Kwa huku Dar hiyo Aphelion Inakuja Lini?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,361
11,518
Watu walianza kututisha kuwa kutakuwa na baridi kali sana... jamaa mmoja akanambia yeye sasa atakuwa anaoga maji ya moto zaidi. Nimeshangaa ......... unawezaje kuoga maji ya moto Dar? Sisi ambao tumewahi kaa Iringa,Rukwa, Mbeya, Arusha, Ruvuma n.k ukituambia Dar kuna baridi tunashangaa... na hapo hapo tunagundua kwa nini wanaume wengi ambao wameishi Dar miaka yao yote wanakuwa na matatizo na nguvu za kiume. wewe mwanaume unaenda Oga maji ya moto. Kweli? huoni hata aibu?

ndo maana hata wanawake wengi wa Dar pia nimegundua hawana Utamu. inabidi waweke vitu vitu vingi sehemu zao ipatikane Ladha. Mara tu pipi, mara sijui jiwe gani, mara kuoeshea.... ili mradi tafrani. sababu miili yao haina joto kabisa. Usije ukagusa watoto wa mikoani. i wa moto ile mbaya... wanakuwa an joto sababu ya kuoga maji ya baridi na kuishi sehemu zenye baridi so miili yao inakuwa na jotoridi la hali ya juu sana.

leo nimekuja town nakuta watu wamejikumbatia sana. wamevaa masweta,jacket,coats n.k nawatizamana nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.... huu woga wanaishi nao vipi? hivi kweli Dar kuna joto la kujifunika blanket mtu unayekaa ilala, sinza, kinondoni na magomeni? hilo joto li wapi? msidhanie kuwa mwanaume ni lele mama. mtu mzima kabisa anagombana na mkewe kwa kuwa hajachemshiwa maji ya kuoga Dar hii hii? miaka yangu zaidi ya 40 toka nizaliwe na kukulia hapa Dar sijawahi experinece baridi. nauliza hiyo hali ya Aphelion kwa huku Dar inakuja lini? ili nasi tupate baridi
 
watu walianza kututisha kuwa kutakuwa na baridi kali sana... jamaa mmoja akanambia yeye sasa atakuwa anaoga maji ya moto zaidi. nimeshangaa ......... unawezaje kuoga maji ya moto Dar? Sisi ambao tumewahi kaa Iringa,Rukwa, Mbeya, Arusha, Ruvuma n.k ukituambia Dar kuna baridi tunashangaa... na hapo hapo tunagundua kwa nini wanaume wengi ambao wameishi Dar miaka yao yote wanakuwa na matatizo na nguvu za kiume. wewe mwanaume unaenda Oga maji ya moto. Kweli? huoni hata aibu?

ndo maana hata wanawake wengi wa Dar pia nimegundua hawana Utamu. inabidi waweke vitu vitu vingi sehemu zao ipatikane Ladha. Mara tu pipi, mara sijui jiwe gani, mara kuoeshea.... ili mradi tafrani. sababu miili yao haina joto kabisa. Usije ukagusa watoto wa mikoani. i wa moto ile mbaya... wanakuwa an joto sababu ya kuoga maji ya baridi na kuishi sehemu zenye baridi so miili yao inakuwa na jotoridi la hali ya juu sana.

leo nimekuja town nakuta watu wamejikumbatia sana. wamevaa masweta,jacket,coats n.k nawatizamana nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.... huu woga wanaishi nao vipi? hivi kweli Dar kuna joto la kujifunika blanket mtu unayekaa ilala, sinza, kinondoni na magomeni? hilo joto li wapi? msidhanie kuwa mwanaume ni lele mama. mtu mzima kabisa anagombana na mkewe kwa kuwa hajachemshiwa maji ya kuoga Dar hii hii? miaka yangu zaidi ya 40 toka nizaliwe na kukulia hapa Dar sijawahi experinece baridi. nauliza hiyo hali ya Aphelion kwa huku Dar inakuja lini? ili nasi tupate baridi
Hao ma dr wenyewe wanashauli tuoge maji ya moto na kila tuhamkapo asubuhi tunywe maji ya moto!! Inamaana hawajui kama maji ya moto hayafai!! Hizo za kuoga maji ya baridi ni hadith za wazee wetu kule kijijin ili tusitumie kuni zao tu broo!! Maji y moto yanatabia ya kufanya misuli ibaki kma ilivyo coz mwili pia uzalisha joto lakin maji ya maridi yanakawaida ya kufanya misuli isinyae eg ukiwa unafanya mazoez uruhusiwi kuoga maji ya baridi coz utailazimisha misuli ilale kwa haraka mwisho wa siku utasikia amepalalaiz!! Fanya utafit broo
 
daaahhh... we ndo basi tena maskini.
 
Wewe na mleta mada sijui mnaongelea maji ya moto kwa namna ipi. Maji yanayaweza kuwa ya moto bila hata kuya heat kwa kutumia moto.
 
Mara leo nimekuja town, mara miaka yangu 40 ya kuishi hapa Dar, mbona hueleweki? Mtu akioga maji ya moto wewe unapungukiwa nini?

Jifunze kuhangaika na yanayokuhusu!
sasa si nd ungeonesha mfano kwa kuhangaika na yanayokuhusu? maana hili halikuhusu ila umelivalia shanga....
 
Back
Top Bottom