dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical engineering) 0756704145
  2. Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Kama unatafuta msimamizi wa mradi au kazi nipo. Mikoa miwili napatikana Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  3. PreGE2025 POSTPONED (PP): John Heche anazungumza na Watanzania kupitia Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, Julai 17, 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche atazungumza na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa...
  4. Maoni yangu kuhusu Suluhisho la Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam

    Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani. Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
  5. CHALAMILA usipoangalia MSANDO atakufanyia figisu utolewe Dar es Salaam

    Jiji la Dar kwa sasa kila sehemu kumechimbuliwa kwa kweli hali ya usafiri ni mbaya sana! sasa huyu Msando amekuja kukugombanisha na wana Dar es salaama kwa kusingizia wanatanua barabara wanaleta foleni! Huyu anatafta kiki utolewe wewe ili yeye akae hapo aonekane ndio mchapa kazi! ni kwa kuwa...
  6. Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
  7. kijue chuo zaidi Chuo cha Bahari Dar es Salaam (Dar es Salaam Maritime Institute – DMI)

    Chuo cha Bahari Dar es Salaam (Dar es Salaam Maritime Institute – DMI) – kinachojulikana kwa jina la Chuo cha Ubaharia Mahali & Mawasiliano Eneo: 19 Sokoine Drive, Dar es Salaam, Tanzania nactvet.go.tz+13dmi.ac.tz+13tasac.go.tz+13. Barua Pepe: info@dmi.ac.tz Simu...
  8. R

    Historia ya Mnara wa Askari Posta, Dar es Salaam. Je, ilikuaje ikaitwa Bismini? Nini chimbuko la jina hilo? Maana yake ni nini?

    Hivi Gen Z mnajua kweli historia ya huu mnara? Kitu kilichonipa ushawishi wa kutaka kukua zaidi ni hili neno 'Bismini'. Maana yake ni nini? Na chimbuko lake ni nini? Nimejaribu kutafuta lakini hakuna walikoeleza maana ya Bismini ==== Hekaya fupi ya Mnara wa Askari Jijini Dar es Salaam Mnara...
  9. Kwa mahitaji ya kununua nyumba au kiwanja Dar Es Salaam

    Salamu matajiri. Namba zangu hizo hapo dalali ambaye Sina mkuu lakini Kazi zangu zimenyooka. Ukitaka nyumba ya kununua au kiwanja basi nahakikisha kila kitu Kipo Sawa. Hakuna mgogoro wa kiserikali au kifamilia. sikutozi Hela ya kukupeleka kuona eneo Ila utalipia usafiri WA kukupeleka sehemu...
  10. Usiku wa Ngugi Dar es Salaam

    https://www.youtube.com/watch?v=kAmm4ucvBDM
  11. Graduate wa Technical field kama IT au Engineer unamlipaje mshahara wa laki nne na 50 kwenye jiji kubwa kama Dar es salaam

    Watu wa private sector kuweni serious na profession za watu.
  12. Invest in SKY ROYAL Apartment at Mikocheni Ursino street Dar es Salaam

    Commercial and residential units for sale. Experience a luxury Seaview city living in our stylish and modern project located at Mikocheni Ursino st. Our prime location offers easy access to restaurants, shops and entertainment venues. Prices starting from 1 bedroom: USD 84,169. 2 bedrooms: USD...
  13. S

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe?

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe (Windows OS peke yake) Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145 Kwa mahitaji ya kuweka Windows 10 OS Genuine gharama yake ni 20,000 Tsh
  14. M

    Msaada Garage na Fundi mzuri wa Volkswagen Dar es Salaam

    Wanajamvi Msaada kwenye tuta Nahitaji fundi mzuri kwa ajili ya gari aina ya VW(Volkswagen) Napokea recommendation nitashukuru nikipata namba ya simu na location ya garage Natanguliza shukrani.
  15. Kumekucha: Wanaume wengi wa Dar hawana Nguvu za Kiume kwa kupenda kula Chips zenye Mafuta mengi hivyo waanze kula Chips zinazokaangwa na Maji

    Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
  16. R

    Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

    Sikiliza, kweli bado yuko hai? Anaesema mwanamke hapashwi kuwa Rais!
  17. B

    Uwekezaji kwenye Ubia wa BRT maarufu kama UDART kwa kushirikiana na Emirates utaleta mapinduzi na huduma bora kwa abiria wa Dar Es Salaam. Big Up!

    Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar. Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu. Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
  18. University of Dar es Salaam Toeni Tamko Kuhusu Taarifa Za Mbunge wa Kinondoni Kusoma Degree ya Kwanza Na ya Pili Hapo UDSM

    Kumekuwapo na kawaida ya baadhi ya wanasiasa wasiokuwa waadilifu kutoa taarifa za uongo kuhusiana na elimu zao kwa sababu zao binafsi. Mbunge wa Kinondoni Taarifa ya Elimu yake kwenye website ya bunge ilionyesha amesoma shahada ya kwanza na ya Pili chuo kikuu cha dar es salaam. Baada ya watu...
  19. Fuso 6D17 inauzwa Location Dar Es Salaam

    Fuso ya body 6D 17 Milion 45 Engine & Gearbox ni Safi kabisa. Location Dar Es Salaam (Kinondoni) 📞0754693556
  20. M

    Dalali wa viwanja/nyumba - Dar es Salaam

    Unahitaji NYUMBA kwa Kupanga au kununua, Sehemu ya ofisi ama biashara, Kiwanja cha kununua Karibu tukufanyie kazi — 0716442950
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…