Serikali yoyote duniani inapoanza kupata ganzi na kuanza na kuendelea kuua wananchi wake kwa kisingizio au kuzima sauti ya mnyonge ni maandalizi ya kuhitajika kwa mfereji wa damu.
Nimesoma barua ya polisi "TAARIFA KWA UMMA" baada ya kuvamiwa, kupigwa kisha kutekwa nyara kwa ndg Mdude hii...
Kweli CCM Wamechanganyikiwa.
1. Tundu.Lissu yuko Mahubusu.kqa kesi za uongo aliteswa kwa kupigwa risasi 16
2.Charles Kitima Kashambuliwa hali ni mbaya.
Wote hawa ni watoto Wa singida halafu CCM inapeleka sherehe huko ama kweli ujinga ni kipaji.
Mpaka.Uchaguzi mkuu ufike Tutashuhudia Mengi.
Usiku mwingine, kimtazamo wa kiroho huwa haifai kuangaliwa moja kwa moja. Ukishika udongo unahisi joto la wafu wa kale. Ukikalia jiwe la porini, linaloonekana zuri jioni, usiku linakuwa ni mgongo wa kiumbe kisicho na jina, kinacholia kama mtoto aliyezaliwa tumboni mwa ndoto. ardhi ya udongo...
Kwanini serikali inaogopa kukosolewa? Ukiona serikali inatisha RAIA,inapiga na kuua RAIA wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake.
Mwanafalsafa John Locke anasema,serikali hiyo yafaa iondolewe madarakani.Serikali imegeuka haini dhidi ya RAIA wake. Serikali isiyojua wajibu wake,kazi makelele tu...
Nadhani si mara moja au mbili umepata kuona onyo la picha au picha mjengeo kwamba zinatisha..
Tulisoma na kijana mmoja aliyenusurika mauaji ya kimbari Rwanda mwaka 1994.. Alikuwa amepata trauma ya kuweweseka kila wakati... Simulizi yake inatisha sana
Kipindi kile cha mauaji alishuhudia watoto...
Habari za muda huu mwana JF?
Natumaini siku yako iko poa kabisa.
Leo kuna ndoto umempata rafiki yangu ambaye mara kadhaa huwa akinieleza kuhusu baadhi ya ndoto zake ambazo huwa zinamshinda kuzielewa.
Iko hivi:
Leo usiku muda wa saa 9 usiku kuelekea saa 10, ameota ndoto akifanya mapenzi na...
Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!.
Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia.
Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo.
Ameeleza kuwa visababishi...
https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD
In brief:
➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward...
➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
Kuna watu hapa Machawa wanamdanganya huyu Raisi Samia. Raisi Samia kukitokea umwagaji damu hapa wakulaumiwa sio machawa maana watajikausha, Mchimbi ndiyo kabisa ataona nafasi yake ya kung’ara, Kikwete hata simu yako hata pokea. Maana yake ni kwamba mambo yakiwa mabaya utabaki wewe peke yako.
Ni...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itikadi,Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mmoja wa waasisi wa kundi la G-55 ndani ya CHADEMA John Mrema, amewataka Watanzania na viongozi wa kisiasa kuwa na tafakuri ya kina kuhusu namna bora ya kushiriki mchakato wa...
Wakuu
Nimekutana na mambo mengi ya watu kujivunia dini yao. Nikakutana na swali la kuuliza jukwaa.
Mkristo anaekula kitimoto/nguruwe anaruhusiwa kumchangia Muislam Damu?
Wakati wa zoezi la kuchangia damu wanazingatia hili?
Note: Damu inayochangwa na watu bila kujali dini zinasave maisha ya...
Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama.
Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
Habari zenu wana jamiiforums
Nimeleta mada apo juu katika kujiskia vibaya na kuumwa na kichwa nilienda hosptal katika vipimo doctor alinambia nina damu nyingi ambayo ni 17.4 akanishauri niichangie ipungue hadi 13.0 ili mwili wangu niache kujiskia vibaya na kuumwa kichwa je hakuna madhara...
Rafiki zangu nimerudi tena nimeenda hosptal nimepima vipimo wakaniambia nina damu nyingi ambayo ni 17.1 amenambia ndio chanzo naumwa na kichwa pia najiskia vibaya,naomba ushauri kuipunguza damu ni kuchangia tu au kuna njia nyengine?
Ron Wyatt ambaye ni Mtafiti na mchimbaji wa mabaki ya kale, , amedai kufanya ugunduzi wa kupata damu ya Yesu Kristo chini ya eneo la Golgotha, mahali ambapo Yesu alisulubiwa.
Kwa mujibu wa Wyatt Anasema tetemeko la ardhi lililotokea wakati wa kifo cha Yesu Kristo lilisababisha Ufa kwenye...
Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla.
Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila...
Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale.
Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi kadhaa.
Basi kutokana na kukutana nae mara kadhaa nikawa nimempa ujauzito ila kizaa zaa kimeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.