dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Idadi ya ndoa zinazovunjika kwa mwezi Dar es Salaam inatisha: Utafiti waonesha 300, Kila Siku 10

    Wakuu Daniel Marandu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza kwenye Kongamano la Mahusiano ya DADAZ kipindi cha EATV linalofanyika leo, Mbezi Garden Hotel amesema utafiti wa mwaka juzi unaeleza kuwa Dar es Salaam kwa mwezi zilikuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi DIT hatujasajiliwa wiki ya 7 sasa tokea chuo kifunguliwe kwa kisingizio cha ubovu wa mfumo

    Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini...
  3. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali. Vituo vya tuition centres vinapatikana wapi kwa Dar es salaam?

    Wakuu salamu zenu. Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru kupitia maelekezo yenu nimeweza kussetle vema kabisa jijini. Baada ya hapo naomba kupewa tena msaada juu...
  5. JamiiForums Tanzania Dar: Wabunge waipongeza TRA kufungua ofisi ya walipa kodi binafsi wenye hadhi ya juu

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuanzisha Ofisi ya Walipa Kodi binafsi wenye hadhi ya juu hali ambayo itaongeza ufanisi katika kuhudumia kundi hilo ambalo ni wachangiaji wakubwa wa mapato ya TRA. Wakiwa katika ziara ya kutembelea Ofisi hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

    Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.." Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliishi kwa miaka 6 Dar es Salaam miaka ya 1980’s. Mwalimu Nyerere alikuwa akimuita “Mama wa SWAPO”

    Rais wa kwanza mwanamke Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah Namibia imepata Rais wa kwanza mwanamke, hatua kubwa katika historia ya taifa hilo. Safari yake ya kuwa mwanamke wa kwanza katika mambo ya kisiasa haijaanzia hapo alipo. Mwaka 2017 alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa SWAPO, akiwa mwanamke...
  8. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

    Hii picha imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33. Angalia vijumba zaidi ya 99% viko chini! Hii inaonyesha kiwango cha juu cha umasikini na ustawi wa jiji la Dar es Salaam! Tunataka tuwe megacity yenye skyscrapers kama New York!
  9. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tuna uthibitisho na tunaamini Abdul Nondo yupo kwenye mikono ya vyombo vya dola

    Tamko la ACT Wazalendo kuhusu ukiukwaji wa Haki za Binadamu limetolewa leo katika mkutano na Waandishi wa Habari na Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi wa chama hicho, Mbarala Maharagande, leo Desemba 1, 2024 WANACHAMA WETU 200 WANAISHI PORINI KWA VITISHO...
  10. JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA nchi nzima kuwa wazi Jumamosi ya tarehe 30.11.2024

  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar es Salaam: Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda uenyekiti wa mtaa wa Nyambwela

    Hatimaye Chama cha ACT Wazalendo wamenyakuwa kiti cha uwenyekiti moja wapo wa mtaa ndani ya Jiji la Dar es Salaam. Tuendelea kusubiri wapi tena watachukua nafasi ==================== Chama cha @ACTwazalendo kimeshinda uenyekiti wa mtaa wa Nyambwela ulioko kata ya Tandika, Jimbo la Temeke...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Dubai

    Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba kuwasilisha
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kampeni za uchaguzi huu ni kama unasikiliza taarabu, zimejaa mipasho mwanzo mwisho!

    Salaam ndugu zangu Wanasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure, katika harakati zangu za mtu mweusi ndani ya hizi siku mbili nimejikuta nakumbana na Wagombea kadhaa wa Chama cha Mapinduzi na CHADEMA, Nilidhani kwamba kampeni hizi zitahusisha sera za Wagombea kuwaeleza nini hasa Watafanya ili...
  14. JamiiForums Tanzania RC wa Dar es Salaam Albert Chalamila hakuna Kiingereza cha Thank you for Organization bali kuna Kiingereza sahihi cha Thank you for Organizing

    Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi (Teaching / Tutorial Assistant) na kusema pia kuwa una Exposure Kubwa na hata huko Ulaya / Marekani...
  15. JamiiForums Tanzania Nimepeleka mgonjwa usiku Zahanati ya Kitunda, Daktari anasema hawafanyi vipimo siku za Wikiendi Usiku

    Usiku wa kuamkia leo Novemba 24, 2024 nilifika kwenye Kituo cha Afya ambacho ni Zahanati ipo Kitunda (Dar es Salaam), palepale Kitunda Mwisho ambapo Dadalada zinageuka. Nilipofika hapo wameandika huduma zao zinatolewa kwa saa 24, nilimpeleka Mtoto wangu ambayo alikuwa anachemka sana, nikaamini...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asafiri kwa Treni Dar es salaam Hadi Morogoro

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo ameweza kusafiri kwa usafiri wa treni ya kisasa kabisa katika mradi wetu wa kimkakati wa SGR ambao amekuwa akipigana na kuupigania ukamilike na kumalizika...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo waahidi maendeleo Mtakuja - Dar es Salaam

    Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuimarisha kampeni zake za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kufanya mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Vingunguti, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam. Mkutano huo, uliovutia idadi kubwa ya wakazi wa eneo hilo, uliongozwa na Naibu...
  18. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mahafali ya 17 ya Chuo cha Kodi (ITA)

    Leo tarehe 22.11.2024 Chuo cha Kodi (ITA) kimefanya mahafali ya 17 ya chuo hicho. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya ambaye amewataka wahitimu kuwa mabalozi wazuri wa chuo hicho na kuwa vinara katika kuhamasisha ulipaji kodi kwa...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Gharama za maisha: Kati ya Dar es Salaam na Dodoma wapi rahisi kutoboa

    Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya kutoka chuo nikaamua kubaki Dar sasa kuna ndugu yangu mmoja akanipa mchongo wa kuja Dodoma nimekuja...
  20. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Kamishna Mkuu wa TRA akutana na mtendaji mkuu wa benki ya NMB

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda leo tarehe 21.11.2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna ambapo wamezungumzia mambo mbalimbali ya kikodi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…