dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Starehe za jiji la Dar es salaam linavyoshusha viwango vya wachezaji wa Simba na Yanga

    Hili jiji lisikie tu kwenye radio,ila Dar kuna starehe jamani,nimetembelea mikoa mingi nchini na nchi nyingi kidogo si haba,nyingine kwa kwenda phyisically nyingine kwa kusoma,kusikia,movies na mitandao .ila Dar bado ni kinara wa starehe,Jonas Mkude huwa anakula starehe mpaka anazima kesho yake...
  2. MSAADA: Nahitaji kubadili Window OS na kuweka softwares kadhaa katika kompyuta yangu

    Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji: 1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta ikiwa ni pamoja na Antivirus. 2. Ku install softwares kadhaa katika kompyuta: I. Adobe ...
  3. Kwa huku Dar hiyo Aphelion Inakuja Lini?

    Watu walianza kututisha kuwa kutakuwa na baridi kali sana... jamaa mmoja akanambia yeye sasa atakuwa anaoga maji ya moto zaidi. Nimeshangaa ......... unawezaje kuoga maji ya moto Dar? Sisi ambao tumewahi kaa Iringa,Rukwa, Mbeya, Arusha, Ruvuma n.k ukituambia Dar kuna baridi tunashangaa... na...
  4. Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

    Natarajia kwenda njombe wana ndugu Basi gani zuri naweza tumia natanguliza shukurani naishi dar es salaam
  5. Diaspora kujenga daraja kutoka Dar es Salaam mpaka Zanzibar ilikuwa ahadi ya uongo?

    Lini mnatekeleza hii ahadi ndugu zangu wa huko ng'ambo. Au mlitufunga kamba? HILI MLIAHIDI MIAKA MIWILI ILIYOPITA ====== Pia soma: - Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara - Mdau wa Diaspora ajibu maswali kuhusu daraja...
  6. Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  7. Tanzania yaambulia nafasi ya 5 EAAR, Dar

    Tanzania kama Mwenyeji imeambulia nafasi ya Tano kati ya Nchi Saba zilizoshiriki mashindano ya Afrika Mashariki ya Riadha (EAAR), kwa Vijana wa Umri chini ya 18 na 20 yaliyoshirikisha Nchi zaidi ya Tano, na Kufanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kwenye mashindano hayo...
  8. Uzoefu wa kuibiwa/kutapeliwa Dar es Salaam

    Sisi watu wa kuja Dar ambao tuliletwa hasa na mambo ya shule nk kwa namna moja ama nyingine tumewahi kulizwa katika jiji letu hili pendwa. Mimi nina matukio kadhaa ya wizi ambayo nimewahi kufanyiwa hapa Dar. Tukio la kwanza, ilikua miaka ya 2009, enzi hizo nakaa maeneo ya riverside hapo karibu...
  9. Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

    Kwa muda wa takribani wiki mbili tangia niingie Dar es salaam nimejikuta na duwaa kwa kuwashangaa vijana na wanaume wanaovaa vipensi vifupi vinavyoonyesha mapaja. Je? Msingi wa jambo hili ni nini maana kimaadili halijakaa sawa. Hivi ni kweli vijana hawa hawaishi na watu wazima ambao wanaweza...
  10. Siku 1: Watanzania Waangukia Pua kwenye Mashindano ya EAAR, Dar

    Watanzania Waangukia Pua Kwa siku ya kwanza kwenye mashindano ya Riadha ya EAAR kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 18 na chini ya miaka 20 inayoendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar. Matokeo yanaonyesha Ethiopia na kenya ndizo zinashikilia usukani kwa siku ya kwanza (Jana), Leo...
  11. Dar: Mtoto aliyepotea kwao asema alifanywa ombaomba mtaani

    Mtoto Patrick Dickson ambaye alipotea kwao kwa siku kadhaa mwanzoni mwa mwezi huu Mei 2022 amepatikana na kusimulia kuwa alikuwa akitumikishwa katika kazi ya kuombaomba mtaani pamoja na kuvutishwa sigara. Mtoto huyo ambaye alipatikana Mei 23, 2022 amesema: “Siku ya kupotea kwangu nilitoka...
  12. Haya ndio maadili ya Mtanzania?

