dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

    Kwa muda wa takribani wiki mbili tangia niingie Dar es salaam nimejikuta na duwaa kwa kuwashangaa vijana na wanaume wanaovaa vipensi vifupi vinavyoonyesha mapaja. Je? Msingi wa jambo hili ni nini maana kimaadili halijakaa sawa. Hivi ni kweli vijana hawa hawaishi na watu wazima ambao wanaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Kinachosababisha Foleni jiji la Dar es Salaam nyakati za asubuhi na jioni tofauti na ufinyu wa barabara

    Moja ya sababu kubwa inayochangia foleni majira ya asubuhi na jioni kwenye barabara nyingi za Dar es salaam ni ufinyu wa VITUO VYA DALADALA. Kusema kweli VITUO VYA DALADALA jijini Dar es salaam ni vifinyu sana kiasi kwamba havitoshelezi DALADALA angalau 5 kuegesha kwa pamoja ili kushusha...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke ajeruhiwa kwa risasi za polisi maeneo ya Sinza Dar es salaam

    Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa Sinza Lion Dar es Salaam, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi maeneo ya begani katika harakati za Polisi kuwatuliza raia wenye hasira kali waliokuwa wanataka kumpiga mwizi aliyekwapua simu kwenye bodaboda majira ya saa 12:00 asubuhi ya leo Mei 20, 2022 Kwa maelezo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kiswahili and English Teachers at Dar es Salaam Independent School (DIS)

    DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL (DIS) Registration Numbers S. 2544 and DS/02/7/037 English and Kiswahili Teachers We need very experienced ENGLISH and KISWAHILI Teachers to join our well established Middle School Team Immediately. English and Kiswahili Teachers Requirements Experience of...
  5. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Bookshop

    Picha hii kwangu inanikumbusha miaka yangu ya mwanzo udogoni naanza kujitambua na kuingia kwenye duka la vitabu kununua vitabu. Nimenunua vitabu vingi duka hili kuanzia mwaka wa 1963 nikiwa na umri wa miaka 11. Safari ya kutoka nyumbani kuja "Picha ya Bismini," (Askari Monument) ilikuwa safari...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kununua Miguu ya kitimoto kwa Dar es Salaam kwa Kongoro

    Wakuu, kama una sehemu unafahamu wanauza miguu ya kitimoto nahitaji ya kununua. Nimefungua kijiwe cha Kuchemsha Kongoro zake. Nahitaji order kuanzia 80 na kuendelea. Nicheki kwa simu 0762 75 31 40, whatsapp pia 0762 75 31 40. Asanteni.
  7. JamiiForums Tanzania Napendekeza kuanzishwa kwa kampuni binafsi ya CCTV Surveillance kwa jiji la Dar es salaam

    Kampuni hii itaomba vibali vyote kutoka mamlaka husika kwa ajili kufunga Camera katika sehemu zote za makutano ya barabara (Junctions), mitaa mikubwa ya wilaya zote 5 hasa hasa katikati mwa mji, Sinza, Kinondoni, Masaki Nk. Linapotokea tukio lolote, mfano wizi wa vifaa vya gari, wizi wa gari...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Responded Hali ya soko la Mabibo wakati wa mvua ni mbaya sana

    Hili soko ni Maarufu kama Mahakama ya ndizi , liko Mabibo , Mkoa wa Dar es Salaam , Ushuru unaopatikana kwenye soko hili kwa mwaka ni zaidi ya hela ya madafu Bil 1.2 Toa maoni yako . ================================ WADAU WALALAMIKIA MIUNDOMBINU NA USAFI WA SOKO LA MABIBO Soko la Mabibo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Panya road ni wa kuchapa risasi bila huruma

    Alikuta taifa lake likiwa na uharifu mkubwa sana alipoingia madarakani mwaka 2016. Wauza unga walikuwa wengi, wakabaji wa kutumia siraha na majambazi. Alitumia njia moja tu kama mkuu wa vyombo vya ulinzi. Mhalifu mwenye silaha awe kibaka, muuza unga au jambazi akiwa na silaha frontline ni kula...
  10. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Hali ya mazingira Soko la Kawe siyo nzuri kwa afya za watumiaji na wakazi

