Barabara nyingi Dar es Salaam zimejaa mashimo, hivi wahusika hamlioni hili?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,692
40,947
Unapoingia jijini Dar es Salaam kupitia Barabara ya Morogoro, utapokewa na barabara za kuvutia zenye madaraja ya juu yanayopita magari na ya waendao kwa miguu, hakika utaona sura ya jiji inayopendeza.

Lakini unapoanza kuingia mitaani, utachoshwa na barabara mbovu na kwa kipindi hiki cha mvua, nyingi zimejaa maji katika mahandaki na kutengeneza madimbwi, huku nyingine zikishindwa kupitika kabisa.

Hali kwa sasa inatisha.

Yaani ukiachana na barabara ya kuanzia Kimara Mwisho mpaka Kibaha Maili Moja.

Nyingine zote hatua kumi tu unakwepa handaki.

Ni aibu tupu kwa nchi ambayo watu Mia nane wanakwenda kuhudhuria kongamano moja tu lakini wanaacha barabara za mji mkuu wa kibiashara hazipitiki.

Sijui kwakweli wahusika mnampango gani maana hali ya barabara za Dar es Salaam ni ya kusikitisha mno.

Njoo tu hapa Kanisa la St. Albans karibia na Holiday Inn pale kuna mashimo ya kutosha na ni city centre kabisa.

Ali Hassan Mwinyi Road mashimo, Samora mashimo kila mahali jiji zima ni mahandaki tu mnayakwepa.

Fanyeni jambo.

Barabara.jpg
 
Ni aibu tupu kwa nchi ambayo watu Mia nane wanakwenda kuhudhurua kongamano moja tu lakini wanaacha barabara za mji mkuu wa kibiashara hazipitiki.

Al hassan mwinyi Road mashimo, samora mashimo kila mahali jiji zima ni mahandaki tu mnayakwepa.

Fanyeni jambo.
Badilisha aina ya Gari,
Unatumia mtoto wa gari badala ya Baba mwenyewe

Tumia V8 landcruuser au V6 utakuja nishukuru na utaona kumbe barabara za Tanzania ni nzuri sana

Hizo gari ndogo hakuna tofauti na kukaa juu ya mkokoteni ndio maana unaona mahandaki
 
Hayo ma vieite ni ya chama na serikali sisi wanyonge tukumbukwe kwa kodi zetu kutumika ipasavyo kufukia mashimo na sisi tufurahie japo kidogo.
 
Tulia kwanza tuvunje madanguro
Hapo hatuna mkuu wa mkoa tumeliwa aisee.

Nchi kama tuko vitani ila huwezi amini tumekuwa na amani mwaka wa 60 huu ila barabara za mji mkuu wa kibiashara ni mahandaki matupu tena City centre.

Hizo kodi wanazokusanya zinafanyia nini ??

Au ndio kununua magoli kwenye mechi na kufund safari za nje ya nchi??
 
Hayo mahandaki nazani ndo Yale ya Hamas. Wamekuja yaficha tz ili yasipigwe na magruneti ya myahudi
 
Hali kwa sasa inatisha.

Yaani ukiachana na barabara ya kuanzia Kimara Mwisho mpaka Kibaha Maili Moja.

Nyingine zote hatua kumi tu unakwepa handaki.

Ni aibu tupu kwa nchi ambayo watu Mia nane wanakwenda kuhudhurua kongamano moja tu lakini wanaacha barabara za mji mkuu wa kibiashara hazipitiki.

Sijui kwakweli wahusika mnampango gani maana hali ya barabara za Dar es Salaam ni ya kusikitisha mno.

Njoo tu hapa Kanisa la St. Albans karibia na Holiday Inn pale kuna mashimo ya kutosha na ni city centre kabisa.

Al hassan mwinyi Road mashimo, samora mashimo kila mahali jiji zima ni mahandaki tu mnayakwepa.