    BONGO DAR ES SALAAM;AKILI KUMKICHWA UKILEMAA UMEACHWA FERRY,JE HAYA NDIO MAADILI YA MTANZANIA!? Leo 12:15hrs 24/05/2022 Uadilifu ni moja ya nguzo kuu ya kimaadili katika Utamaduni wa Mtanzania, Watanzania tuna mila, desturi, sanaa, lugha, Elimu, Michezo, tiba, ulinzi, ujuzi, mavazi, Ngoma...
  13. Kinachosababisha Foleni jiji la Dar es Salaam nyakati za asubuhi na jioni tofauti na ufinyu wa barabara

    Moja ya sababu kubwa inayochangia foleni majira ya asubuhi na jioni kwenye barabara nyingi za Dar es salaam ni ufinyu wa VITUO VYA DALADALA. Kusema kweli VITUO VYA DALADALA jijini Dar es salaam ni vifinyu sana kiasi kwamba havitoshelezi DALADALA angalau 5 kuegesha kwa pamoja ili kushusha...
  14. Dar watu wana roho mbaya sana, nimeamua nikalale stendi kesho nirudi zangu mkoani

    Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo. Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya nikaosha kidogo macho na ning'arishe ngozi kwa maji ya mwambao. Sasa nilifikia kwa huyu ndugu yangu...
  15. Vijana tafuteni pesa, wikiendi iliyopita binti wa chuo alichonifanyia kwa hotel Dar itabaki kuwa sehemu pendwa ya starehe

    Kwa ufupi kila nikisikia ile nyimbo ya kijana Diamond aliyoimba na Zuchu, mbo..00 inasimama ghafla. Vijana tafuteni pesa ili uzeeni mfurahie maisha, ni wewe kuchagua leo uwe na amina, mke wa khalfani n.K
  16. Familia sita zavamiwa, wanne wajeruhiwa kwa mapanga Dar

    Dar es Salaam. Familia sita zinazoishi mtaa wa Kwembe Mpakani jijini hapa, zimevamiwa na watu wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa na mapanga nondo na mawe kisha kuwajeruhi watu wanne na kupora vitu mbalimbali. Tukio hilo la aina yake lilitokea usiku wa kuamkia juzi ambapo vijana zaidi ya kumi...
  17. Mwanamke ajeruhiwa kwa risasi za polisi maeneo ya Sinza Dar es salaam

    Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa Sinza Lion Dar es Salaam, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi maeneo ya begani katika harakati za Polisi kuwatuliza raia wenye hasira kali waliokuwa wanataka kumpiga mwizi aliyekwapua simu kwenye bodaboda majira ya saa 12:00 asubuhi ya leo Mei 20, 2022 Kwa maelezo ya...
  18. Kiswahili and English Teachers at Dar es Salaam Independent School (DIS)

    DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL (DIS) Registration Numbers S. 2544 and DS/02/7/037 English and Kiswahili Teachers We need very experienced ENGLISH and KISWAHILI Teachers to join our well established Middle School Team Immediately. English and Kiswahili Teachers Requirements Experience of...
  19. Dar es Salaam Bookshop

    Picha hii kwangu inanikumbusha miaka yangu ya mwanzo udogoni naanza kujitambua na kuingia kwenye duka la vitabu kununua vitabu. Nimenunua vitabu vingi duka hili kuanzia mwaka wa 1963 nikiwa na umri wa miaka 11. Safari ya kutoka nyumbani kuja "Picha ya Bismini," (Askari Monument) ilikuwa safari...
  20. Leo nimeota nitachaguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Hizi ndoto sijui kama ni kweli lakini hivyo ndivyo nilivyoota leo. Lakini haiwezelani mimi niwe Mkuu wa Mkoa kwa sababu sijui economics. Hii ndoto inaniahidi mambo mazuri au nitapata vip treatment ya Iddi Amin? Halafu sijui wapi naweza kukutana na mtu nimpe zawadi ili niwe Mkuu wa Mkoa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…