Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec.
Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao.
Renec iliingia sokoni ikiwa na thamani ya $ 0.1 lakini ndani ya saa 24 ilipanda thamani hadi kufikia $ 3+...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency.
Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa muda sana hii biashara na kuwauliza wadau mbali mbali.
Kwa bahati mbaya sana nimekuwa nikikutana na watu ambao naweza kusema hawajaijua vizuri hii biashara.
Nilishawahi kukutana na mtu akaniambia kwamba yeye anawekeza kwenye coin nyingi kama vile shiba...
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya...
Ubadilishanaji mkubwa wa kifedha unaokua kwa kasi zaidi ulimwenguni hauna ofisi kuu au anwani rasmi, hauna leseni katika nchi ambako hufanya kazi na ina mtendaji mkuu ambaye hadi hivi majuzi hangejibu maswali kuhusu eneo lake.
lianzishwa miaka minne tu iliyopita, Binance ndiye kampuni kubwa...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameruhusu matumizi ya Cryptocurrency baada ya benki za nchi hiyo kushindwa kufanya kazi vizuri kutokana na mzozo unaoendelea nchini humo.
Waziri wa Maendeleo ya Digitali amesema cryptocurrency zitatumika kisheria hadi kwenye benki.
===
Kiev legalizes...
Rais Joe Biden wa Marekani atasaini agizo la serikali la kutaka utafiti ufanyike dhidi ya Crypto-currency ili kubaini madhara yake kwenye uchumi na usalama kwa wanaowekeza kwenye fedha hizo.
16% ya wamarekani wamewekeza katika Cryptocurrency, bila kuzingatia hatari za kuwekeza katika fedha...
Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama:
-HP
-DELL
-LENOVO
-APPLE
-FUJITSU
-ALIENWARE
-SAMSUNG n.k
Accessories aina zote zinapatikana kama:
-RAM (1gb 2gb 4gb 8g)
-Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb)
-Adapter charge aina zote
-Keyboard na Mouse wired na wireless...
Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama:
-HP
-DELL
-LENOVO
-APPLE
-FUJITSU
-ALIENWARE
-SAMSUNG n.k
Accessories aina zote zinapatikana kama:
-RAM (1gb 2gb 4gb 8g)
-Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb)
-Adapter charge aina zote
-Keyboard na Mouse wired na wireless
-VGA...
Teknolojia ya njia za pesa inazidi kuwa kubwa na leo sasa ni cryptocurrency.
Cryptocurrency ni mfumo wa mzuri sana ambao pesa yako aina control na benki wala serikali yako.
Cryptocurrency unaweza kwenda nchi yoyote na kutoa pesa sehemu yoyote.
Cryptocurrency huwezi ku trace miamala ya...
Nakumbuka ilikua 2017 Mida ya jioni nipo na laptop yng naperuzi mtandaoni kumtafuta njia ya kuningixia pesa bila ya mimi kuwa na mizunguko miingi, katika kuperuzi hapa na pale first time nikaona BITCOIN na ndio ulikua mwaka ambao ilianza kupata soko, bei ya coin moja ilikua ni ndogo sana...
kiwa na bahati ya kuhandika na maandiko yako yakawakamata vizuri watu basi utawachota kweli kweli.
Huyu bwana hapa JF aliwakamata watu sana kipindi cha Forex na mpaka wengine hata umweleweshe vipi kukubali kuwa alikuwa akili yake aina 50 zake ilikuwa ngumu.
Hapa JF watu wameweza kueleza Forex...
Japo thamani nzima ya soko la crypto imeshuka wiki hizi chache kutoka dola za kimarekani 2.4 Trilion mpaka $1.7 Trillion. lakini bado soko hili linakupatia nafasi nyingi za kutengeneza pesa kupitia holdings zako.
Make your money go to work now..
Hizi ndo njia ambazo zinaweza kukufanya uendelee...
Wakuu Amani iwe kwenu.!
Kwanza kabisa, ieleweke wazi kuwa sipo hapa kupinga kuhusu Crypto-Currency trading, Forex Trading na jamii zote za mambo kama haya. Mie mwenyewe naendelea kujifunza ili nijue kwa undani na huenda siku moja nikawa expert wa hizi mambo. Lengo kubwa ni ku-share utapeli...
Ni jambo la kawaida kwa vijana wanajihusisha na cryptocurrency kushawishi wengine kuwa huo ni uwekezaji ambapo watu wengi huingia wakiamini watapata faida kubwa lakini huishia kupata hasara au faida ya kawaida ambayo wangeweza kuipata katika masoko yoyote ya pesa
Kwa ufupi sana, Uwekezaji ni...
Mfano nimedepost usd 50 kwenye crypto wallet nikanunua ethereum coins za thaman hiyo nikazi-hold,.. baadae ethereum coin zikashuka sana thaman sokoni zile usd 50 zikapukutika. Je, wallet yangu itasoma negative (- 50) ili soko ilikipanda zipande tena ama wallet itasoma zero kabisa yani hamna...
Waziri wa Nchi, Uchumi na Uwekezaji wa Zanzibar, Mudrick Soraga amesema watakutana na wadau wa fedha za mtandao ili kupata maoni kuhusu fedha hizo
Watakutana na wadau katika wiki ya tatu ya mwezi huu, ili kujua kama kuna haja ya kutumia cryptocurrency kwenye miamala
Rais wa Tanzania, Samia...
Fedha ya Mtandao(Cryptocurrency), Liquid Global ya Japan ambayo ni moja kati ya fedha 20 za mtandao zinazotumika zaidi, imedukuliwa na dola milioni 100 zimeibwa ambazo ni sawa na takriban Tsh. Bilioni 323.
Huu I wizi wa pili mkubwa baada ya ule uliohusisha wadukuzi wenye nia njema kuiba dola...
Wadukuzi wenye maadili 'white hat hackers' waliingia kwenye mifumo ya fedha za mtandao, 'CryptoCurrency' na kuchukua kiasi cha dola milioni 610.
Wadukuzi wamerudisha kiasi hiko cha fedha kwa wahusika kwa kuwa lengo lao halikuwa kuiba.
Walichukua hela hizo kutoka Polygon, BSC na Ethereum...
Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi iendane na spidi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology).
Blockchain technology ni teknolojia mpya iliyogunduliwa mwaka 2008 na kushika kasi kuanzia 2014, ni mfumo madhubuti ambao ni ngumu Ku hack na kuiba data au pesa. kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.