Hakuna mtu aliyetarajia hivi. Mwaka 2021 tulipompokea Samuya tulidhani tumepata Mama , aliyeahidi kufungua nafasi ya kisiasa. Leo, miaka minne tu baadaye, vijana wetu wengi wamepotezwa hawaonekani tena.Video za mochwari za Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na Mbeya ndo zinazidi kutia simanzi kubwa...
Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI
Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha kujitwalia Madaraka kimabavu ikibidi hata kwa kumwaga damu, na ndicho kilichotokea.
Baada ya mauaji...
Imekwenda ardhini haitapotea kamwe, itaendelea kuwala hadi iwamalize kaanza mama yao, leo kaja madera anakula za uso na maboko yake!
Itaendelea kutambaa kama mafuta ya taa na kula kila kichwa kilichohusika na uharamia ndani ya nchi hii, ni suala la muda tu.
Sikutegemea itakuwa haraka namna...
Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana.
Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
Mambo yameanza kuchangamka!
Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu
Ukisikiliza mashairi ya wimbo huu ulioimbwa miaka 24 iliyopita utasema kauandika jana maana aliyotasema yote ndio yanatokea sasa nawaza kipindi kile prof Jay hakuitwa mhaini na wimbo ulipigwa bila shida je ingekuwa leo hii ingekuwaje
Ebu pitia you tube usikilize
1. French Revolution (1789–1799) – Ufaransa
Faida zake:
Iliangusha utawala wa kifalme wa kidikteta.Ilileta haki za kiraia, uhuru wa watu, na misingi ya demokrasia.Ilianza mfumo wa serikali ya wananchi (Republic).
Vifo:
Zaidi ya 300,000 (makadirio), ikijumuisha “Reign of Terror”.
2...
Ni interview nzuri sana. Unaweza kuitazama hapa:
Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni siku kubwa sana ya kihostoria katika nchi yetu ya Tanzania, ambapo ilikuwa ni siku ya maandamano ya kupinga kupwoka haki na vijana walikuwa na hasira sana.
Na haya yote ni matokea yalitokea katika kukosa haki katika...
Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
Watu wamekufa kwa maelfu yeye anasema imetutia doa kidogo.
Anajaribu ku minimize ukubwa wa skandali la mauaji. Hana utu hata kidogo.
Na hili la kusema itabidi atumie rasimali za ndani ni janja janja ya kutuandaa ki saikolojia ili auze, agawe, na kuhondomola ardhi na migodi na misitu na mali...
Wakuu,
Mpoto huyu alikuwa wa moto bwana, inspiration kwa wengi, hata ambao tunapenda kuandika tulikuwa tunapata madini ya kuongeza nondo kwenye articles, mashari, na analysis mbalimbali
Mpoto huyu alikemea rushwa na wale wote wanaotafuna kodi za wananchi kwa nguvu zote. Alionyesha wazi...
Kipindi walichopitia Uganda utawala Idd amin ilikuwa ni ngumu kumtoa mtu ambaye mwenye matendo kama utawala wa ccm ambao ukiendelea tokea kila awamu za wanaoshika madaraka.
Kama watawala wanabebwa na vyombo vya ulinzi wabaki madarakani na kumshikilia kwa vyeo vyao ni ngumu kutumia maneno...
Nimeangalia hali ya kesho ya Tanzania na inaonekana wazi kuwa bila kuchukua hatua mapema tutapata madhara makubwa.
Naomba wanaume wa nchi hii wachukue hatua kumng’oa huyo Mama pamoja na Bt, na wote waliogusa au kushiriki katika mauaji wakamatwe na kufikishwa kwenye mkondo wa sheria bila...
Waliouliwa ndugu zao ndo walipaswa waombe msamaha, Cha ajabu ndo wanapewa msamaha kwamba baada ya kuua ndugu zako nimekusamehe usirudie tena
Mstari aliyonukuu wa Luka, ulitolewa na aliyekuwa anaenda kuuwawa sio wauwaji wake.
Mama Bado anaonyesha hatakaji kukubali ukweli awe huru
Bado analaumu...
Askofu Nkwande wa jimbo katoliki la Mwanza amelaani vikali mauaji ya raia akisema kwamba "tulifungiwa ndani na waliotufungia ni wenzetu ndugu zetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu".
Nkwande aliyasema hayo wakati wa ibada maalumu ya kuwaombea waliouawa...
Lisemwalo lipo na kama lipo basi linakuja ni kwamba pale ikulu ya tanzania kuna nini ambacho mpaka damu za watanzania zimemwaga kwa ubavu mkubwa.
Je vikosi vilivyoombwa na kashafa kuwa wametoka uganda walikuja kwa ajili ya mslahi ya nani?.
Tunajua mradi mkubwa wa mafuta umepita hapa na kwa...
Damu iliyomwagika wakati na baada ya uchaguzi,kiroho imehalalisha mageuzi nchini !
Damu hiyo itanena,hakuna haja ya maandamano tena comrades!
Tuendelee kulitumikia taifa letu kwa upendo,idara zina macho na zimeona seriousness ya watanzania na mabadiliko wanayoyataka!
Tutulie, Tanzania mpya...
Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo la Katoliki Musoma ameeleza kuwa Wananchi waliomba Uchaguzi wa amani lakini imekuwa tofauti watu wengi wamepoteza maisha mbaya zaidi hata wasio na hatia waliokuwa majumbani mwao na wengi kujeruhiwa
Askofu Msonganzila ameongeza kuwa nchi inanuka imepakwa mavi...
Wakuu, sina maneno mengi,nimefatilia video za kampeni za mgombea urais wa CCM na makamu wake inaonekana kabisa walijipanga Kwa mauji ya watanganyika ili malipo yake yawe maridhiano, walinuia kuharibu uchaguzi na kuwauwa watanganyika wakijua kuwa watanganyika ni wajinga watawahadaa Kwa...