Nawasihi walimu wa Tanzania, wasikae kimya kuhusu CWT, sab kwa muonekano wa nje chama ni chao, ila kiundani chama sio chao, kwani wanachama ndio huamua kuhusu chama chao, ila walimu wa Tanzania hawaamui chochote kuhusu chama chao!
Hata mapato na matumizi ya kila mwezi ya chama chao hawayajui...