Fanyeni jambo.
Si mlisema baba yenu yule alijenga Barabara zote Kwa lami huko Dar imekuaje tena ? 🤪🤪
 
Barabara ya kilwa eneo la Mbagala rangi3 Haina mashimo ila foleni haiishi hata ukipita saa 6 usiku hii ni kutokana na wafanyabiashara kufanyia biashara barabarani na Cha kushangaza trafiki wapo Sasa sijui Ile dhana ya usalama barabarani inahusu magari tu na sio binadamu make wao kazi yao ni kushughurika na magari tu hasa yenye makosa na kuyapiga faini na mambo mengine ambayo si vzr kuteleza humu kwani ni utata mtupu!! Wito tu na ujumbe ikibidi uwafikie viongozi wao kuwa usalama wa barabarani ni pamoja na hao wafanyabiashara kwani wakigongwa lawama itarudi Kwa trafiki
 
Unapoingia jijini Dar es Salaam kupitia Barabara ya Morogoro, utapokewa na barabara za kuvutia zenye madaraja ya juu yanayopita magari na ya waendao kwa miguu, hakika utaona sura ya jiji inayopendeza.

Lakini unapoanza kuingia mitaani, utachoshwa na barabara mbovu na kwa kipindi hiki cha mvua, nyingi zimejaa maji katika mahandaki na kutengeneza madimbwi, huku nyingine zikishindwa kupitika kabisa.

Hali kwa sasa inatisha.

Yaani ukiachana na barabara ya kuanzia Kimara Mwisho mpaka Kibaha Maili Moja.

Nyingine zote hatua kumi tu unakwepa handaki.

Ni aibu tupu kwa nchi ambayo watu Mia nane wanakwenda kuhudhuria kongamano moja tu lakini wanaacha barabara za mji mkuu wa kibiashara hazipitiki.

Sijui kwakweli wahusika mnampango gani maana hali ya barabara za Dar es Salaam ni ya kusikitisha mno.

Njoo tu hapa Kanisa la St. Albans karibia na Holiday Inn pale kuna mashimo ya kutosha na ni city centre kabisa.

Ali Hassan Mwinyi Road mashimo, Samora mashimo kila mahali jiji zima ni mahandaki tu mnayakwepa.

Fanyeni jambo.

Hata Kimara hali ni mbaya mnoo. Njia ya bonyokwa inaenda hadi airport na viungo vyake hali si nzuri. Waliahidi kutengeneza kuanzia tarehe Dec 2023 kwa kiwango cha lami lakini hakuna Dalili. Utadhani wanaotumia njia huyo siyo walipa Kodi wa nchi hii.
 
Unapoingia jijini Dar es Salaam kupitia Barabara ya Morogoro, utapokewa na barabara za kuvutia zenye madaraja ya juu yanayopita magari na ya waendao kwa miguu, hakika utaona sura ya jiji inayopendeza.

Lakini unapoanza kuingia mitaani, utachoshwa na barabara mbovu na kwa kipindi hiki cha mvua, nyingi zimejaa maji katika mahandaki na kutengeneza madimbwi, huku nyingine zikishindwa kupitika kabisa.

Hali kwa sasa inatisha.

Yaani ukiachana na barabara ya kuanzia Kimara Mwisho mpaka Kibaha Maili Moja.

Nyingine zote hatua kumi tu unakwepa handaki.

Ni aibu tupu kwa nchi ambayo watu Mia nane wanakwenda kuhudhuria kongamano moja tu lakini wanaacha barabara za mji mkuu wa kibiashara hazipitiki.

Sijui kwakweli wahusika mnampango gani maana hali ya barabara za Dar es Salaam ni ya kusikitisha mno.

Njoo tu hapa Kanisa la St. Albans karibia na Holiday Inn pale kuna mashimo ya kutosha na ni city centre kabisa.

Ali Hassan Mwinyi Road mashimo, Samora mashimo kila mahali jiji zima ni mahandaki tu mnayakwepa.

Fanyeni jambo.

