dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Olengurumwa: Kuna watu wengi hawajui kama zoezi la kujiandikisha linaendelea Dar es salaam, hakuna hamasa ya kutosha

    Akizungumzia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ameonesha wasiwasi wake, kwamba zoezi hilo limekosa hamasa ya kutosha ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Bunju A Dar es salaam, tatizo la kukatika kwa umeme limekuwa sugu

    Ifike pahala sasa watu wa Bunju A Dar es salaam waanze kupaza sauti kuhusiana na kukatika kwa Umeme uku Bunju A. Utafikiria tuko Mkoa ama Nchi nyingine. Kila kukicha umeme lazima ukatwe Bunju A. Ukiuliza wanajibu hitilafu!. Hii hitilafu ambayo haina mwisho ni hitilafu gani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Dar es salaam ujuzi ni ualimu biology na geography lakini hata nje ya taaluma nafanya

    Jaman NAOMBA mnisaidie kijana mwezenu nipate hata ugali na pakuishi nataka kumkimbia huyu mwanamke naombeni kazi wanaume wezangu na wanawake wenyew roho nzuri. Elimu yangu ni digrii ya ualimu masomo ya biology na geography, pia naweza fanya kazi yeyote nje ya ualimu wakuu kwahyo naombeni msaada...
  4. Jackson QUECA

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
  5. caidah

    JamiiForums Tanzania Ni hospitali gani kwa hapa Dar es salaam yenye Gynecologist wazuri?.

    Habari za asubuhi wanamjengo, hapa wala sitakuwa na maneno mengi twende moja kwa moja kwenye mada hapo juu . Nina shida na hospital ambayo ina huduma nzuri za madaktari bingwa wa wanawake zilizopo dsm bila kujali ni hospital binafsi au za umma. Mwenye uzoefu na hili anijuze asante.
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani kata ya Chanika atoa milioni 40 ikiwa ahadi yake kwa wakazi wa eneo hilo kwa ushindi wa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Diwani wa Kata ya Chanika na Naibu Meya wa Ilala Masaburi Deoglas Masaburi, amesema kutokana na kufanya vizuri kwenye Uandikishaji wa Daftari la Kudumu lililopita na kupelekea Ushindi wa kishindo wa Serikali za Mitaa, ambapo aliahidi kutoa Sh. Milioni 10 kwa Kata yake na leo ametimiza ahadi hiyo...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Ubungo: Wananchi wasijiandikishe kupiga kura Dar Es Salaam

    “Nape yalimtoka yaliyokuwa moyoni akizungumza kwamba kushinda inategemea nani anayetangaza yule ni kijana wa kwenye chama kile kwa muda mwingi sana kwa hiyo kwa vyovyote ni vyema tukamsikiliza. Ikiwa hivyo kwamba mapenzi ya yule anayetanganza ndiyo uamuzi, wananchi wana haja gani ya kuja...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini familia nyingi za mkoa wa Dar es Salaam huwa hawapiki chakula cha mchana?

    Wakuu Kuna kautafiti nimekua nikikafanya kimya kimya,nimegundua familia nyingi za mkoa wa dar huwa hawapiki chakula cha mchana. Tatizo linaweza kuwa nini wakuu?
  9. J

    JamiiForums Tanzania ✳️ Ni zamu yetu Dar es Salaam, tukajiandikishe tuweze kupiga kura uchaguzi mkuu

    ✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025. Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
  10. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

    Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala, lakini wakiona kijana mwingine wanajua kupiga haraka speed za 'Formula 1'!" 🤗
  11. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Kuhamishwa kwa ofisi ya TRA idara ya walipakodi wakubwa

  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Atakaye ahidi kujenga bwawa kubwa la umeme mto Msimbazi ili kumaliza tatizo la umeme Dar es Salaam nitampa kura zangu zote

    Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
  13. excel

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na mpango wa kuja Dar es salaam, ila nimeogopa

    Nimeogopa sana! Kama usafiri wenyewe unakuwa hivi nitafia kwenye kwenye daladala sijui mwendokasi😭😭 Na mimi ni mfupi kama Evelyn Salt binamu yake cocastic
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam ina kumbi nzuri za gharama rahisi, kwa nini chadema wanakodi Mlimani City wenye gharama ya mamia ya mamilioni?

    Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City. Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
  16. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata list ya watoa huduma Fiber Dar es Salaam

    Habari waungwana Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia. Naomba kuwasilisha.
  17. Doto12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mkoa wa Dar es salaam Fikeni kinyerezi Ilani ya chama cha Mapinduzi inakanyagwa

    Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa. Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini ya uangalizi wa wizara, cha ajabu mwaka unatimia kero ikiandama wananchi wa saranga na kinyerezi...
  18. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Dar es Salaam Kufanyika Machi 17-23, 2025. Wapiga Kura wapya 643,420 kuandishwa

    Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa Dar es Salaam wahamasisha uwekezaji mkoani kwao baada ya kujionea maendeleo Pwani

    Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi amesema, ziara waliyoifanya kwenye baadhi ya viwanda mkoani Pwani wakiambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo imewapa fursa ya kuona uwekezaji mkubwa unaofanyika mkoani...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

    Yaani Haya Maisha Bwna. Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata. Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na...
Back
Top Bottom