dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Information Technology Assistant at U.S Embassy Dar Es Salaam

    About: Announcement Number: Dar es Salaam-2022-037 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Voucher Examiner (Alternate Cashier) Open Period:03/17/2022 – 03/31/2022 Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3Series/Grade:LE – 0420 7 Salary: TZS TSh29,568,947 Work Schedule: Full-time –...
  2. Voucher Examiner (Alternate Cashier) at U.S Embassy Dar Es Salaam

    About Announcement Number: Dar es Salaam-2022-037 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Voucher Examiner (Alternate Cashier) Open Period:03/17/2022 – 03/31/2022 Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3Series/Grade:LE – 0420 7 Salary: TZS TSh29,568,947 Work Schedule: Full-time –...
  3. Dar: Baada ya agizo la Sirro, watu 41 wakamatwa kwa wizi wa pikipiki 21

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam limeendelea na operesheni kali dhidi ya vikundi mbalimbali vinavyojihusisha na uhalifu ikiwemo wizi wa Pikipiki, Bajaji na magari. Kutokana na oparesheni hiyo wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 41 katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na...
  4. K

    Kweli usafiri wa Bolt ni poa sana ukiwa Dar es Salaam

    Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana. Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda...
  5. Asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio inayopitia Dar es Salaam port, huku asilimia 98% ikipitia Mombasa port, asema mkurugenzi mkuu wa TRC

    Wadau mimi nilijua kwamba asilimia 20 ya mizigo ya Uganda hupitia Dar es Salaam port sasa leo nimepigwa na butwaa kusoma maneno aliyosema mkurugenzi mkuu wa TRC Masanja Kadogosa kwamba asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio hupitia Dar es Salaam port. Hio ina maana kwamba asilimia 98 ya...
  6. Librarian at Braeburn Dar es Salaam International School

    Braeburn Dar es Salaam International School is a member of the highly respected Braeburn Group of International Schools. Opened in September 201S, the school is a co-educationai day school offering the National Curriculum of England and Cambridge IGCSEs to students between the ages of 2 and 16...
  7. GSO Housing Assistant at US Embassy Dar Es Salaam

    About Announcement Number: Dar es Salaam-2021-045-RA Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: GSO Housing Assistant – All Interested Candidates Open Period: 03/09/2022 – 03/23/2022Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE – 0820 7 Salary: Not Specified Work...
  8. E

    Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume za mtumba mikoani

    Ndugu habari.. !! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani... Nina bidhaa za nguo za jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata Segerea. Mawasiliano 0744644627 0622531099 Hata pia kwa uliyeko Dar Es salaam...
  9. E

    Natafuta wauzaji wa nguo za mtumba Mikoani

    Ndugu habari! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani. Nina bidhaa za nguo za 👖 jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea Mawasiliano 0744644627 0622531099 Hata pia kwa...
  10. Akili za Magufuli: Alidai Mwanza ni Jiji na Dar es Salaam ni Mkoa

    Salaam Wakuu Ndo Maana watu wanalalamika rais ana Mamlaka makubwa hadi kuingilia Sheria, Historia na Maisha ya watu waishije. Yule mwenda zake alishauriana na Mke wake akaona atoe tamko kwamba Mwanza na Dodoma ni Majiji na Dar es Salaam ni Mkoa kinyume kabisa na Sheria na Kanuni za TAMISEMI...
  11. Msaada: Namna ya kufanya booking ya tiketi ya ndege kutoka Mpanda kwenda Dar

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa muongozo wa namna ya kubook online ticket ya ndege kutoka Mpanda to Dar es salaam kwa Air Tanzania Nina mpango wa kusafiri tar 18 mwezi huu na nina hitaji kubook ticket hiyo online ili nikimaliza shughuli zangu nitumie flight hiyo kurudi Dar JF Wajuaji...
  12. Natafuta mshirika kuanzisha learning center eneo la Pugu, Dar es salaam

    Salamu wapendwa. Ninatafuta partner ambaye yupo tayari kuwekeza pamoja nami kuanzisha learning center eneo la Pugu Kajiungeni Dar es salaam. Jengo ninalo na liko centre nzuri Pia nina waalimu wa somo la kiingereza kifaransa. Waalimu wa nursery na baby care sio shida kuwapata. Nimeshaanza...
  13. Car4Sale Toyota Vitz: Tabata, Dar es salaam

    Gari iko tabata.. picha za ndani sina Ac ya kujaza. Haina tatizo lolote Piston 4 cc 990 Mil 3.3 0713096076
  14. Inawezekana ndege kutumia dakika 5 kutoka Dar-Dodoma?

    Habari zenu wakuu, Kuna kitu najiulizaga nakosa majibu kwakweli yaani dunia imefikia level ambayo kila kitu washamaliza kabisa, and ndo mwisho unakaribia? Mimi hapa nilikuwa najiuliza swali dogo kabisa kuna ndege inatoka Dar mpaka Dodoma kwa dakika tano (5) ndio 5 na kuna gari inatembea...
  15. Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

    Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines. Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku. Zama amesema kuwa mumewe...
  16. Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  17. Nahitaji mwekezaji tunaeweza fanya biashara pamoja kwenye idea yangu ya bidhaa 6 awepo Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavosema wakuu Nahitaji mtu anaweza akawekeza Kwenye hili wazo la biashara.WAZO LENYEWE LIPO HIVI👇👇👇👇👇👇👇 Lengo kubwa nikuwasaidia wauza migahawa kuendesha biashara zao hata kama hawana mtaji na lakini pia kutanua biashara zao.Ipo hivi mama ntilie anavoamka asubuhi atataka kununua...
  18. B

    Makonda anaufedhehesha muhimili wa Mahakama; Hana madaraka lakini Mahakama inamtii

    Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake? Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya. Hakimu anadai...
  19. Kero za madereva wengi hapa Dar es Salaam

    Kwa watu ambao tumewahi kuendesha gari nchi zaidi ya moja, ukija kuendesha hapa nyumbani hasa Dar es Salaam unaweza kutamani kupiga watu makofi. Madereva wengi wa Dar hawana rush hour, sa 2 asubuhi ama sa 1 asubuhi wakati watu wana haraka ya kufika kazini unakuta mtu anaendesha gari kama vile...
  20. Jerry Silaa: Kamati za Bunge zikapige picha kwenye daraja la Tanzanite

    Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa ameipongeza serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi yake hasa ukamilikaji na kuanza kutumika kwa daraja la Tanzanite na kuziomba kamati za Bunge za mwezi Machi kufanya ziara na kupiga picha. Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 4, 2022, Bungeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…