    Kutokana na mvua kuendelea kunyesha mara kwa mara Jijini Dar es Salaam hali ya usafi katika Soko la Kawe imekuwa siyo nzuri, mazingira haya yanatajwa kuwa sio salama kwa watumiaji sokoni hapo na wakazi wa maeneo ya Kawe. Soko hilo lipo katika Jimbo la Kawe ambalo Mbunge wake ni Joseph Gwajima...
  11. JamiiForums Tanzania kuhusu panya road: Dar es salaam hakuna Polisi

    napenda kuhitimisha kuwa dsm hakuna askari polisi.. kuna polisi wa kuidhibiti chadema basi.
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka 1989 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutapeliwa jijini Dar es Salaam

    Mwaka 1989 wakati huo nikiwa na umri mdogo tu (chini ya miaka 10), niliwahi kutapeliwa na mtu ambae mpaka leo sikuwahi kumuona tena machoni kwangu. Iko hivi... Siku hiyo nilikuwa nimepewa Tsh 200 na shangazi yangu niende nikanunue sukari. Thaman ya Tsh 200 kwa kipindi kile ilikuwa kubwa sana...
  13. JamiiForums Tanzania Procurement Specialist at University of Dar es Salaam

    BACKGROUND The University of Dar es Salaam through the Government of the United Republic of Tanzania has received financing from the World Bank towards the cost of the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project. Loan No. / Credit No. / Grant No. 166415 and intends to apply part...
  14. JamiiForums Tanzania Majaribio ya Mifumo ya Umeme Katika Reli ya Kisasa (SGR) Dar es Salaam - Morogoro MOROGORO

  15. B

    JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo: Bodaboda na bajaji hawawezi kuondolewa katikati ya jiji la Dar es Salaam

    CHONGOLO: BODABODA NA BAJAJI HAWAWEZI KUONDOLEWA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo Kwa upande wa zoezi linaloendelea la kuwapanga watu wa bajaji na bodaboda mkoa wa Dar es salaam kuwa watu hao, hawawezi kuondolewa katikati ya jiji hilo...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: ATCL yashindwa kutua Comoro na kurudi Dar es Salaam kufuatia hali mbaya ya hewa

    Habari wana Jamvi, Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa sekta au tasnia ya usafiri wa anga kwa ndani ya nchi na kimataifa. Siku ya jana tarehe 21/04/2022 shirika la ndege la Tanzania lilikua na ndege yake Airbus namba TC 210 ambayo inatoka DAR-HAH (DAR-COMORO) ambayo iliruka saa 4 asubuhi kuelekea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya upatikanaji Maji Dar es Salaam ni shida. DAWASA iwajibike

    Ndugu Waziri wa maji, Hali ya upatikanaji maji katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Dar imekuwa ni shida. Majuzi DAWASA walitoa taarifa kuwa maji yangekatika kwa siku moja kupisha matengenezo, lakini leo tunakwenda siku ya tano hakuna maji, hivi mnataka sisi tuishije? Wakati mwingine muwe...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Askari wa usalama aliyevaa kiraia akielekeza magari kwa makini mtaa wa posta mpya Dar es Salaam

    Yupo makini kwa kazi yake
  19. JamiiForums Tanzania Malcom X akipunga upepo Dar es Salaam

    Wengi hawajui hili lakini alikuwa akifikia mitaa Gerezani.
  20. JamiiForums Tanzania Hivi LATRA ipo kwa ajili ya kudhibiti bei kwa ajili ya Mkoa wa Dar es Salaam tu?

    Kumekuwa na kilio cha kupanda nauli kwa mara mbili kwenye vyombo vya usafiri Nchi nzima,lakini cha ajabu Serikali na LATRA wameshughulikia watu wa Dar pekee. Sasa naomba kuuliza huko mikoani nauli zimepanda mara tatu lakini serikali haihangaiki wala hakuna wa kuwasemea ila watu wa Dar ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…