Tunakumbushia tu!
UJENZI WA DHARURA BARABARA YA KIMARA - BONYOKWA UANZE MARA MOJA

Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa Pamoja na Mkuu wa Mkoa Mhe Albert Chalamila leo Novemba 13, 2023 wamefika katika barabara ya Kikwete High way itokayo Kimara mwisho kuelekea Bonyokwa kuona changamoto zinazowakabili watumiaji hususani katika Kipindi hiki cha mvua ambacho kimechangia uharibifu mkubwa

Wananchi walijitokeza kwa wingi kuelezea kero na changamoto wanazopata zikiwemo kukosa huduma ya afya, nauli za bajaji na bodaboda kupanda, biashara zao kukwama na zaidi kila mwaka wanapewa majibu ya kiasa wanapohitaji utatuzi wa changamoto zao.

Mhe Innocent Bashungwa aliwahakikishia wananchi wa maeneo hayo kwamba mkandarasi anatakiwa kuanza ujenzi wa barabara hiyo yenye KM 7 kwa kiwango cha lami mwezi Desemba mwaka huu pia ametoa agizo ujenzi wa dharura uanze mara moja, "Ninakuelekeza meneja TANROAD gusa mfuko wako wa dharura tafuta mkandarasi ambaye wakati wananchi wamelala yeye anatengeneza hii barabara."

Mhe. Chalamila alitilia mkazo suala la ujenzi huo uanze muda huohuo kwa kuagiza meneja wa TANROADS abaki pale kuanza kazi na ifikapo kesho jioni atapita kukagua na kuwachukulia hatua iwapo hawatafuata maelekezo waliyopewa, "Kwakuwa Mhe Waziri amesema wakatafute hela ya dharura, nataka niwaahidi kesho jioni, saa mbili ya usiku nitakuwa hapa," alisema RC Chalamila.

Vilevile RC Chalamila amewataka watumie 'molam' ili kuepuka utelezi kwa watumiaji, ni muhimu kurudisha mawasiliano kati ya pande hizo mbili, matatizo wanayokumbana nayo ni makubwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan bado ana mipango mingi ya utoaji wa fedha ili kuendelea kutatua kero za muda mrefu na zile za muda mfupi kwa mwananchi.

Naye mbunge wa jimbo hilo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo alisema kwamba wananchi wanapokuwa na shida wana haki yakuwalaumu viongozi wao na kuwaomba wawe na subira kwakuwa barabara hiyo imeshaingia kwenye mpango na suala hilo lishafika bungeni na ipo kwenye bajeti.

Awali mhe. Bashungwa na RC Chalamila walifanya ziara kata ya Kibamba na kukagua ujenzi wa barabara inayoanzia Kibamba Shule kuelekea Mpiji Magohe yenye urefu wa KM 9.2 ambayo ishakamilika KM 2 huku KM 1.5 ujenzi wake unaendelea. Sambamba na hapo walifika mpaka Kiluvya kukagua mchakato wa ujuenzi wa barabara ya mwendo kasi inayotarajiwa kufika mpaka kibaha.
 
Kila mahali hali ni tee.

Ukarabati unahitajika ila wahusika wamekausha kama vile hawahusuji na kodi wanachukua.
 
Unapoingia jijini Dar es Salaam kupitia Barabara ya Morogoro, utapokewa na barabara za kuvutia zenye madaraja ya juu yanayopita magari na ya waendao kwa miguu, hakika utaona sura ya jiji inayopendeza.

Lakini unapoanza kuingia mitaani, utachoshwa na barabara mbovu na kwa kipindi hiki cha mvua, nyingi zimejaa maji katika mahandaki na kutengeneza madimbwi, huku nyingine zikishindwa kupitika kabisa.

Hali kwa sasa inatisha.

Yaani ukiachana na barabara ya kuanzia Kimara Mwisho mpaka Kibaha Maili Moja.

Nyingine zote hatua kumi tu unakwepa handaki.

Ni aibu tupu kwa nchi ambayo watu Mia nane wanakwenda kuhudhuria kongamano moja tu lakini wanaacha barabara za mji mkuu wa kibiashara hazipitiki.

Sijui kwakweli wahusika mnampango gani maana hali ya barabara za Dar es Salaam ni ya kusikitisha mno.

