Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Kwa watu ambao tumewahi kuendesha gari nchi zaidi ya moja, ukija kuendesha hapa nyumbani hasa Dar es Salaam unaweza kutamani kupiga watu makofi.
Madereva wengi wa Dar hawana rush hour, sa 2 asubuhi ama sa 1 asubuhi wakati watu wana haraka ya kufika kazini unakuta mtu anaendesha gari kama vile...
Sasa kila kitu kimeanza kuwa wazi kuwa kumbe hili taifa lina watu wasiofaa kabisa.
Ukiwadhibiti ili wasifanye uovu watakuvizia kwa kila namna ili mradi tu walipe kisasi sababu tu uliwadhibiti wasifanye uovu.
Makonda aliwadhibiti wanasiasa waovu, wauza unga, wakora wa kila aina. Sasa ndio...
MKOA wa Dar es Salaam umetajwa kuongoza kwa idadi kubwa zaidi ya waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19 ukiwa na wagonjwa wapya 184 kati ya visa vipya 252 vilivyoripotiwa.
Visa hivyo vimeripotiwa katika kipindi cha Januari 29 hadi Februari 6...
Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
Kuna taarifa zinasambaa Kwenye mitandao ya kijamii Kwamba Trafic wa Wilayani Same wamekataza mabasi yanayotoka Dar kuwahi kufika Same kabla ya saa Saba. Matokeo yake mabasi yakikaribia same yanapaki barabarani yakisubiri ifike saa Saba yaingie mjini.
Wakati huyu trafic anafanya haya naamini...
Nachelea kusema hii ndo timu inayokwenda kushiriki michuano ya kimataifa na trh 13 inavaana na Asec mimosas, kwa namna Simba inavyocheza kwa sasa inatia huruma kwakweli, aieleweki wanacheza mfumo gani.
Leo wanachezesha kikosi hiki kesho wanachezesha kikosi kingine kwa mfumo huo utapataje first...
Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo mjini hapa.
Watoto wa huyu mama wakiume na wakike wote wanasoma India. Basi anko kutoka USA...
Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu wa Kuchukua Pesa za GSM Yanga SC na kuwapa Wachezaji wenzako wa Mbeya City FC ili Jumamosi mlegeze na...
Ningependa kujua wapi naweza pata kupima pcr?majibu yanatoka kwa mda gani nikipima?na mwisho nataka kujua gharama zake?Nahitajika kujua kwa haraka ili niweze kusafiri kwenda Rwanda alhamisi.
asanteni sana
Madaktari na wafanyakazi wa Taasisi ya Tanzania Occupational Health Services (T.O.H.S) maarufu kama Dar Group Hospital wanatarajia kuanza mgomo na kuishinikiza Serikali kupitia wizara zake husika kutoa muafaka na hitimisho kuhusu kadhia ya muda mrefu iliyop ktk hospital hiyo isiyo na mmiliki...
Nimeona uzi hapa JF ukisifia Jumba la Senema la Empire la siku hizo, nikaona nikumbushie (na kuwajuza uzao wa dot.com) majumba ya senema yaliyokuwepo Dar enzi hizo.
Miaka ya 70 kulikuwepo na majumba sita ya senema jijini Dar. Bila kufuatilia mpangilio wa umaarufu au kigezo kingine cho chote...
Kwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs Dar City wachezaji wa Simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya Kagera.
Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha mkuu na kocha msaidi Matola na ilipelekea kuwa na molari kidogo siku ya mechi na kagera ambapo kocha...
Hivi huu Mwamba Mwamakula kanisa lake kwa hapa Dar lipogo wapi na ibada ni saa ngapi?Maana anaonekana zaidi kwenye matukio na mihadhara ya siasa ya vyama upinzani kuliko Kanisani.
Yaani kuna watu Mwamakula wakimuona tu,kinachowajia kichwani ni Siasa za upinzani,wala si neno la Mungu.
Kwa mfano...
Picha: Sehemu ambayo ajali imetokea
Watu kadhaa wahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara Suca jijini Dar es Salaam leo Januari 28, 2022.
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani Taifa, ACP Abdi Isango ndiye aliyefika...
Haina tatizo lolote.
Gari ya kuwasha na Kuondoka baada ya Malipo.
Bei 4.million Net. Dalali unanipa elfu 15 tu ya Bando la Mwezi.
wahisha biashara achana na comments 0713096076
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.