dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Nataka nipande ndege niende Zanzibar niushtue umasikini kidogo, Kwani lazima niwe na passport?

    Wakuu kwema, Naombeni kuuliza nyie wakishua nataka nipande ndege niende Zanzibar niushtue umasikini kidogo, Kwani lazima niwe na passport au?🤔
  2. comrade_kipepe

    Eti wanaume tukija Dar inakuwa ngumu kuunganisha?

    Kuna ka ukweli, Dar kutoa over 1.5 tunatoa wachache sana , Vichwa vya vijana wa Dar vipo vinawaza utajiri na mikeka hata hiyo hamu ya kutoa over 0.5 ni kisanga. Kiukweli mechi za mikoani kutoa over ya 2.5 kawaida sanaaa. Sasa sijui shida labda ni ya wanawake wa dar hawaonyeshi ushirikiano...
  3. Mr Beach Boy

    Vijana wa mkoani tunachelewa Twendeni Dar

    Mafanikio yako POPOTE ila possiblity kubwa ipo dar Vijana Twendeni Dar es Salaam Mikoani turudi kuwekeza
  4. Traxtion

    Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

    Miaka ya nyuma, skyline ya Dar es Salaam ilikuwa simple sana, majengo machache marefu, mengi yakiwa ya kati tu. Lakini leo hii, mji umebadilika kwa kasi kubwa ajabu. Maeneo kama Posta, Upanga, Masaki na Kariakoo yameanza kujazwa na majengo ya kisasa (high-rise buildings), mengi yakiwa na ofisi...
  5. Mr Beach Boy

    Mimi ni mgeni Dar, je kukaa baadhi ya sehemu kunaweza kushape maendeleo yako?

    Kukaa sinza, Kinondoni, Mbweni na Goba Au kukaa Buza, Mbagala, Mbande, Kongowe, Manzese, Tandika nk Ipi Bora?
  6. A

    KERO Trafiki wamekuwa wengi sana barabarani kupiga faini hadi kero, kwani nini kinaendelea Dar?

    Kwa sasa kuna usumbufu mkubwa sana wa trafiki barabarani ususani maeneo ya mijini, mfano Dar es Salaam. Sinza Makaburini kuna trafiki wanasimamisha daladala wanaweza kukusimamisha zaidi ya dakika 40 hawaangalii muda wa abiria wanaowahi kazini na kwenye shughuli nyingine. Ukienda mbele kwenye...
  7. martial jb

    Natafuta Master Room Dar Es Salaam

    Habari wakuu, Natafuta master room nzuri Dar Es Salaam, budget yangu 100k mpaka 120k. Maeneo ya kigamboni, makumbusho, magomeni, tabata, manzese No 0787698930
  8. figganigga

    Polisi wadai eti Rehema ndo alimuua Athumani Nyanza wa Ilala

    Huyu ndo Muliro. Muongo wa taifa Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni. Kwamba baada ya mauaji, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya...
  9. tpaul

    Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Wahenga mtakubaliana na mimi 100% kwamba miaka ya nyuma mvua zilizokuwa zikinyesha Dar es salaam hazikuambatana na radi hata kidogo. Tulizoea kusikia matukio ya radi hasa huko Kigoma, Shinyanga, Tabora na mikoa mingine ambako matukio ya watu kuuliwa na radi yalikuwa yakiripotiwa mara kwa mara...
  10. M

    Wazee wa Masafa, Dar mpaka Mwanza unaondoka na ipi kati ya hizi ?

    LC 300 LC 300 HILUX NISSAN Y62 PRADO J250 Lx FORTUNER LAND ROVER DEFENDER FORD RANGER LEXUS
  11. and 998 others

    Ssebo hakujenga nyumba Dar?

    Nimeshangaa msiba kuwekwa kwa wakili msomi mwingine badala ya Nyumbani kwake. Hii imekaaje Wadau? Au mambo ya apartment kama Le Mutuz?
  12. Roving Journalist

    LHRC na Wadau wakutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa UN, Parfait Onanga Anyanga jijini Dar es Salaam

    Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga Anyanga katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo jijini Dar es Salaam. Ndugu Parfait...
  13. T

    Hii hali ya hewa ya Dar (mvua) imenifanya nipitie upya contacts zangu

    Hali ya mvua, plus ni weekend, utulivu wa kutosha. Nyie huwa mnafanya nini nyakati kama hizi.
  14. Mr Beach Boy

    Binafsi maisha ya Dar es salaam yamenishinda

    Kuanzia suala Zima la imani, huku watu wengi hasa maeneo ya mjini na uswahilini hawana imani kabisa wako mbali na Mungu. Suala la malezi ndio kabisaa mana watoto hujifunza kwa wanaowazunguka mtoto akikulia vingunguti Tabata au mbagala kazi ipo. Suala la ajali ndo usiseme ajali za uzumbe kabisa...
  15. Blasio Kachuchu

    Sambo wa Kigoma na Doreen wa Dar es Salaam washinda Pikipiki Kupitia Promosheni ya “Shinda Boda” ya PigaBet

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mjasiriamali Daniel Deogratus Sambo, mkazi wa Kigoma Mjini, na mwanadada Doreen Masawe wameibuka washindi wa pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda” inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya PigaBet. Akizungumza baada ya kupokea...
  16. Kitomai

    Toyota Harrier Z – 2020 | Dar es Salaam

    🚗 Mileage: 62,000 km GR Sport Body Kit Grade 4 Condition Price: 110M TZS 📲 Call/WhatsApp: 0784225000 Serious buyers only!
  17. M

    rangi na material ipi nzuri kushonea seat cover za gari kwa mazingira na hali ya hewa ya Dar ?

    Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani. material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
  18. Roving Journalist

    Mbagala (Dar): Baadhi ya maeneo ya barabara yaliyokuwa yanazibwa na 'machinga' yaanza kuwa wazi

    Baadhi ya wafanyabiashara wa biashara ndogondogo (machinga) waliokuwa wakifanyia shughuli zao katika maeneo yasiyo rafiki, hususan barabarani na kwenye njia za watembea kwa miguu, wameanza kupisha na kuondoka katika maeneo hayo. Tukumbuke kuna mdau aliwahi kuleta andiko hapa jukwaani akieleza...
  19. Mr Beach Boy

    Wapi ntapata malori ya Dar nikiwa morogoro?

    Anaejua chimbo Tafadhali anipe maelekezo usafiri wa roli kwa dodoma napata wapi?
  20. Mr Beach Boy

    Nauli ya didoma - Dar es salaam

    Kwa usafiri wa gari ni bei Gani wakuu kutoka dodoma mpaka dar es salaam?
Back
Top Bottom