dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Nazjaz

    Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

    Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
  2. Hismastersvoice

    Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

    Kiwango cha joto mchana wa leo jijini Dar es Salaam kimefika kati ya 33°c na 34°c, hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili, chukua tahadhari usinywe bia mchana huu kuepuka kupoteza maji mwilini.
  3. Roving Journalist

    Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  4. JanguKamaJangu

    Popo tishio kwa maisha ya Wakazi wa Upanga Dar es Salaam

    Na Francis Godwin Changamoto ya Ndege aina ya popo imekuwa ni Tishio Kubwa kwa wakazi wa Mtaa wa Seaview Kata ya Kivukoni Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam. Madhara ya popo yanaweza kutofautiana kutoka kwa kipindi cha mwaka na eneo. Hapa kuna madhara kadhaa yanayoweza kutokea kwa sababu ya...
  5. ALPHA2012

    Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Ndugu, naomba kufahamu kwa anayejua hizi Joining Instructions za kujiunga Chuo Kikuu cha Dar es salaam zinapatikanaje? Muda umeenda sana na masomo karibu yanakaribia. Nimeomba online na kujibiwa kuwa nimechaguliwa na pia nime confirm kwa kutumia code namba. Kwa sasa kwenye account yangu...
  6. Akotia

    Unpopular opinions kuhusu Samaki: Kutoka Dar es Salaam Kwenda Mwanza na Bukoba"

    Juzi kati nikipata fursa ya kutembelea Kanda ya ziwa Kwa wiki kadhaa. Nikapata uzoefu wa kipekee nilipotembelea Mwanza na Bukoba, maeneo ambayo mimi kama mkazi wa Dar es Salaam niliyozoea maisha yake ya pwani, nilifunzwa mambo mengi hasa kuhusu vyakula hasa hasa Samaki. Nikiwa Dar es Salaam...
  7. Mr Why

    Natafuta bucha la nyama ya mbuzi Dar es Salaam

    Wapendwa natafuta bucha linalouza nyama ya mbuzi Dar es Salaam Ni muda mrefu sana sijapata hii nyama mwenye connection atoe location na namba zao za simu
  8. JanguKamaJangu

    Kijijini, Mbezi Beach eneo hatari Jijini Dar es Salaam

    Na Waandishi Wetu, TimesMajira Online, Dar es Salaam UKISTAAJABU ya Mussa Utayaona ya Firauni. Msemo huu unakamilisha picha halisi ya maisha ya wakazi wa eneo la Kijijini, lililopo katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ukifika katika eneo hilo...
  9. Brain Kingdom

    Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

    Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia. Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka...
  10. A

    DOKEZO Kero yangu kuhusu utaratibu wa 'refund' kwa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT)

    Habari! Napenda kuleta kero yangu ili mnisaidie kufikisha kwa wahusika wa Chuo cha DIT. Kuna kero kubwa hususani kwa wanafunzi waliopata mkopo kupitia Bodi ya mkoppo ya elimu ya juu (HESLB) pale wanapokuwa wanaanza mwaka wa masomo huitajika kulipa ada kwanza kabla ya kufanyika usajili...
  11. Hismastersvoice

    Watembea kwa miguu wanagongwa sana na bodaboda Mbagala Rangitatu na Zakhiem Dar es salaam, hali ni tete. Polisi wa usalama barabarani tusaidieni

    Ninaliomba jeshi la polisi usalama barabarani Dar es Salaam ikiwezekana wote mpige kambi kwa siku mbili eneo la Mbagala ili mdhibiti hili kundi la bodaboda wahalifu, ninaposema wote najua bodaboda ni wajeuri hawazuiliki. Tatizo ni nini, tatizo lililopo ni uhalifu unaotokana na madereva wa...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Ukweli ni kwamba watu wengi wa Dar es Salaam wamezidiwa kipato na watu wa mikoani

    Kijana wa Dar akinunua sabufa, sofa la watu 2, kitanda cha chuma na godoro, akipanga chumba kimoja, choo cha jumuia hapo katoboa maisha. Wapo vijana waliofanikiwa wakajenga, kununua usafiri na wengine kumiliki biashara lakini wastani wa vijana wanaoishi kwenye chumba kimoja na vikorokoro vyao...
  13. Offshore Seamen

    Meli ya Vitabu Bandari ya Dar es Salaam "Mv Logos Hope" yaingia tena baada ya miaka 7

    Mv Logos Hope ni meli ya vitabu yenye library kubwa yenye vitabu mbalimbali inayozunguka kwenye mataifa na bandari mbalimbali duniani. Meli hii ya kihistoria ilijengwa mwaka 1973 huko Randsburg, kaskazini mwa Ujerumani kisha ikapita mikononi mwa kampuni tofauti mpaka 2004 ilipochukuliwa na...
  14. MamaSamia2025

    Kampuni ya Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatangaza ajira kwa wanawake

    Kampuni yenye ofisi zake jijini Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatafuta wanawake 10 wa kushusha lori 4 za saruji. Yaani kwa siku ni kushusha saruji kwenye malori manne. Hii ajira ni ya kudumu. Changamkieni fursa kina dada.
  15. Roving Journalist

    Uongozi wa Muhimbili, Jeshi la Polisi na RRH za Dar es Salaam wakutana Dar es Salaam

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo Oktoba 4, 2023 umekutana na Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Temeke, Amana, Mwananyamala, Waganga Wakuu wa Manispaa hizo, Kamishna Msaidizi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi Jinai (Forensic Bureau), Msaidizi wa Kamishna...
  16. GENTAMYCINE

    Haya Mvua ya El Nino imeshaanza Majaribio yake Mkoani Dar es Salaam hivyo tujiandae nayo

    Na kama Mtu ambaye nimejiandaa kuwa Mtetezi wa Serikali pale Mvua za El Nino zikianza ni Mimi GEBTAMYCINE. Tokea Mwezi wa Tano ( May ) au wa Sita ( June ) Serikali kupitia Media mbalimbali kila Siku imekuwa ikitoa Tahadhari kwa Wananchi ( hasa wa Mabondeni Kuhama ) ila nasikitika kusema kuwa...
  17. BARD AI

    Dar es Salaam yaongoza kwa Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa Tanzania

    ZAIDI ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa kwa kipindi cha Januari hadi Agosti mwaka huu ambapo mkoa wa Dar es Salaam unaongoza ukifuatiwa na mikoa ya Dodoma, Morogoro na Arusha. Jumla ya dozi 180,000 za chanjo ya kichaa cha mbwa zimesambazwa katika halmashauri 26 nchini kuanzia...
  18. ChoiceVariable

    Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

    Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa. Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na hali Iko hivyo kwenye Mikoa Mingi sana. Sasa kipele kimepata mkunaji ambao km 51 zilizosalia zinaenda...
  19. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Riverside Dar es Salaam

    Habari wakuu, Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo; 1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam 2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside 2. Iwe na chumba kimoja master na sebure 3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium Nipo tayari kwa bei yoyote.
  20. Roving Journalist

    Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
Back
Top Bottom