dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hadi sasa sijutii kuwepo tigo postpaid, sioni dalili yoyote ya kuhama labda tu voda supakasi waje na vifurushi vya ziada kwa bei nafuu

    Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu. Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja kutatua tatizo kwa kutafuta wifi router naitega sehem yenye network internet speed saf tu. GB 80...
  2. JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni. Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu. Ni kweli kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni dalili gani kwenye kifaa hiki cha fridge?

    Wataalam, huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini? Je, kuna madhara? Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa.
  4. JamiiForums Tanzania Ni dalili gani za haraka za Kumjua anayeendesha Gari ni Dereva tu (si lake) na Mmiliki halisi wa Gari?

    Kuna Mtu nimepishana nae akiwa katika Harrier matata sana huku akiwa na Mikogo yote (kama ya Watani zangu Wakubwa Wahaya) cha Kushangaza baada ya Nusu Saa nimekutana nae Ubungo anapakia Magunia ya Pumba za Kuku huku akiwa Kavua Shati kutokana na Joto Kali la Dar es Salaam sasa (ambalo TMA...
  5. JamiiForums Tanzania Mzazi unapaswa kutambua dalili kama Mtoto wako ana Tatizo la Afya ya Akili

    Mtoto mwenye tatizo la #AfyaYaAkili anaweza kuwa na changamoto mbalimbali zinazomfanya awe na Tabia zisizo za kawaida au hali ya kutokuelewana na wengine katika jamii yake. Baadhi ya matatizo ya Afya ya Akili yanayoweza kuathiri Watoto ni pamoja na kuvurugika Kihisia kama vile kuongezeka kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Habari mwanajamvi, najua umekuwa na siku ndefu sana ya kikazi maofisini au biasharani, ama mwingine unasoma uzi huu ukiwa kazini, piga kazi, kazi ni kipimo cha utu. Kabla sijaendelea mbali naomba nisema kwamba mimi ni fundi simu, kazi hii imefanya nijifunze mambo mengi kupitia changamoto za...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni binadamu mwenye dalili zote za kutufikisha nchi ya ahadi. Mkimpuuza huyu itapita miaka 100 hajapatikana mwingine!

    Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani. Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

    Hii kasi ya uongozi wa CHADEMA kupongeza na kuunga mkono uongozi wa Mama tangu Taifa hadi huku mashinani, ipo kimkakati sana. Inavyoonekana kuna namna CHADEMA wamevutiwa sana na utendaji wa Mama kwa hivyo wameona hakuna sababu ya kulumbana naye isipokuwa kumuunga mkono. CHADEMA ninayoifahamu...
  10. JamiiForums Tanzania Dalili zipi zikionekana zitamaanisha deni la Taifa linaenda kutohimilika?

    Habarini. Kila siku tumekuwa tunaambiwa deni la nchi linahimilika deni linahimilika, tunakopesheka. Naogopa isije asubuhi moja tukashangaa tunaambiwa deni halihimiliki na hatukopesheki. Naomba kujua ni dalili gani zikionekana au hesabu za madeni zikikaa namna gani ni ishara kuwa deni...
  11. JamiiForums Tanzania Tambua Dalili 9 Za Wazi, Unaelekea Kufanywa Rafiki Tu Na Mwanamke. (Epuka Friendzone)

    Urafiki na mwanamke unayemtaka kimapenzi sio mzuri. Aitha utaishia kuchunwa au kuumizwa. Huwa inauma pale unamfikiria mwanamke kimapenzi lakini anaishia kukufikiria kama rafiki au ndugu. Japo unaweza kuambiwa kuwa ili umpate anza kuwa rafiki yake kwanza, lakini je, hilo ndo lengo lako? Mwanamke...
  12. JamiiForums Tanzania Dalili za awali za Saratani ya Ubongo

    Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema: Dalili za awali za Saratani ya Ubongo ni kichwa kuumwa, mtu anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu, akimeza dawa haisaidii, kuna mauda anajisikia kutapika Anaweza kuona mkono au mguu unaishiwa nguvu kama vile...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha matamu, tongoza anayeonesha dalili za kukuelewa achana na mamba uishi maisha marefu

    Salaam JF, Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe. Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe. Wadiz
  14. JamiiForums Tanzania Dalili za awali za Saratani ya Ubongo

    Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema: Maumivu makali ya kichwa kwa mgonjwa, anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu na maumivu yakawa tofauti na maumivu ya kawaida, hata akimeza dawa haisaidii kupunguza makali, baada ya muda anaweza kuhisi kichefuchefu...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme. Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhisi dalili za mimba bila kuwa na mimba

    'Pseudocyesis' ni muonekano wa dalili zote za ujauzito anazopata mwanamke wakati kiuhalisia hana ujauzito. Mwanamke anaweza kuwa na dalili zote za ujauzito kama kutapika mara kwa mara, shida ya kulala na hata kukosa hedhi lakini vipimo vikaonesha kutokuwepo kwa ujauzito. Hali hii husababishwa...
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Mwanaume anaweza kuonesha dalili za Ujauzito badala ya Mkewe

    MADAI Mdau wa JamiiForums ametoa mkasa mmoja unaomhusisha mume wa rafiki yake wa kike aliyeanza kuonesha dalili za ujauzito kwenye ujauzito mchanga wa mkewe. Mdau anaeleza kwamba shemeji yake huyu ilikuwa kila asubuhi anatapika njano, na homa za hapa na pale na kila alipoenda hospital Ugonjwa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Watu kulala hovyo kwenye madaldala ni dalili ya njaa kali!

    Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi na mara kadhaa udenda pia. Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya Dar...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali wa nchi hii. 1. Kuna dalili kampuni ya Azam imepewa dili kinyemela kufanya kazi ya kuvusha watu...
  20. JamiiForums Tanzania Dalili kumi za kuchokwa na mpenzi wako

    Kama zipo mbili tu, achia ngazi mchuma uondoke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda ufanye maombi sana. Haya angalia sasa kama wako hana hata moja: 1. Hupigiwi simu hadi umpigie. 2. Hutumiwi sms hadi umtumie. 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…