Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 112
- 213
Habari zenu wana jamiiforums
Nimeleta mada apo juu katika kujiskia vibaya na kuumwa na kichwa nilienda hosptal katika vipimo doctor alinambia nina damu nyingi ambayo ni 17.4 akanishauri niichangie ipungue hadi 13.0 ili mwili wangu niache kujiskia vibaya na kuumwa kichwa je hakuna madhara yoyote katika uwo uchangiaji damu la pili hakuna dawa ya kutumia damu ikapungua hadi ukachangie?