu, mdogo wangu kafuata TRANSCRIPT yake ofisi za NACTE DAR tarehe 29/05/2024 akajibiwa arudi baada ya may-mosi yaani tarehe 02/05/2024 na akarudi tarehe hzo lakini alijibiwa MTANDAO UPO...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Siku ya tano sasa NACTE wanasema kuna tatizo la mtandao kutoa transcript, nifanyaje?

    Habari zenu ndg Watanzania na wasio Watanzania tulioko humu ndani? Ndugu zangu awali ya yote poleni na majukumu zaidi shukurani kwa MUUMBA. Ndungu zangu nipo mbele zenu kwa ombi moja la kuomba ufafanuzi, ushauri juu ya hali anayopitia mdogo wangu hapo ofsi za NACTE Dar, mdogo wangu huyu ni...
  5. JamiiForums Tanzania RE/MAX Coastal, Coral Property zazindua mradi wa nyumba za gharama nafuu jijini Dar

    Katika mpango unaolenga kuunga mkono juhudi serikali za kuhakikisha kunakuweko na nyumba za makazi bei, kampuni ya ya RE/MAX na ile ya Coral Property zimezindua mradi wa nyumba mpya za bei nafuu wa Sky Royal, mtaa wa Morocco Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi. Nyumba na Maendeleo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali Dar es Salaam

    s
  8. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Ndani ya Saa 72

    MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es...
  9. JamiiForums Tanzania LATRA yaruhusu Mabasi ya Dar - Mtwara yapite Barabara ya Songea, Makambako, Iringa kwa dharura

  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi atoa maelekezo mawasiliano Barabara ya Dar - Lindi yarejee ndani ya Saa 72

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili. ==== Serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Barabara kuu Dar-Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
  13. JamiiForums Tanzania TMA: Kimbunga “HIDAYA” kipo umbali wa Kilomita 120+ kutoka Pwani ya Dar es Salaam

    Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 12:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu na maeneo ya pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia saa 9 usiku wa kuamkia leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban...
  14. JamiiForums Tanzania LUKU za Maji zinakuja lini jamani ili haya mabili ya kubambikiziana yaishe?

    Naomba nikikumbukushe Mhe. Waziri Mama Samia alituhidi Mita za Maji na akasema hataki tena kusikia mambo ya kubambikiziana bili ya yule peleka huku ya huyu weka kule zife Kiukweli inasikitisha inatia aibu hasa Dar es Salaam ongezeko la mabili linaendelea kama kawaida ..unit wanazokupa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Safisha eneo lako Dar iwe safi

    SAFISHA ENEO LAKO DAR IWE SAFI Hapo zamani za kale ilijulikana kama mzizima ila kwa sasa hivi inaitwa Dar es salaam ni mkoa wa nchini ya Tanzania pia ni moja wapo la jiji la Tanzania, inawakazi wengi sana kuliko mkoa mwengine wowote Tanzania na ni mkoa mdogo kieneo ukilinganisha na mikoa...
  16. JamiiForums Tanzania Tupeane connection ya machimbo yanayouza mchele, maharage njano soya combati, choroko, njugumawe, kunde hapa Dar

    Mimi mfanyabiashara wa duka ra rejareja nipo Dar mabibo, nahitaji maharage, choroko, kunde, njugu mawe, karanga kwa bei ya shamba. Kama upo mkoani ukileta mzigo Dar nitafute Namba 0788768480
  17. JamiiForums Tanzania Bashungwa Aagiza Kukamatwa kwa Mkandarasi anayejenga Daraja la Mpiji Chini - Dar

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni (OCD), Mohamed Senkondo, kumshikilia Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG), anayetekeleza ujenzi Daraja la Mpiji Chini (mita 140) pamoja na barabara unganishi (km 2.3), ahojiwe ili...
  18. JamiiForums Tanzania Zena is looking for a job as a housekeeper at your home, office, 5 star ⭐️ hotel or lodge: available immediately in Dar es Salaam.

    Looking for a meticulous and reliable housekeeper to maintain the cleanliness and organization of your home or office? Meet Zena! With expertise in dusting, cleaning, ironing, and caring for various furnishings including wooden, leather, and velvet pieces, Zena ensures your space remains...
  19. JamiiForums Tanzania Speech of Kalisha Holmes, Spokesperson from U.S. Embassy Dar es Salaam on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections

    Speech at MCT Stakeholders Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections Ladies and gentlemen, distinguished guests, I bring you greetings on behalf of Ambassador Michael Battle, the U.S. Ambassador to Tanzania on this special occasion. He sends his deep regrets that he...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nabii J. Steven: Dar yapona ghadhabu ya Mungu, mafuriko yasitishwa

    Salaam, Shalom. Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko. Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama, Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…