dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Dar es Salaam yatajwa miongoni mwa majiji kumi Afrika yanayokua kwa kasi zaidi

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Haki huinua Taifa, Nchi yetu imeanza kuingia midomoni mwa Watu kila kona duniani kwa sasa, Kwa Taarifa hii tu, Dar es salaam itapokea wageni lukuki toka nje na ndani, Kila Mzalendo lazima aone kazi nzuri na njema anayoifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa Tanzania...
  2. Mayai ya kisasa yanapatikana Oysterbay, Dar es Salaam

    Kiini cha njano,kuku wanapewa majani kila siku, hatutumii carophyl yellow kuongeza unjano Bei ya elfu 6800(kuanzia trei 10) Oysterbay karibu na ccbrt 0738832076 Bei inapanda na kushuka,kwa hiyo inapobadilika nabadilisha pia katika tangazo humu...hakuna sehemu ya ku edit title ya tangazo.
  3. Zoezi la kuwaondoa Wamachinga kwenye njia za Watembea kwa miguu Dar es Salaam, sijaona dalili yoyote ya wao kuondoka

    Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao. Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka...
  4. Clearing & forwarding agent available

    Natoa huduma ya clearlence kwa mizigo,pamoja na magari kutoka duniani kote,kwa haraka na kwa bei rafiki kabisa kwa maelezo Zaidi tupigie: +255710323599 au +255679132109
  5. Dar: Africa-Shenzhen Economic & Trade Cooperation and Exchange Series Conference

    Africa-Shenzhen Economic & Trade Cooperation and Exchange Series Conference – Dar es Salaam, Tanzania. 09 September, 2021. In recent days the sixth phase government has been putting in place a great efforts in achieving the goal of realizing an industrialized economy country, this government's...
  6. Mipango Miji na idara mbalimbali kwanini zisitungwe sheria na kanuni kila nyumba iliyopo barabarani kuwa na fremu zenye bei elekezi

    Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao. Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri. Kwa Dar es Salaam naona...
  7. RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi...
  8. Nahitaki pumba Dar es Salaam kwa bei poa

    Wapedwa katika bwana. Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.
  9. Kwanini Mtaa wa Congo umekuwa maarufu sana toka mwaka 1920?

    Mtaa wa Congo upo Kariakoo Jijini Dar es Salaam Mtaa huu umekuwa Maarufu sana kwa Wingi wa Watu toka Mwaka 1920 mpaka leo. Je, UMAARUFU wa Mtaa huo ni NINI? Kwanini Muda wote una Watu Wengi Tofauti na Mitaa Mingine? Je, kuna Biashara gani kwenye Mtaa huo inayokusanya Watu wengi kiasi hicho?
  10. Rais Samia, nakuomba angalia upya Mradi wa BRT Dar

    Niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya leo ninayotaka kuizungumzia. Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu, nakuomba chonde chonde kuuangalia upya mradi wa BRT unao endelea kujengwa jijini Dar es salaam. Kwa uzoefu mkubwa nilio nao na analysis yangu ndogo niliyo ifanya naona kuwa huu mradi...
  11. Tamasha la Franco Luambo Luanzo Makiadi Grand Master( Grande Maitre) Dar es Salaam- Early 1970's

    Moja ya matukio makubwa na ya pekee yalopata kutokea uwanja wa uhuru ambao enzi hizo uliitwa uwanja wa taifa Ni s tamasha la hayati Franco, mwamba wa muziki wa rhumba, katika tamasha hilo watu walikanyagana katika harakati za kuingia uwanjani na Kuna mtu alipoteza Maisha papo hapo. Kwenye...
  12. M

    Nauli za daladala na uelewa wa wananchi katika jiji la Dar es Salaam

    Shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa wote tulio na afya njema na poleni kwa wote wenye changamoto za kiafya kwa umoja wetu tunawaombea ili muwe na afya njema mrejee katika majukumu yenu ya kimaisha. Wakuu kuna hili suala la wafanyakazi wa daladala za jiji la Dar es Salaam kuchukua nauli kwa abiria...
  13. Karanja: Jina la Meli Maarufu kwa Mabaharia wa Dar es Salaam miaka ya 1970

    Leo asubuhi nimepata picha ya meli iliyokuwa ikijulikana kama ''Karanja,'' Meli hii ina historia ya pekee kwa vijana wengi wa Dar es Salaam ambao walikuwa wanawania kwenda Ugiriki kutafuta kazi za Ubaharia. Hii meli Ally Sykes aliipanda mwaka wa 1952 akiwa na miaka 26 yeye mkewe kwenda...
  14. Naomba kujuzwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja Dar?

    Hello habari, Naomba kujulishwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja DAR. Na utaratibu mwingine kama upo. Asante. Heri ya mwezi mpya. Ukawe mwezi wa mafanikio.
  15. Temeke, Dar: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti mtoto wa kiume mwenye miaka tisa

    Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo...
  16. Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma apata ajali Morogoro

    Ni Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma ambaye ni mkazi wa Upanga Dar es Salaam. Inasemekana yuko katika hali nzuri ===== MBUNGE wa Muheza, Hamis Mwijuma maarufu kwa jina la Mwana FA (CCM) amepata ajali usiku huu Agosti 30 katika eneo la Mkambarani mkoani Morogoro baada ya gari alilokuwa...
  17. R

    Basi kutoka Dar es Salaam to Lubumbashi, DRC

    Wakuu naomba kujua ni mabasi gani yanayo kwenda Lubumbashi, nauli zake na siku gani yanaondoka. Shukran sana
  18. Katibu mkuu uvccm taifa azindua dar es salaam jogging club kwa kishindo

    KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AZINDUA DAR ES SALAAM JOGGING CLUB KWA KISHINDO Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi (MNEC) leo amezindua Vijana Jogging Club Jijini Dar Es Salaam Iliyoandaliwa na UVCCM Mkoa Wa Dar Es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa wakati akizindua...
  19. Shule za Dar es salaam ni pasua kichwa

    Kwa wale wanaofundisha shule za Dar es salaam huu ni ujumbe kwenu. Fanya kazi sana lakini ujue hakuna bosi anayejali maslahi yako, utafanya kazi kama punda, sifa zote kwa mwenye shule. Kuna shule hasa hizi kubwa kubwa wafanyakazi hawafanani na ukubwa wa shule, mfano unakuta waalimu wamechoka...
  20. Dar es Salaam vijana jogging - tarehe 29/08/2021

    DAR ES SALAAM VIJANA JOGGING Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Comrade Mussa Kilakala unawakaribisha Vijana wote Mkoa wa Dar es salaam katika Uzinduzi wa DSM VIJANA JOGGING utakaofanyika siku ya Tarehe 29/08/2021. MGENI RASMI Comrade KENANI KIHONGOSI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…