Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Umeongea vitu kwa kuvichanganyachanganya.Ushahidi tu kuwa uislamu ulitangulia kwa karne kadhaa na waislamu ni wa mwanzo kabla ya wazungu.
Uislamu ulileta maendeleo makubwa Afrika yaliyokuja kubomolewa na wakoloni wakristo.
Unajua kuwa mzungu wa mwanzo ni akina Livingstone miaka ya karibuni.Alipokuja yeye mwenyewe alioneshwa njia na akina Tipu Tip na alikuta uislamu umeenea mpak Kongo.Umeongea vitu kwa kuvichanganyachanganya.
Mzungu yupo kitambo
Uislam ni dini ya juzi tu
kumbe haya ndio matunda ya dini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Ushahidi tu kuwa uislamu ulitangulia kwa karne kadhaa na waislamu ni wa mwanzo kabla ya wazungu.
Uislamu ulileta maendeleo makubwa Afrika yaliyokuja kubomolewa na wakoloni wakristo.