dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Zena is looking for a job as a housekeeper at your home, office, 5 star ⭐️ hotel or lodge: available immediately in Dar es Salaam.

    Looking for a meticulous and reliable housekeeper to maintain the cleanliness and organization of your home or office? Meet Zena! With expertise in dusting, cleaning, ironing, and caring for various furnishings including wooden, leather, and velvet pieces, Zena ensures your space remains...
  2. JamiiForums Tanzania Speech of Kalisha Holmes, Spokesperson from U.S. Embassy Dar es Salaam on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections

    Speech at MCT Stakeholders Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections Ladies and gentlemen, distinguished guests, I bring you greetings on behalf of Ambassador Michael Battle, the U.S. Ambassador to Tanzania on this special occasion. He sends his deep regrets that he...
  3. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Uzuri uliojificha vol.2

    Dar es Salaam Dar es Salaam Dar es Salaam, Jiji la pili kwa ukubwa Afrika Mashariki. Limetajwa katika tungo za nyimbo kibao na wasanii wa kila kizazi.Jiji lenye mjumuiko wa makabila yote 126 napa nchini na watu wa mataifa mbalimbali. Lakini limekuwa likijulikana kama Jiji la kibiashara zaidi...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Haiwezekani sote tukawa wapole, tutaonewa sana

    Nimeipenda sana hii statement ya Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila. Nakubaliana naye kuwa ni kweli kabisa haiwezekani kwa watendaji wote mkawa wapole lazima wengine wapo ni wakali kwa asili yao, na huo ukali wao ni faida kubwa kwenye kuharakisha maendeleo. ukali ni muhimu sana, bila ukali wabongo...
  5. JamiiForums Tanzania Poleni sana ndugu zangu wa Dar es salaam kwa mvua zinazoendelea kunyesha

    Athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko na kusababisha mafuriko makubwa kutatiza masomo ya vijana, makazi mengi ya watu kujaa maji, miundombinu hususani ya barabara kuharibika, nishati ya umeme kutatizika, shughuli za uzalishaji, biashara na huduma za usafirishaji kuzorota pakubwa ni...
  6. JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde: Watu 34 wamehodhi eneo lenye ukubwa mara 12 ya Dar es Salaam

    "Kuna watu 34 wameweka maombi ambayo hayajalipiwa na hayana sifa ambapo kwa jumla wanashikilia eneo la ukubwa wa ekari 4,316,955 sawa na kuwa na mikoa ya Dar es Salaam 12, eneo lote hili limekaa bila kufanyiwa chochote.” Anthony Mavunde
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo Chanika Dar es salaam

    Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua zilipo ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki (Dar es Salaam) anitajie zilipo

    Ndugu zangu naomba kujua zilipo ofisi za EWURA hapa Dar es Salaam. Nime-Google sehemu nyingine wanasema ziko Kijitonyama PSPF Tower, sehemu nyingine wanasema ziko Mawasiliano Tower, Sam Nujoma Road na simu zilizopo kwenye tovuti yao hazi patikani. Tafadhali kama unajua zilipo pamoja na namba...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
  10. JamiiForums Tanzania Leaders of the Ahmadiyya from Sub-Saharan Africa participated in the Seminar to discuss the challenges of ethics

    Leaders of the Ahmadiyya Community from Sub-Saharan Africa have gathered in Tanzania for a two-day seminar (20th April and 21st 2024). The seminar, held in Dar es Salaam, focuses on discussing ethical issues in the participating countries. The participants include leaders aged 40 and above...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka. Natanguliza shukurani.
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Battle: Dar Es Salaam VS Kampala

    Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kampala kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Kampala. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Kampala wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Barabara za Tabata Kimanga ni Mbovu sana

    Nimeenda kumtembelea shangazi yangu yupo kimanga; aiseee! Sikuwai kuona barabara mbovu kama ile. Yaani ni siyo kwa mashimo yale. Binafsi kichwa, mgongo na kiuno vinauma. Sasa nikawa najiuliza, huku mimba hazichoropoki? Watoto dish zao (akili) haziyumbi? Vyombo vya moto navyo haviko salama hata...
  14. JamiiForums Tanzania Lecturer (Maritime Transport/Marine Engineering) at Dar es Salaam Maritime Institute

    POST LECTURER (MARITIME TRANSPORT/MARINE ENGINEERING)(RE-ADVERTISED) – 1 POST EMPLOYER DMI APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach and conduct seminars up to NTA level 9 (Master Degree); ii. To guide and supervise students in building...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli. Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani wa mji, achilia mbali DC. Mbunge wa Ubungo (labda atapeleka pua) kwa ajili ya kampeni, Sina hakika...
  16. JamiiForums Tanzania World war 1, Dar es Salaam

    Dar es salaam Ikulu ya Mjerumani ikiteketea baada ya kupigwa kombora toka kwenye meli ya mwingereza. Kwenye eneo hilo ilibidi mwingereza ajenge Ikulu mpya Miongoni mwa maeneo yaliyoshambuliwa siku hiyo ni pamoja na mnara wa mawasiliano (wireless tower) ambao Wajerumani walikuwa wakiutumia kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Dar es salaam: Uzuri uliojificha

    Arusha,Zanzibar,Kilimanjaro,Mara na Mbeya ni moja kati ya sehemu ambazo zimekuwa ukipata sifa lukuki juu ya uzuri wa maeneo ndani ya mikoa hiyo. Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuonesha uzuri wa Dar,Jiji ambalo mamillion ya watu pamekuwa nyumbani....Kuna maeneo mengi mazuri na vivutio vingi...
  18. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es salaam kulazimika kutembea na oksijeni baada ya miaka mitano

    Profesa wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Julius Nyahongo amesema kuwa miaka mitano ijayo, wakazi waishio Dar es Salaam watalazimika kutembea na oksijeni kutokana na ongezeko la joto. Profesa Nyahongo amesema kuwa ongozeko hilo la joto linachangiwa na ukataji wa miti kiholela hali inayohatarisha...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe, Dar es Salaam

    Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa Majohe kwa muda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi. Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafiri ikiwemo usafiri wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe Dar es salaam

    Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa majohe kwa mda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafir ikiwemo usafir wa umma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…