dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Karibuni Dar es Salaam wageni mnaokuja kutafuta maisha na kufanya biashara

    Dar ni jiji ninalolifananisha na Jikoni kwa Tanzania hii, nadhani wote tunajua sifa ya jiko ni mahali panapoandaliwa na kupikwa vyakula vyote tunavyovipenda na tusivyovipenda. Dar ni mkoa ambao naupa heshima ya kupafananisha na jiko kwasababu ni mkoa ambao ni chanzo cha kila kitu. Ukitaka ma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha Production Dar es Salaam

    Hellow, Poleni na majukumu. Nina imani mu wazima. Wakuu naomba mnifahamishe kwa hapa Dar ni chuo gani kizuri, ambacho mtu anaweza akasoma mambo ya production na akaiva vizuri? Hapa namaanisha mambo ya Media. Yaani kuna mtu alisoma mass communication lakini aka specialise kwenye uandishi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji

    Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza Dar es salaam. Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya kuuzia.
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo ya kuzingatia kabla ya kuhamia Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapaka na Bahari ya Hindi. Jiji...
  5. JamiiForums Tanzania Narudia tena, Usafiri wa daladala hapa Dar es Salaam ni kwa ajili ya watu masikini

    Habari wanajukwaa! Natumaini hamjambo, Hii sio kashfa bali ni ukweli mtupu. Usafiri wa daladala hapa Dar ni kwaajili ya maskini. Vijana tutafute pesa huku tukimwomba Mungu atuepushe na Usafiri huu uliojaa karaha na kadhia. Haiwekani mtu una pesa zako usimame Kariakoo mpaka Mbagala, au...
  6. JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wataja namba za dharura kipindi cha Sikuu ya Eid Al Adha

    Dar es Salaam 19, Julai, 2021 JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM KUIMARISHA USALAMA SIKUKUU YA EID AL ADHA Jeshi la Polisi Kanda Maalum kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limejipanga kikamilifu kuimarisha usalama katika kipindi cha sikukuu ya Eid Al Adha...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 RC Makalla na Uongozi wa Dar: Fuateni ushauri huu Dar es Salaam itakuwa na mazingira safi kuliko Moshi

    Kwanza kabisa kuondolewa kwa mifuko ya plastiki bado hakujafanya mazingira kuwa safi. Nini tatizo kwa mkoa wa Dar es Salaam? Jibu ni rahisi tu, tatizo ni msongamano wa watu pamoja na wafanyabishara wadogo (machinga) huu ndio ukweli. Japo ili kufanya mkoa huu kuwa safi si lazma uwatoe ila...
  8. JamiiForums Tanzania Tunapunguza vipi foleni jijini Dar es Salaam?

    Dar es Salaam ni Jiji lenye harakati nyingi sana ila foleni mjini imekuwa kero ukiunganisha na joto lilipo hapa. Je, tunafanya nini ili kupunguza foleni katika jiji hili maana kupanua barabara pekee sioni kama ni suluhisho la moja kwa moja Na tuna mkakati gani wa kuanza kuzuia majiji mengine...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, elimu yangu ni Form Four

    Natafuta kazi yoyote elimu yangu ni Form Four, napatikana Dar es Salaam, Kariakoo. Popote naweza kufanya uaminifu ni kipaumbele namba moja kwangu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa lift kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

    Habari za wakati huu mimi ni binti mkazi wa Dar es Salaam ila kwa sasa nipo kahama, katika harakati za kujikwamua nilipata msaada wa mtu akanambia kuna kazi ya mgahawa hapa kahama hivyo nije kuanza na makubaliano yote yalifanyika ila baada ya kufika kwa nauli ya kujichanga mtu yule hapokei simu...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa usafiri wa treni Mbeya - Dar es Salaam

    Heshima yenu wapendwa, Naomba msaada jmn Kwa wale walowahi kusafiri kwa tren; kwa mara ya kwanza nataka Kutumia usafiri wa tren Sasa sijui nianzie wapi niishie wapi kuanzia kwenye kukata tiketi;cjui madaraja yake; uzuri wake na changamoto zake pia ili nione kama naweza kumanage! Safari yenyewe...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Wafanyabiashara kufuatia kuungua kwa soko la Kariakoo

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kufuatia hasara kubwa waliyoipata kutokana na kuungua moto kwa soko hilo. Kufuatia hasara kubwa iliyotokana na moto huo, Rais Samia ameviagiza vyombo vya ulinzi na...
  14. JamiiForums Tanzania Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

    Ni nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS. Hii si ni kama huyu jamaa ametekwa na anachezea kipigo, What if...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa nauli ya basi kutoaka Dar es Salaam - Arusha

    Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli ya kwenda Arusha. Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha. Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal.
  16. JamiiForums Tanzania NEMC wasikamate tu mifuko ya plastiki; waangalie miundombinu ya mifereji Dar, wasingoje mafuriko ndio wamtafute mchawi

    Habari wada! Naomba nichukue nafasi hii kuwakumbusha hawa ndugu zetu wa NEMC hususa kipindi hiki cha kiangazi, kuangalia na kukagua miundombinu ya mifereji yetu ya jiji la Dar es Salaam. Naona NEMC wamekuwa kama wanazima moto vile kwenye baadhi ya mambo ambayo ni wajibu wao hususa miundombinu...
  17. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dar es Salaam has big CBD than Nairobi but a tiny Nairobi CBD is more organized

    To be honesty dar CBD is huge and disorganized compared to Nairobi, Dar has many big and modern building however it's infrastructure can't match with it's building. Nairobi has tried to match it, wide roads no many hawkers, street vendors unlike Dar where the CBD is full occupied by them, no...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kuna Bucha za nyamapori hapa Dar es Salaam?

    Natambua kuwa TAWA ama Wizara ya Utalii ilizindua utaratibu wa uwindaji na uuzaji wa nyamapori kwenye baadhi ya mikoa kama Katavi, Dodoma na kwingineko. Naomba kufahamu kama huduma kama hiyo imeanzishwa mkoa wa Dar es Salaam. Nimechoka nyama za mbuzi, kuku, ng'ombe na kitimoto. Natamani kula...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

    Huyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam
  20. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam ni mchafu; Amos Makalla fanya ziara kujionea

    Salaam Mkuu wa mkoa, Nikiwa mkazi wa Dar es Salaam hasa Ilala Jiji, nimeshuhudia kuendelea kuchafuka kwa jiji hili. Ulipoteuliwa nilipata matumaini ya mabadiliko hata kidogo. Hali ni mbaya; mitaro imeziba na karatasi zimesambaa sehemu nyingi. Jiji la Ilala na vitongoji vyake vinaongoza kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…