dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. MUCOS

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali. Vituo vya tuition centres vinapatikana wapi kwa Dar es salaam?

    Wakuu salamu zenu. Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru kupitia maelekezo yenu nimeweza kussetle vema kabisa jijini. Baada ya hapo naomba kupewa tena msaada juu...
  2. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar: Wabunge waipongeza TRA kufungua ofisi ya walipa kodi binafsi wenye hadhi ya juu

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuanzisha Ofisi ya Walipa Kodi binafsi wenye hadhi ya juu hali ambayo itaongeza ufanisi katika kuhudumia kundi hilo ambalo ni wachangiaji wakubwa wa mapato ya TRA. Wakiwa katika ziara ya kutembelea Ofisi hiyo...
  3. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

    Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.." Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliishi kwa miaka 6 Dar es Salaam miaka ya 1980’s. Mwalimu Nyerere alikuwa akimuita “Mama wa SWAPO”

    Rais wa kwanza mwanamke Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah Namibia imepata Rais wa kwanza mwanamke, hatua kubwa katika historia ya taifa hilo. Safari yake ya kuwa mwanamke wa kwanza katika mambo ya kisiasa haijaanzia hapo alipo. Mwaka 2017 alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa SWAPO, akiwa mwanamke...
  5. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

    Hii picha imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33. Angalia vijumba zaidi ya 99% viko chini! Hii inaonyesha kiwango cha juu cha umasikini na ustawi wa jiji la Dar es Salaam! Tunataka tuwe megacity yenye skyscrapers kama New York!
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tuna uthibitisho na tunaamini Abdul Nondo yupo kwenye mikono ya vyombo vya dola

    Tamko la ACT Wazalendo kuhusu ukiukwaji wa Haki za Binadamu limetolewa leo katika mkutano na Waandishi wa Habari na Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi wa chama hicho, Mbarala Maharagande, leo Desemba 1, 2024 WANACHAMA WETU 200 WANAISHI PORINI KWA VITISHO...
  7. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA nchi nzima kuwa wazi Jumamosi ya tarehe 30.11.2024

  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar es Salaam: Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda uenyekiti wa mtaa wa Nyambwela

    Hatimaye Chama cha ACT Wazalendo wamenyakuwa kiti cha uwenyekiti moja wapo wa mtaa ndani ya Jiji la Dar es Salaam. Tuendelea kusubiri wapi tena watachukua nafasi ==================== Chama cha @ACTwazalendo kimeshinda uenyekiti wa mtaa wa Nyambwela ulioko kata ya Tandika, Jimbo la Temeke...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Dubai

    Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba kuwasilisha
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kampeni za uchaguzi huu ni kama unasikiliza taarabu, zimejaa mipasho mwanzo mwisho!

    Salaam ndugu zangu Wanasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure, katika harakati zangu za mtu mweusi ndani ya hizi siku mbili nimejikuta nakumbana na Wagombea kadhaa wa Chama cha Mapinduzi na CHADEMA, Nilidhani kwamba kampeni hizi zitahusisha sera za Wagombea kuwaeleza nini hasa Watafanya ili...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar es Salaam Albert Chalamila hakuna Kiingereza cha Thank you for Organization bali kuna Kiingereza sahihi cha Thank you for Organizing

    Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi (Teaching / Tutorial Assistant) na kusema pia kuwa una Exposure Kubwa na hata huko Ulaya / Marekani...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nimepeleka mgonjwa usiku Zahanati ya Kitunda, Daktari anasema hawafanyi vipimo siku za Wikiendi Usiku

    Usiku wa kuamkia leo Novemba 24, 2024 nilifika kwenye Kituo cha Afya ambacho ni Zahanati ipo Kitunda (Dar es Salaam), palepale Kitunda Mwisho ambapo Dadalada zinageuka. Nilipofika hapo wameandika huduma zao zinatolewa kwa saa 24, nilimpeleka Mtoto wangu ambayo alikuwa anachemka sana, nikaamini...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asafiri kwa Treni Dar es salaam Hadi Morogoro

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo ameweza kusafiri kwa usafiri wa treni ya kisasa kabisa katika mradi wetu wa kimkakati wa SGR ambao amekuwa akipigana na kuupigania ukamilike na kumalizika...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo waahidi maendeleo Mtakuja - Dar es Salaam

    Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuimarisha kampeni zake za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kufanya mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Vingunguti, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam. Mkutano huo, uliovutia idadi kubwa ya wakazi wa eneo hilo, uliongozwa na Naibu...
  15. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mahafali ya 17 ya Chuo cha Kodi (ITA)

    Leo tarehe 22.11.2024 Chuo cha Kodi (ITA) kimefanya mahafali ya 17 ya chuo hicho. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya ambaye amewataka wahitimu kuwa mabalozi wazuri wa chuo hicho na kuwa vinara katika kuhamasisha ulipaji kodi kwa...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Gharama za maisha: Kati ya Dar es Salaam na Dodoma wapi rahisi kutoboa

    Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya kutoka chuo nikaamua kubaki Dar sasa kuna ndugu yangu mmoja akanipa mchongo wa kuja Dodoma nimekuja...
  17. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Kamishna Mkuu wa TRA akutana na mtendaji mkuu wa benki ya NMB

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda leo tarehe 21.11.2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna ambapo wamezungumzia mambo mbalimbali ya kikodi.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Clearing and forwarding agent

    EMAUS LOGISTICS (T) LTD We do all Dar es salaam port and airport clearance of goods and vehicles on time, without additional costs. In need of our service please call us or whatsap on +255788295741. Dar es salaam, Tanzania. In need of driving license, vehicle transfer or dublicate...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Huu ujenzi unaoendelea hapa Dar es Salaam unamaanisha uchumi umefunguka?

    Hapa DSM kila sehemu panajengwa , maghorofa yaliyokwama wakati wa magufuli sasa yanajengwa . Ukiwa haufanyi baishara au haupo Latina circle ya waliojipata hauwezi kuelewa namna hela inavyopatikana Kwa sasa
  20. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Posta posta city centre

    SONEL - POSTA. Chorus.. Posta posta city centre Posta posta city centre Posta posta Dar hii bwana kila mtu ukimuuliza anakwenda posta / Say.. Verse.1.. hi ndio posta Dar town city centre / vijana kwa wazee bila kazi wanapeta/ posta barabara kabeti mighorofo ilivyo jiseti/ utadhani ulaya...
Back
Top Bottom