dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam vijana jogging - tarehe 29/08/2021

    DAR ES SALAAM VIJANA JOGGING Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Comrade Mussa Kilakala unawakaribisha Vijana wote Mkoa wa Dar es salaam katika Uzinduzi wa DSM VIJANA JOGGING utakaofanyika siku ya Tarehe 29/08/2021. MGENI RASMI Comrade KENANI KIHONGOSI...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

    Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi. USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
  3. JamiiForums Tanzania Bolt, Uber na Taxfly hawa madereva ndo chanzo cha foleni Dar

    Wakubwa tafiti ndogo hawa majamaa, wanaendesha magari kama mabovu vile pole poleeee hata kama barabara nyeupe mnarundika foleni ndefuuuu, kumbe mbele kuna IST sijui raumu upuuzi mtupu. Rekebisheni driving zenu bana mnaboa sana
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo la Umeme kukatika kwa muda mrefu limerudi tena Dar es Salaam

    Habari Ndugu zangu popote pale mlipo Leo nimeingia Ofisini kwangu Mida ya saa 3 asubuhi ninakuta umeme umekatika. Na mpaka sasa ninapo andika ujumbe huu saa 7 na Daakika 55 mchana bado pakavu. Ndo najiuliza je, Tumesharudi Misri kwenye swala la upatikanaji wa umeme Mjini? Maana katika kipindi...
  5. JamiiForums Tanzania Tukio la Mauaji Dar, ni Ujambazi, Kisasi au Ugaidi? Tujifunze kitu

    Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio kubwa kimedani na linatulazimisha tuweke kando siasa zetu chafu tukae chini na tutafakari na...
  6. JamiiForums Tanzania Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la. Ngoja tuendelee kutega sikio
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar es Salaam: Rais Samia akutana na Raila Odinga

    Ikulu ya Magogoni leo Mchana Rais Samia Suluhu Hassani leo Jumatano Agosti 25 amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Raila Odinga
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taarifa zinarindima za gaidi mmoja anavyotikisa Dar, poleni watani

    Jamaa kama hawa ndio huwa wanatuibukia hapa Kenya wakiwa kundi, wana ujasiri sana wa kujitoa mhanga, naona taarifa huyu mmoja amewanyima amani sana huko Dar, bora kaliwa shaba kabla hajafanya maafa zaidi, jamaa alikua amejianika barabarani. Huku kwetu wakija huingia kwenye shopping mall na...
  9. JamiiForums Tanzania Ni lipi basi zuri la Dar - Mwanza?

    Ni basi gani zuri kwasasa nikiwa na maana sio uzuri tu wa muonekano wa nje na ndani bali pia ambalo linaweza nifikisha mapema ukilinganisha na mabasi ya kampuni nyingine. Mana kuna yale mabasi ambayo ukitoka hapa Dar saa 12 asubuhi Mwanza unafika kuanzia saa saba usiku sasa haya mabasi hapana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahita Frame ya Duka

    Wadau Salaam! Inaitajika Frame ya kuweka duka la vitu vya ndani (chakula na groceries) kwa jumla na lejareja, liwepo sehemu yoyote Dar yenye mkusanyiko na mzunguko mkubwa wa watu. Mwenye tarrifa naomba ani DM. Shukurani!
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi ipo ligi yake. Dar bado sana.

    Tazameni jinsi Naironi inazidi kukua kwa kasi. Majengo ya aina ya apartments yanazidi kuchipuka kila siku. Tazama hii high density cluster ya apartments ambayo haiwezi kupatikana huko kwenye nchi ya malazy.
  12. JamiiForums Tanzania Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

    Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua. Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka? Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia...
  13. JamiiForums Tanzania Market price ya mafuta ya alizeti Dar (Jumla na rejareja)

    Salaam wadau, Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts" Ahsante.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Raha za kuishi Dar es Salaam

    Dar es Salaam ni mji wenye mchanganyiko wa makabila, kutokana na shughuli za kibiashara za mji huu na mengineyo. Dar unaweza kupata chakula cha aina yeyote unachokijua duniani. Kuna migahawa ya Wanigeria, huko konono wa kukaanga ni deli-case. Kuna migahawa ya watu wa Kusini, huko samaki...
  15. JamiiForums Tanzania Counselling Psychology course in Dar

    Habari ndugu, Samahani naomba kwa anayefahamu ni chuo gani kilichopo DAR kinatoa course ya Counseling au Counselling psychology kwenye level ya post graduate. Natanguliza shukurani. Regards Aqua
  16. JamiiForums Tanzania Usafiri wa mabasi ya Moshi kutokea Dar

    Habari zenu mabibi na mabwana, Naombeni kuuliza usafiri wa kutokea Dar ni basi lipi zuri na kujua nauli zao ni kiasi gani lile la hali kati ama ambalo linaenda na unafuu wa tozo,Basi linaloanzia Shekilango ama Mbezi napo nijue,
  17. T

    JamiiForums Tanzania Basi gani zuri luxury Arusha Dar

    Habari wandugu. Nina safari ya Arusha hivi karibuni. Naomba kufahamu gari zuri luxury naweza kupanda nikafurahia safari. Ahsante.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa waume wengi wa Dar es Salaam

    Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume, wanadai kuwa tatizo hili linawapata ni kwasababu wanapenda sana Chipsi. hii sio kweri kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Wazee Wanaenda wapi hapa Dar es Salaam

    Wasalaamu wakuu. Kuna uwezekano mkubwa ya kuwa wanaume tunapotea mapema sana hasa kwenye hili jiji. Yaani June nilienda kijijini nimekutana na wazee wa miaka hiyo bado wanakula nchi. Lakini hapa Dar unaweza kaa mwaka usikutane na hata na mzee mmoja. La pili, nimekumbuka ile hafla ya makonda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…