dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi wahadhiri chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo. Tangazo la ajira ni kama ifuatavyo:
  2. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata Mabwawa kwa ajili ya fishing na camping kwa Dar es Salaam?

    Wakuu bila shaka ni wazima kabisa. Nilikuwa napenda kuuliza wapi naweza kupata sehemu ina bwawa or mto ambao naweza fanya fishing adventure na camping kwa Dar es salaam? Natanguliza shukrani.
  3. JamiiForums Tanzania Serikali isiwalipe posho waliokuwa wakimsafirisha kwa gari mtoto mahututi toka Kigoma kwenda Dar es Salaam

    Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza! Walizipita hospitali za Kitete Tabora...
  4. JamiiForums Tanzania LATRA bado mmelala; hamjatoa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Wasafirishaji wanaamua nauli zao

    Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya.. Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao. Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa...
  5. JamiiForums Tanzania Tufanye yafuatayo ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika bandari yetu ya Dar es Salaam (TPA)

    Ukusanyaji wa mapato katika Bandari ya Dar es Salaam umekuwa ni changamoto tangu taifa letu lipate uhuru, tatizo hili limesababisha kufanyika mabadiliko ya wakurugenzi wa bandari (TPA) kila inapobidi kufanya hivyo tukidhani kwamba ndio dawa ya kutibu tatizo hilo. Lakini kwa wakati mwingine...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda azindua maonyesho ya michoro ya India jijini Dar

    Waziri Mkuu mstaafu Mheshimiwa Mizengo Pinda akizindua maonyesho ya michoro ya Msanii wa India Bw Narendar Reddy katika Ukumbi wa Ubalozi wa India . Katika uzinduzi huo uliofanyika Jana pia jumla ya picha 20 zilizochorwa na wasanii wa Tanzania chini ya uongozi wa Narendar Reddy zilionyeshwa...
  7. JamiiForums Tanzania TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Siasa na Sarakasi za Jiji la Dar es Salaam zina raha na Hadhi yake. Tunawamiss sana Kandoro, Makonda na Yusuph Makamba

    Kwa kweli Jiji la Dar es Salaam ni jiji kubwa na maarufu sana Duniani, lina hadhi ya kipekee, siasa za kipekee, burudani na sarakasi za kipekee hasa kutoka kwa wakazi na Viongozi wa jiji hilo pamoja na Burudani zilizopo. Kuna Muda una hitajika Ubabe, Kuna muda zinahitajika ucheshi . Kuna muda...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua viwanja vya basketball Dar es Salaam

    Natumai muwazima Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu Nipo kigamboni vijibweni
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

    Natumai muwazima Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu Nipo kigamboni vijibweni
  11. JamiiForums Tanzania Maambukizi yaongezeka nchini, Dar es Salaam yaripoti visa 130

    Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya kuanzia Mei 05 - Juni 03, maambukizi mapya 161 yamerekodiwa ikiwa ni ongezeko la 137% ikilinganishwa na kipindi cha Aprili 02 - Mei 04, 2022 Dar imeripoti visa 130, Arusha (10), Mwanza (5), Shinyanga (4), Mtwara (3), Dodoma (2), Mara (2), Morogoro, (1)...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Nimekuwa na tatizo kidogo kuhusiana na mfumo wa ajira portal ie online application. Hapo wameweka namba za msaada kama ukihitaji kuwapigia. Lakini hizi namba huwa aidha hazipatikani kabisa au unaambiwa ziko busy! Sasa nimeamua kufuatilia ofisini na ndio maana naomba maelekezo kwa anayefahamu...
  13. JamiiForums Tanzania Kila kitu connection ni muhimu sana, hasa hapa jijini Dar es Salaam

    Hi! Hapa Dar kazi nzuri sekta binafsi, NGO's, serikalini zipo za kutosha ila kama huna Connection utaishia kushobokea kazi za kutembeza vyombo vya promotions zinazotangazwa kwenye nguzo za umeme. Wanalipamba tangazo vizuri ukienda ofisini kwao unakutana na mabeseni. Fursa za scholarship nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Starehe za jiji la Dar es salaam linavyoshusha viwango vya wachezaji wa Simba na Yanga

    Hili jiji lisikie tu kwenye radio,ila Dar kuna starehe jamani,nimetembelea mikoa mingi nchini na nchi nyingi kidogo si haba,nyingine kwa kwenda phyisically nyingine kwa kusoma,kusikia,movies na mitandao .ila Dar bado ni kinara wa starehe,Jonas Mkude huwa anakula starehe mpaka anazima kesho yake...
  15. JamiiForums Tanzania Miaka 61 bila huduma ya maji Dar es Salaam

    Kipindi stendi kuu ya mabasi Mbezi inafunguliwa na mzalendo namba moja wa karne ya 21 Mh dk John Pombe Joseph Magufuli alitoa maelekezo ya kwamba barabara kutokea stendi hiyo kwenda mpigi magoe ianze kujengwa kwa kiwango cha lami pamoja na maji yapelekwe huko jimbo la kibamba lote Na kweli...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

    Natarajia kwenda njombe wana ndugu Basi gani zuri naweza tumia natanguliza shukurani naishi dar es salaam
  17. JamiiForums Tanzania Uhaba, utaratibu mbovu na umbali wa miundombinu ya kumwaga taka chanzo cha uchafuzi wa mazingira jijini Dar es Salaam

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na kampeni mbalimbali za kuhimiza ufanyaji usafi katika Jiji la Dar es Salaam. Viongozi hasa Wakuu wa Mikoa akiwamo Makalla na Mstaafu Makonda wamejaribu kuanzisha kampeni kwa kuwatumia watu maarufu na kushirikisha Media mbalimbali kuhimiza watu na kuweka siku maalum za...
  18. JamiiForums Tanzania Diaspora kujenga daraja kutoka Dar es Salaam mpaka Zanzibar ilikuwa ahadi ya uongo?

    Lini mnatekeleza hii ahadi ndugu zangu wa huko ng'ambo. Au mlitufunga kamba? HILI MLIAHIDI MIAKA MIWILI ILIYOPITA ====== Pia soma: - Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara - Mdau wa Diaspora ajibu maswali kuhusu daraja...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

    ======= Rais Samia akipokea Kombe Ndungu Waalikwa mabibi na mabwana, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kazi iendelee, Leo tunafurahi, sana na tunasherehekea kuliona kombe la Dunia, ambalo limepita hapa kwetu kabla ya kwenda Qatar, Pia tunafurahoi kuwaona wageni waliokuja nalo, pia kumuona...
  20. JamiiForums Tanzania Uzoefu wa kuibiwa/kutapeliwa Dar es Salaam

    Sisi watu wa kuja Dar ambao tuliletwa hasa na mambo ya shule nk kwa namna moja ama nyingine tumewahi kulizwa katika jiji letu hili pendwa. Mimi nina matukio kadhaa ya wizi ambayo nimewahi kufanyiwa hapa Dar. Tukio la kwanza, ilikua miaka ya 2009, enzi hizo nakaa maeneo ya riverside hapo karibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…