dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar

    Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnaposema Dar es Salaam itapata maji 100% ni ipi hiyo? Ile ya Mabwanyenye wa CCM na washirika wao? Vipi madongo poromoka kama Buza na Mbagala?

    Nina hakika mtandao maji ya Dawasa haujtandaa Dar yote. Ni baadhi ya maeneo tu ndio kuna mtanado huo Sasa hao wanaokaaa madongo poromoka mnawafikiria vipi na wao? Mtakuwa mnajaza waterbowser na kuwapelekea? Ndiyo kusema mnaposema Dar mna maanisha mnapooshi nyie mabwanyenye?
  3. JamiiForums Tanzania Arusha na Moshi ndio moyo wa Dar es Salaam, pasipo mapato kutoka hizi sehemu mbili Dar maendeleo yake yangekuwa taabani sana

    ✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

    Ishu vipi wakuu, Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani wilaya 1) Kinondoni 2) Ilala 3) Ubungo 4) Temeke 5) Kigamboni Swali lililopo ni watu kutaka kujua...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafundisha "kung fu" kwa ajili ya watoto naishi hapa Dar es Salaam?

    Salaam wana JF. Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam? Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
  6. JamiiForums Tanzania Posta Dar es Salaam ndio uso wa jiji, serikali yazinduka

    Baada ya SSH kuingia madarakani na baada ya SErikali ya Chama kimoja kuanzia meya, mkurugenzi na watendaji wengine JIJI la Dar limekuwa hovyo kupita maelezo, utashangaa POSTA mtu anapika wale, anaoga, bodaboda zinafunga barabara na hakuna la kuwafanya, wauza nguo wa karume wamesheheni posta, na...
  7. JamiiForums Tanzania Kipi 'Kimewanyamazisha' ghafla Wahalifu 'Panya Road' Mkoani Dar es Salaam?

    a) Mizizi yao imeshajulikana na imedhibitiwa Kiurahisi. b) Ulikuwa ni Mpango Mkakati wa kufunika Jambo kwa Kipindi husika. c) Kuuliwa Kwao Kishalubela ( Kikatili ) na Maiti zao Kurundikana Mochwari Kumewatisha na hata Kuwakimbiza Mjini. d) Wametumika kufikisha Ujumbe mahala fulani Juu kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata masoko kwa upande wa Export Bandarini Dar

    Habari za saiz wapendwa samahanini nimemaliza chuo lakin nmepata kazi ambayo sijaisomea. Nimeitwa kwenye interview ya marketing officer kwenye bandari apa dar es salaam, upande wa Export lakin sifahamu jinsi gani naweza isaidia kampuni kuongeza masoko! Pia atakama nitapewa mafunzo na kampuni...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea hapa Dar es salaam sio mgao wa maji, ni kwamba Dawasa imeshakufa

    Walianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji. Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ninaomba shida ya maji Dar iongezeke mara dufu zaidi

    Dar ni Tanzania, Tanzania ni Dar. Hutaki hili basi utakuwa una matatizo makubwa ya kijinsia!!! Ukitaka kuona watu wa makabila yote Tanzania hapa basi fika Dar, Ukitaka kuona watu wa dini zote (unazozijua na usizozijua) basi nenda Dar, Ukitaka kuona ofisi zote kuu za vyama vya siasa basi nenda...
  11. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji collection nzuri ya muziki kwa ajili ya bar/pub/ofisini/kwenye gari? Nipo hapa Dar

    Je una bar/pub/hotel/au ofisi yeyote inayohitaji muziki? na hauna deejay? Au unahitaji collection kwa ajili ya kusikiliza katika gari au gheto. Basi nipo tayari kukutengenezea collection nzuri ya muziki kwenye flash disk au cd na ukaiweka kwenye ofisi yako na muziki ukaendelea kama vile upo na...
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mabasi Dar Express inakwama wapi?

    Hii kampuni ina jina kubwa kutokana na Ubora wa huduma ambazo iliwahi kuzitoa hapo siku za nyuma ikambatana na kuwa na mabasi mazuri yenye kiwango, ofisi nzuri na wahudumu wanaojali wateja. Kwa sasa sijui ni kitu gani kimewakumba hawa jamaa, kwanza kabisa utunzaji wao wa magari umekuwa ni wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Soko la biashara ya dagaa kwa upande wa Dar es salaam nalipata vipi??

    Naomba msaada kuhusiana na biashara ya dagaa. Nataka nianze kufanya nanunulia mwanza nauza huku Dar lakini sijapata soko. Nalipataje soko, wazoefu naomba mnisaidie kwa hili.?
  14. C

    JamiiForums Tanzania BASI NZURI ZA DAR - MOSHI

    Happy Sunday🖐🥰 Wadau naombeni ushauri basi nzuri za Dar -Moshi. Nategemea kusafiri next week na sijawahi kufika Moshi. Naombeni ushauri wa basi ambazo ni nzuri,luxury,good customer care na mwendo rafiki kwa maisha ya abiria ili safari yangu ya kwanza kuelekea kaskazini isiwe ya majuto. T. I. A🙏
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

    Niko fiti kamili gado, sijui wewe? Hoja yangu ya msingi inakwenda kwa nyie wakazi wa bongo land a.k.a jiji la chura wanaonesanesa kwenye vumbi, vijana wala chips mlenda mlenda a.k.a mabwabwa, ila sio wote wapo hivyo ni baadhi yao, msinielewe vibaya. Laana iliyopo dar ni zaidi ya sodoma na...
  16. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam limekauka, hakuna maji

    Yaani Maji ni hakuna
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
  18. JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mazoezi yao ya kushangilia ninayoyaona na walivyofanyiwa fujo Dar kuna watu watafungwa nyingi waendako

    ~ Kwanza muanze kujua kuwa uwanja wao utajaa ile mbaya. ~ Pili mjue kuwa Waarabu fujo na umafia ni moja ya tunu zao. ~ Tatu aina tu ya ushangiliaji wao tayari ni ushindi tosha. Yaani wamewapania hadi kuandika kuwa "Revenge has no Mercy". Mtawakoma!
  19. JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) Waungana na CFA East Africa kutoa Mafunzo ya CFA

    Wakuu, Kama kawaida kila siku lazima nipitie kwenye mambo yangu ya uwekezaji , ndipo nilipokutana na hili https://thebusinesswatch.com/cfa-east-africa-signs-an-mou-with-dar-stock-exchange/ https://sokodirectory.com/2022/11/dar-es-salaam-stock-exchange-signs-mou-with-cfa-east-africa-society/...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Aweso aingiza mitambo Dar, aelekeza visima vya dharura kuchimbwa

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Leo tarehe amefika ofisi za RUWASA sehemu ya uchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa (DDCA) na kutoa maelekezo mahususi kwa Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Bonde la Wami/Ruvu kuainisha maeneo yenye uwezekano wa kupata maji chini ya ardhi na visima vya dharura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…