dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni dalili zipi zaoneshwa kwa mwanaume kuwa tegemezi kwa familia?

    Ikiwa upo mbali na nduguzo, umekua mtu wa bize sana na kazi kiasi kwamba upati mda wa kuwatembelea kujua shida zao na changamoto. Ni vipi waweza tambua kuwa una umuhimu kwao kwa kuwasaidia changamoto zao?
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyotokea 2020 yatakuwa zaidi 2025 dalili zinaonyesha hakuna Jimbo itawaachia wapinzani. CCM imechokwa lakini wapinzani wamechokwa zaidi!

    Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka. Uchaguzi ujao ni dhidi ya waliochokwa na waliojichoka wenyewe!! Naona hata hamu kutamani uchaguzi ufanyike imeondoka...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma na kuhisi kizunguzungu inaweza kuwa ni dalili ya changamoto gani?

    Habari ndugu Wana jf. Natumaini nyie wazima wa afya Tena,niko hapa kuwaomba ushauri na uelewa juu ya tatizo hili la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma bila kupoteza wakati Moja kwa Moja niende kwenye tatizo nina mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 26 anasumbuliwa na kichwa kuuma na kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili ya Dodoma jiji kuupokea mkono wa nyani

    Eid fitriiii JF leo ndiyo timu ya wananchi inashuka dimbani kuyaondoa machungu ya dhulma hivyo Nawaambia Dodoma na simba wasishangae vipigo watakavyokutana navyo. NAWASILISHA
  5. JamiiForums Tanzania Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  6. JamiiForums Tanzania Kuteua Watu walewale ni dalili kuwa nchi haina Rasilimali Watu

    Habari za Sikukuu ya Pasaka! Moja ya dalili kubwa kuwa taifa fulani halina rasilimali Watu ni kwa kuangalia safu ya viongozi na watawala. Ukiona Watu wanaoteuliwa ni walewale yanaitwa miaka nenda rudi Watu ni walewale basi sababu kubwa ya jambo hilo ni kuwa nchi Hiyo haina Rasilimali Watu...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Aubin Kramo hajui kuwa jina lake limeondolewa kwenye wachezaji wa Simba

    Pamoja na mapenzi kwa timu yangu, ila mara kwa mara sijasita kuja na malalamiko dhidi ya uongozi wa Simba na moja ya maeneo yanayokera wengi yanahusiana na treatment ya wachezaji wake kuanzia wale walio bora hadi wale ambao wanaonekana mchango wao umepungua mno na wanaigharimu timu. Imefika...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi dalili za uchungu kwa mke zinaweza kumhusisha na Mume?

    Nawasalimu ndugu zangu. Natumai ni wazima. Ningependa kuuliza jambo kwani najua humu hawakosekani wajuzi wa mambo. Hivi Uchungu kwa mke anayekaribia kujifungua unaweza kumhusisha na mume? Yaani dalili ambazo anapata mume zipo kwenye kuashiria kwamba na mkewe anakaribia kujifungua?
  9. JamiiForums Tanzania Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

    Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa. Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake. Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima...
  11. JamiiForums Tanzania Dalili 5 za Mtoto aliyekosa umakini au uhusiano Mzuri kutoka kwa Mzazi

    Anatafuta Kupewa Umakini Kila Wakati: Mtoto huyu anakuwa ni mwenye kutaka sifa au kutambulika kwenye kila kitu hata vitu vidogo Kuwa na Hasira za Haraka: Mtoto anatumia hisia za Hasira katika kuonesha vile anavyojisikia ili tu apewe umakini kwenye mambo yake Anakuwa Sio Mtulivu: Mtoto...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili kwamba Mzimu wa Nyerere hautaki atengenezwe Sanamu

    Mimi si muumini wa mambo ya mila, hasa kuhusu wafu, lakini kwenye hili la Nyerere naanza kujitafakari sanamu la Kigwangwala na kundi lake na lile la Ethiopia, hayafanani na Nyerere hata wa kulumangia! Watengeneza Sanamu ya Nyerere wote waliojaribu wameshindwa kabisa kututengenezea sura yenye...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Wakuu mpo Salama! Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika. Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika uzee. 1. Kufananisha Watu au Mahali au matukio Kuna ile ukimuona mtu unafikiri ulimuona wapi hata...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia safu ya juu ya viongozi wa tume ya uchaguzi sioni dalili za uchaguzi huru na haki naona wizi utakaowakwaza wenye njaa

    Najaribu kutafakari mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, kisiasa na tume ya uchaguzi dhidi ya uchaguzi huru na haki, Najaribu kuoanisha na nguvu kubwa ya umma iliyo nyuma ya CHADEMA, Nazingatia pia usaliti mkubwa uliofichwa kwenye miyoyo ya wana ccm, Nasema hakuna namna tutakuwa na uchaguzi huru...
  15. W

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kunyanyua vyuma kunaweza kuleta dalili za mapema za kukoma hedhi

    Kukoma hedhi ni wakati ambapo mzunguko wa hedhi wa mwanamke hukata. Ki kawaida hutokea mwanamke anapokaribia umri wa miaka hamsini. Wakati hedhi inapokaribia kukata, wanawake hupitia dalili mbalimbali kama mzunguko wa hedhi usio wa kawaida, matatizo ya kihisia na ya kimwili ambayo hawajawahi...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Makonda ni tatizo, dalili mbaya au suluhisho?

    Paul Makonda ni zaidi Katibu Mwenezi wa chama Tawala. Tumewahi kuwa nao wengi na wapo wengi wa vyama vingine. Hakuna kama Makonda uzuri na kwa ubaya. Kwa nini? 1. Kama Makonda ni tatizo basi halina suluhisho. Kwa sababu ndani ya chama tawala huyu ndiye ameonekana. Na kama huyu ndiye bora zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.

    Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo. Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Dalili za mwanamke anayechepuka kwenye mahusiano(Ndoa)

    1.kubadi ratia yake ya Kila siku ghafla.mafano kama alikuwa anarudi home saa kumi na ukaona anarudi mara saa tatu ya usiku ,mara saa nne. 2.kujibu majibu ya kejeli au matusi Kwa mwanamume wake mfano ;kati ya wanaume na wewe ni mwanamume. 3.Matumizi kuongezeka ghafla,kuwa na income ambayo source...
  19. JamiiForums Tanzania Moja ya dalili kuwa hujitambui na hujiamini ni kutuma nauli kwa mwanamke ambaye ndio kwanza mnaanza mahusiano

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Lazima uliwe nauli wewe si lijinga. Na mimi nawasisitiza kina dada endeleeni kuwachangamsha ubongo wanaume wasiojitambua na wasiojiamini. Wewe umemtongoza Binti au mwanamke labda kwenye Daladala, au mtandaoni,au umekutana naye mtaani au Kanisani au popote. Ni...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna dalili mwaka huu 2024 kuwa na majanga mengi ya kiasili.

    Tujiandae kisaikolojia,hali sio nzuri kwa upande wetu..dalili zimeshaanza kujionesha toka mwaka jana mwishoni. Mimi sio mtaalam wa mambo ya hali ya hewa..lakini unaweza kuzingatia nilalosema au ukapuuza..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…