Njoo tu hapa Kanisa la St. Albans karibia na Holiday Inn pale kuna mashimo ya kutosha na ni city centre kabisa.

Ali Hassan Mwinyi Road mashimo, Samora mashimo kila mahali jiji zima ni mahandaki tu mnayakwepa.

Fanyeni jambo.

Chalamila yupo lakini yeye anaona bora akamate madada poa na kuudhi wabunge ambao ndiyo wateja wao wakuu na kuacha ubovu wa barabara ukizidi kukithiri
 
Chalamila ni mtu wa hovyo kuwahi kushika public office.

Huwa anazungumza mambo ya kijinga kijinga tu ili kuchekesha.

Ukuu wa Mkoa.sio Commedy ile ni dhamana.

Akitaka watu wacheke akajiunge na kina joti.
 
Tunakumbushia tu!
UJENZI WA DHARURA BARABARA YA KIMARA - BONYOKWA UANZE MARA MOJA

Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa Pamoja na Mkuu wa Mkoa Mhe Albert Chalamila leo Novemba 13, 2023 wamefika katika barabara ya Kikwete High way itokayo Kimara mwisho kuelekea Bonyokwa kuona changamoto zinazowakabili watumiaji hususani katika Kipindi hiki cha mvua ambacho kimechangia uharibifu mkubwa

Wananchi walijitokeza kwa wingi kuelezea kero na changamoto wanazopata zikiwemo kukosa huduma ya afya, nauli za bajaji na bodaboda kupanda, biashara zao kukwama na zaidi kila mwaka wanapewa majibu ya kiasa wanapohitaji utatuzi wa changamoto zao.

Mhe Innocent Bashungwa aliwahakikishia wananchi wa maeneo hayo kwamba mkandarasi anatakiwa kuanza ujenzi wa barabara hiyo yenye KM 7 kwa kiwango cha lami mwezi Desemba mwaka huu pia ametoa agizo ujenzi wa dharura uanze mara moja, "Ninakuelekeza meneja TANROAD gusa mfuko wako wa dharura tafuta mkandarasi ambaye wakati wananchi wamelala yeye anatengeneza hii barabara."

Mhe. Chalamila alitilia mkazo suala la ujenzi huo uanze muda huohuo kwa kuagiza meneja wa TANROADS abaki pale kuanza kazi na ifikapo kesho jioni atapita kukagua na kuwachukulia hatua iwapo hawatafuata maelekezo waliyopewa, "Kwakuwa Mhe Waziri amesema wakatafute hela ya dharura, nataka niwaahidi kesho jioni, saa mbili ya usiku nitakuwa hapa," alisema RC Chalamila.

Vilevile RC Chalamila amewataka watumie 'molam' ili kuepuka utelezi kwa watumiaji, ni muhimu kurudisha mawasiliano kati ya pande hizo mbili, matatizo wanayokumbana nayo ni makubwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan bado ana mipango mingi ya utoaji wa fedha ili kuendelea kutatua kero za muda mrefu na zile za muda mfupi kwa mwananchi.

Naye mbunge wa jimbo hilo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo alisema kwamba wananchi wanapokuwa na shida wana haki yakuwalaumu viongozi wao na kuwaomba wawe na subira kwakuwa barabara hiyo imeshaingia kwenye mpango na suala hilo lishafika bungeni na ipo kwenye bajeti.

Awali mhe. Bashungwa na RC Chalamila walifanya ziara kata ya Kibamba na kukagua ujenzi wa barabara inayoanzia Kibamba Shule kuelekea Mpiji Magohe yenye urefu wa KM 9.2 ambayo ishakamilika KM 2 huku KM 1.5 ujenzi wake unaendelea. Sambamba na hapo walifika mpaka Kiluvya kukagua mchakato wa ujuenzi wa barabara ya mwendo kasi inayotarajiwa kufika mpaka kibaha.
Hata barabara ya makabe-msakuzi
Hali mbaya sana kule

Ova
 
Back
Top Bottom