damu

Damu is a god of vegetation and rebirth in Sumerian mythology.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Magufuli hata kama alitutesa, bado ni baba yetu ni damu yetu Tanganyika

    Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni. Baba hata akiwatesa lakini atalinda rasilimali za nyumbani, Magufuli sijawahi kusikia ana ndugu zake wajomba na mashangazi nchi...
  2. G Sam

    Hivi Rais Samia ana damu ya kitanzania kweli?

    Naombeni tu kuwauliza waungwana. Mma uhakika kuwa Rais wetu Samia ana damu ya kitanzania. Hivi hizi kauli na matendo yanayoendelea dhidi ya watanzania zinaakisi kuwa yeye ni mtanzania? Naona hata kipindi Mbowe anashtakiwa kwa ugaidi ilikuwa ni hali kama hii tu sema hii ya sasa imekumba wengi...
  3. M

    Dini ni ugonjwa wa akili, unaweza ukakufanya ujione tofauti na ndugu yako wa Damu

    Tarehe 26-May ni siku ambayo Wayahudi wanasherekea kuukomboa mji wa Yerusalem Mashariki ya kati, Wale wayahudi wenye itikadi kali hutumia siku hii kupita katika Nyumba, maduka ya Waarabu na kuwadhihaki na kuwafanyia fujo. Tazama video na Picha hapo chini...
  4. Yoda

    Kenya ndilo Taifa jirani lilo na undugu mkubwa zaidi wa damu na Tanzania kuliko taifa lingine lolote.

    Kwa Tanzania mataifa jirani yanayotunguza taifa ambalo kwa undugu wa damu wa makabila tunao share kwa wingi zaidi na Kenya hivyo kulifanya kuwa taifa ndugu yetu zaidi kuliko wengine, hata kama hatupendani kuliko hao wengine. Makabila yanayopatikana Kenya na Tanzania ni mengi zaidi kuliko ya...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Boniface Mwangi afunguka mateso ya kikatili aliyofanyiwa Tanzania, adai ''Tuliambiwa tuvue nguo, tutambae na tuoshe damu''

    Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ametoa simulizi ya kushtua na isiyo na kificho kuhusu masaibu aliyoyapata akiwa kizuizini nchini Tanzania, akieleza jinsi alivyolazimishwa kuvua nguo, kutambaa na kuosha damu mwilini mwake, huku akidai kuwa aliteswa kikatili pamoja...
  6. S

    Ole ole ole anayedhulumu na kunywa damu, endelea kunywa na kusaza, ghadhabu ya aliye juu inatisha na kuogofya

    Hakika amejiangamiza kwa mikono yake, maana ghadhabu ya aliye juu, italamba ukoo na kizazi hadi kizazi, hawataona ile amani, zaidi ya hofu na maombolezo, asema BWANA, mwenye sikio asikiye, mwenye macho aone.
  7. ELI COHEN

    Yesu ndio anabaki kuwa "religious figure" bora kuwahi kutokea. Katika safari yake hakuagiza damu yoyote wala hakufanya figisu kuufikia umashuhuri.

    Sijali kama utamuita Mwana wa Mungu, Nabii au Mwalimu. Ila katika maandishi ya vitabu na simulizi hatujaona mahara alisema mchukie wayahudi kwa kunikataa, muaue waroma kwa kunisurubu na muangamize wote wasiotaka kufata kile nilichowafundisha. CHRIST IS KING
  8. kalooo 25594

    Cheti chatumika kupata mkopo wa kausha damu?, Kalooism inauliza,na ni lini Afrika tutakamata pindo kama Rose Mhando?

    Wanajamvi! Muh! Tutalalaje hapajakucha?,Mambo ni vice-versa,Mjini bado ya vimbweka! Ni bora niendelee b'se I'm a fighter,it's better, no retreat, no surrender! Je wadau ni Lini sasa niijue wazi hiyo secret Agenda(6634) kwa mashahidi zaidi ya watatu wakirio kwa chapa ya nyakati mpya ya siku ya...
  9. Echolima1

    Ndugu wa damu wa Yahya Sinwar leo naye Ameangamizwa!!

    Mwanahabari wa kijeshi Doron Kadosh akiwa na maelezo ya ziada kuhusu jinsi shambulio la kumuondoa Muhammad Sinwar lilivyotekelezwa kwa njia ambayo ingegeuza mfumo wa mifereji ya maji kuwa mtego wa kifo kwa wale wanaokaa huko: - Katika shambulio hilo, Jeshi la Wanahewa lilitumia risasi kadhaa...
  10. S

    Chadema tumieni siku arobaini za mwanzo kwa usahihi ili kumpata mdude ile damu aliyomwaga inaweza kuwasaidia

    Watu wengi tumepofushwa sana siku hizi! Ile nguvu yetu ya asili tumeweka kapuni tukiamini ni dhambi! Zamani wazee walilinda mashamba kwa nguvu za asili, wezi walikipata cha moto! Damu ya mdude iliyomwagika inaouwezo wa kuwapa ushirikiano ndani ya siku 40! Iteni wataalam na muiambie ile damu...
  11. A

    Naomba kueleweshwa kuhusu wingi wa damu je damu ya 16.5 kwa mwanamme ni nyingi au kawaida?

    Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa doctor akanambia nina damu nyingi ambayo ni 16.5 akaniomba niende kuchangia ili kuondoa hali hii...
  12. Naxria abdalla

    Nipo na tatizo la kuwa na damu nyingi

    HAbari za usiku naomba munieleweshe njia ya kupunguza damu tofauti na kuchangia mana doctor ameniambia nikichangia nitakuwa nazalisha tatizo nimeambiwa nina damu nyingi na inanitesa mno msaada tafadhali
  13. hamis77

    ONYO KWA WATAWALA,DAMU YA HAKI IKIMWAGIKA HUDAI KISASI

    UTANGULIZI Biblia inasema wazi kwamba damu ya mtu asiye na hatia hailali kimya. Husema, hulia kutoka ardhini ikiomba kisasi. Katika Mwanzo 4:10, Mungu anamwambia Kaini baada ya kumuua nduguye: Na tena katika Mithali 6:16-17: Pia Hesabu 35:33: 1. Muammar Gaddafi – Libya Alivyomwaga damu...
  14. K

    Ushindi 99% tulopata kwa local government ilitupasa kumwambia CHADEMA chagueni tume awe nani Kisha tuingie dimbani tungeshinda asubuhi

    Sijui huu uoga ni wa nini Kwanini mtu tulomshinda kwa ushindi mkubwa hivi atupe hofu CCM inakubalika kwa 99% hata mwenyekiti wa tume angekuwa Lema bado tungewashinda Sasa hofu yetu ninin Hadi kutumia nguvu nyingi KIASI hiki kudhibiti watu wasio na nguvu yeyete sio ya umma Wala...
  15. Mshana Jr

    Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau

    Kuna vitu huwa havichezewi Uumbaji wa Mwenyezi Mungu Ardhi Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau! Damu zinatofautiana nguvu.. Kina damu kali na kina damu dhaifu Kina damu yenye kusamahe lakini kina damu yenye malipizi... Na kuna damu yenye maagano na...
  16. Magufuli 05

    Watanzania wamekuwa wakimbizi kwenye nchi yao, Kila kukicha ni matukio ya kutekwa na kuuawa

    Watanzania wamekuwa wakimbizi kwenye nchi yao. Wanapigwa,wanauawa. Kila kukicha ni matukio ya kutekwa na kuuawa. Watanzania wanafungwa gerezani. Tazama masikini wakosoaji wa serikali wanavyokufa. Vijana wanafungwa, wanavunjwa miguu na viuno. Wanatupwa maporini ili waliwe na wanyama wakali,ili...
  17. TODAYS

    Ukweli ni Huu: Kwani Wanataka Damu ya Nchi?

    Serikali yoyote duniani inapoanza kupata ganzi na kuanza na kuendelea kuua wananchi wake kwa kisingizio au kuzima sauti ya mnyonge ni maandalizi ya kuhitajika kwa mfereji wa damu. Nimesoma barua ya polisi "TAARIFA KWA UMMA" baada ya kuvamiwa, kupigwa kisha kutekwa nyara kwa ndg Mdude hii...
  18. The Burning Spear

    Mioyo ya wana Singida inavuja Damu halafu Kwa zarau Mnawapelekea sikukuu ya mei mosi CCM Mmelaaniwa.

    Kweli CCM Wamechanganyikiwa. 1. Tundu.Lissu yuko Mahubusu.kqa kesi za uongo aliteswa kwa kupigwa risasi 16 2.Charles Kitima Kashambuliwa hali ni mbaya. Wote hawa ni watoto Wa singida halafu CCM inapeleka sherehe huko ama kweli ujinga ni kipaji. Mpaka.Uchaguzi mkuu ufike Tutashuhudia Mengi.
  19. Paspii0

    Afrika na mapokeo ya imani bado haijazoea nuru kamili ndani ya damu yake kuna kivuli cha kale

    Usiku mwingine, kimtazamo wa kiroho huwa haifai kuangaliwa moja kwa moja. Ukishika udongo unahisi joto la wafu wa kale. Ukikalia jiwe la porini, linaloonekana zuri jioni, usiku linakuwa ni mgongo wa kiumbe kisicho na jina, kinacholia kama mtoto aliyezaliwa tumboni mwa ndoto. ardhi ya udongo...
  20. nipo online

    Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zake. Je, kuna madhara?

    Yaani dushe Lina rangi nyekundu ipi madhara yake? nisaidien wakuu Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zak. Je kuna madhara
Back
Top Bottom