damu

Damu is a god of vegetation and rebirth in Sumerian mythology.

View More On Wikipedia.org
  1. balibabambonahi

    Ukiona serikali inatisha Raia ,inapiga wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake

    Kwanini serikali inaogopa kukosolewa? Ukiona serikali inatisha RAIA,inapiga na kuua RAIA wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake. Mwanafalsafa John Locke anasema,serikali hiyo yafaa iondolewe madarakani.Serikali imegeuka haini dhidi ya RAIA wake. Serikali isiyojua wajibu wake,kazi makelele tu...
  2. Mshana Jr

    Kinachotisha ni nyama na damu sio mifupa

    Nadhani si mara moja au mbili umepata kuona onyo la picha au picha mjengeo kwamba zinatisha.. Tulisoma na kijana mmoja aliyenusurika mauaji ya kimbari Rwanda mwaka 1994.. Alikuwa amepata trauma ya kuweweseka kila wakati... Simulizi yake inatisha sana Kipindi kile cha mauaji alishuhudia watoto...
  3. De Opera

    Ndoto nyevu yenye utata, na damu halisi

    Habari za muda huu mwana JF? Natumaini siku yako iko poa kabisa. Leo kuna ndoto umempata rafiki yangu ambaye mara kadhaa huwa akinieleza kuhusu baadhi ya ndoto zake ambazo huwa zinamshinda kuzielewa. Iko hivi: Leo usiku muda wa saa 9 usiku kuelekea saa 10, ameota ndoto akifanya mapenzi na...
  4. Carlos The Jackal

    CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  5. JanguKamaJangu

    Serikali yabaini Saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ni Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi wa Kina mama, Damu, macho na figo

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo. Ameeleza kuwa visababishi...
  6. The Palm Beach

    Video interview: Huyu ndiye Tundu Lissu wa machozi, damu na jasho na misimamo ya haki

    https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD In brief: ➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward... ➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
  7. K

    PreGE2025 Rais Samia elewa No reform maana yake ni damu za Watanzania

    Kuna watu hapa Machawa wanamdanganya huyu Raisi Samia. Raisi Samia kukitokea umwagaji damu hapa wakulaumiwa sio machawa maana watajikausha, Mchimbi ndiyo kabisa ataona nafasi yake ya kung’ara, Kikwete hata simu yako hata pokea. Maana yake ni kwamba mambo yakiwa mabaya utabaki wewe peke yako. Ni...
  8. Just Pray

    PreGE2025 John Mrema: Kuzuia uchaguzi kutamwaga damu, sisi tunaotaka kugombea tunaepusha vijana wetu kuumia wakati wa kuzuia uchaguzi

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itikadi,Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mmoja wa waasisi wa kundi la G-55 ndani ya CHADEMA John Mrema, amewataka Watanzania na viongozi wa kisiasa kuwa na tafakuri ya kina kuhusu namna bora ya kushiriki mchakato wa...
  9. Mowwo

    Kuna muda hoja ya kujivunia kua muislam au mkristo haina mantiki yoyote

    Wakuu Nimekutana na mambo mengi ya watu kujivunia dini yao. Nikakutana na swali la kuuliza jukwaa. Mkristo anaekula kitimoto/nguruwe anaruhusiwa kumchangia Muislam Damu? Wakati wa zoezi la kuchangia damu wanazingatia hili? Note: Damu inayochangwa na watu bila kujali dini zinasave maisha ya...
  10. Webabu

    Maelfu ya watu waandamana kaskazini ya Gaza kupinga vita, wakiimba hatutaki kufa na damu za watoto wetu sio nyepesi.Acha vita.

    Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama. Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
  11. Carasco Putin

    Mimi yanga damu ila ukwel mchungu

    (1)SIMBA INAKWENDA MISRI (2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO Yanga anaenda Singida.
  12. A

    Je, kuna kiwango maalum cha damu ndani ya mwili?

    Habari zenu wana jamiiforums Nimeleta mada apo juu katika kujiskia vibaya na kuumwa na kichwa nilienda hosptal katika vipimo doctor alinambia nina damu nyingi ambayo ni 17.4 akanishauri niichangie ipungue hadi 13.0 ili mwili wangu niache kujiskia vibaya na kuumwa kichwa je hakuna madhara...
  13. Naxria abdalla

    Kuipunguza damu ni kuchangia tu au kuna njia nyengine?

    Rafiki zangu nimerudi tena nimeenda hosptal nimepima vipimo wakaniambia nina damu nyingi ambayo ni 17.1 amenambia ndio chanzo naumwa na kichwa pia najiskia vibaya,naomba ushauri kuipunguza damu ni kuchangia tu au kuna njia nyengine?
  14. NALIA NGWENA

    Kumekucha: Mwanasayansi agundua ilipo Damu ya Yesu

    Ron Wyatt ambaye ni Mtafiti na mchimbaji wa mabaki ya kale, , amedai kufanya ugunduzi wa kupata damu ya Yesu Kristo chini ya eneo la Golgotha, mahali ambapo Yesu alisulubiwa. Kwa mujibu wa Wyatt Anasema tetemeko la ardhi lililotokea wakati wa kifo cha Yesu Kristo lilisababisha Ufa kwenye...
  15. mahindi hayaoti mjini

    Mamlaka zisipochukua hatua za haraka mataa ya Morocco damu zitamwagika sio mda mrefu

    Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla. Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila...
  16. SHEVCHENKO

    Mpenzi wangu mjamzito ila nimeambiwa kundi lake la damu haliendani na langu

    Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale. Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi kadhaa. Basi kutokana na kukutana nae mara kadhaa nikawa nimempa ujauzito ila kizaa zaa kimeanza...
  17. The Father of All

    Hivi kunaweza kuwapo chawa bila damu na uchafu?

    Kila anayefuga chawa ni mchafu. Pia, chawa ni wachafu. Kila mfuga chawa ni dhaifu. Chawa ni dhaifu. Ili kufuga chawa, lazima uwe mchafu na mwenye damu ya kutosha. Unaipata wapi damu ya kuwanyonyesha chawa bila kunyonya? Kuna kipindi mnyonywaji anaweza kuwa mnyonyaji. Chawa na mfuga chawa, wote...
  18. R

    Hili ni umbo la Malaika wa Mungu akionekana Kwa macho ya Damu na nyama

    Salaam, shalom!! Lengo la mada hii ni kuwasaidia wote waombao Kwa Mungu ulinzi wa kimwili na kiroho. Lengo lingine pia ni kuwaondoa HOFU wale waombao Kwa mashaka, ulinzi atoao Mungu Kwa mwanadamu ni mkubwa kuliko ulinzi apewao Mfalme wa tawala za WANADAMU. Turudi kwenye mada. ( 1 Mambo...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Operesheni Mogadishu:Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na Askari waliovuja damu kwenye malori

    Operesheni Mogadishu: Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na askari waliovuja damu kwenye malori Chanzo cha picha,Getty Images Maelezo ya picha,Helikopta za Black Hawk zilitumika katika operesheni nyingi za Marekani nchini Somalia katika miaka ya 1990. Saa 4 zilizopita Jeshi la...
  20. ephen_

    Kuna faida gani kumpaka mtoto aliyezaliwa damu ya uzazi?

    Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua. Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi. Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno. Inasaidia mtoto asipate husda yoyote...
Back
Top Bottom