dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi bora inayouza viwanja dar es salaam

    Salaam Mwenye uzoefu na kampuni inayouza viwanja, anisaidie Yapo ninayoyajua ila ujanja mwingi Karibuni
  2. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Mbagala Zakhiem paheshimiwe sana pana maajabu yake

    Katika eneo ambalo linaendana huduma masaa 24 basi Mbagala Zakhiem pale ni kiboko sijawahi kuona, Nilishawahi kutokea Mtwara nikasimama pale saa 9 usiku, nikapata.mchicha fresh,samaki fresh,matunda na mahitaji mengine utasema mchana, wale jamaa wanamaanisha maana ya jiji linavyotakiwa kuwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wauzaji maji Dar es Salaam walia hali ni mbaya kibiashara kutokana na maji kuadimika

    BAADHI ya wafanyabiashara wanaouza maji wanayohifadhi katika matangi ya kubebwa na magari maarufu maboza, mkoani Dar es Salaam, wamelalama hali ni mbaya kibiashara kutokana na maji kuadimika. Katika mazungumzo na Nipashe, wafanyabiashara hao wamedai kuwa kuadimika kwa bidhaa yao hiyo kunawapa...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Seeking a Mentor to Help Me Start Online Freelancing (Dar es Salaam)

    Hey guys, I’m reaching out with a heavy heart and a strong desire to change my current situation. I’ve been working in a low-paying marketing job for nine years, applying for better opportunities but getting nowhere. I’ve also tried starting small businesses over the years, but they’ve all...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Polisi kumtafuta mmiliki wa Jengo lililoporomoka Kariakoo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linamtafuta popote alipo mmiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu 15 na kujeruhi wengine zaidi ya 80. Pia, amesema kuwa Serikali imeunda timu ya watu 19 kwa ajili ya kukagua...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Emergency response team ya Dar es Salaam imekua kulinganisha na zamani

    Ukweli usemwe. Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti. Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku. Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kuwe na mkakati maalumu wa kupunguza idadi ya Wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam

    Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam. Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri. Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Dar Es Salaam, ningefanya haya kujiandaa na Majanga na wakati wa Majanga

    Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga. Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni...
  10. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu ina vibaka wengi Dar Es Salaam kama Kiwalani?

    Huku kuna vibaka na wahuni aisee! Ukiwa mgeni hujulikani unaweza ukakabwa hata mbele ya wamama wakaanga sambusa na wakabaji wasifanywe kitu chochote. Kuna sehemu ya kuizidi Kiwalani kwa vibaka? Tushirikishe
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mandonga amerudi upya, amekuja na Ngumi SGR, unapigwa Tanga kuzinduka Dar

    Bondia wa Ngumi nchini Karim Mandonga ametamba kuonyesha Ngumi ya SGR katika Pambano la Ngumi ya Tanga litakalofanyika Novemba 16 likiwa ni kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu. Mandonga aliyoa tambo hizo wakati wa mkutano na...
  12. Rashidmayunga

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari la kufanyia taksi mtandao - Bolt & Uber. Nina uzoefu wa miaka mitano

    Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt au Uber. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam. Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0759280756. Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis, Raum au Vitz
  13. M

    JamiiForums Tanzania Plot4sale

  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akizungumza Na wajumbe wa Tume ya Mipango Ikulu ya Dar es Salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Nawaambieni muda wote na siku zote kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi muda wote anafanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watanzania,muda na wakati wote anahangaika kutatua kero za watanzania,muda na kila dakika anafanya kazi ya kutafuta majawabu ya changamoto...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mjini ni Dar es Salaam tu, Majiji yaliyobaki ni vijiji vikubwa

    Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma na Tanga ni VIJIJI VIKUBWA Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo Mji kuwa wazi walau hadi saa tano usiku Mzunguko wa pesa angalau 1/3 ya dsm Maghorofa zaidi ya 5 yaliyovuka ghorofa 10 Uwanja wa ndege wenye Destinations...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF, Patrice Motsepe ashtakiwa Dar es Salaam, Kesi ya Tsh. bilioni 525.8 kuunguruma leo Novemba 4, 2024

    Rais wa Shirikisho la soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe yamemkuta makubwa nje ya uwanja ambayo yatamlazimu kuwepo Dar es Salaam. Bosi huyo ambaye ni mmiliki wa klabu tajiri ya Mamelodi Sundowns amefunguliwa kesi nzito na kesho jumatatu itaanza kuunguruma Jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako yuko sahihi, ukiishi Dar es Salaam ukafa masikini wewe ni mjinga

    Wote mnaoishi Dar es salaam huku mnalia maisha magumu ni mafala,aliwahi kusema Anton Lusekelo mzse wa upako Ukipita barabarani ni foleni za magari lakini wewe huna hata pikipiki we ni Majumba yote jiji zima lakini huna hata kiwanja wewe ni ...... Jiji lina watu milioni sita,ukibuni product...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
  19. Mzee Wa Kale Kabisa

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme umerudi Dar es Salaam?

    Maeneo mengi ya Dar es Salaam kwa sasa yanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, umeme umekuwa ukikatika kwa masaa kadhaa huku kukiwa hamna taarifa yoyote kutoka kwa wahusika. TANESCO mtuweke wazi ili tunavyopanga ratiba zetu na ninyi tuwajumuishe na mipango yenu ya kukata...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo zinazolipa Dar es salaam

    Kuna biashara zinaonekana ndogo lakini kipato chake kimechangamka 1. Miwa- hii inalipa sana 2. Karanga 3. Kahawa- faida X2 4. Fenesi- k/koo&sinza, Niongezeeni nyingine, nahitaji kutoa ajira kwa wapambanaji zaidi.
Back
Top Bottom