Kwanini Serikali na Benki nyingi zinaogopa kuhusu Cryptocurrency

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Teknolojia ya njia za pesa inazidi kuwa kubwa na leo sasa ni cryptocurrency.

Cryptocurrency ni mfumo wa mzuri sana ambao pesa yako aina control na benki wala serikali yako.

Cryptocurrency unaweza kwenda nchi yoyote na kutoa pesa sehemu yoyote.

Cryptocurrency huwezi ku trace miamala ya kutumiana wala makato ya kutuma .mfano mtu yupo nchi x anataka kukutumia bilioni kwa mda huo huo basi kama ana account iliyo na pesa hizo za cryptocurrency zitafika kama kutuma meseji tu.na utaweza kutoa kwa makato madogo ya benki utakayo tolea au wakala.

Jambo hili serikali na mabenki limeanza kuwakosesha raha kutokana na pesa nyingi za electronic zitakuwa au trans money zitakuwa sio trace wala umiliki mkubwa.

Wapo viongezi wengi sasa na watu wakubwa ambao sasa wanafanya kimya kimya kubadilisha mfumo wa pesa ili likitokea lolote kama utakatishaji basi si rahisi kwenda kufunga au kutrace pesa kwa ajili ya kuzuia.

Cryptocurrency ina soko kubwa ambalo unaweza kwenda duniani na mabilioni yaliyo kwenye mfumo wa cryptocurrency ukaweza kulipa huduma,kupata pesa cash kama app na mawakala ila kwa sasa dar wapo.

Cryptocurrency uzuri wake hakuna sehemu ya makato kila mwezi kama benki.
Cryptocurrency zinatengenezwa kulingana na hawamu na sio kujitengenezea tu.

Mpaka sasa ina kadiliwa zipo cryptocurrency aina zaidi 16100.

Tuje kwenye bitcoin!
Bitcoin zilitengenezwa milioni 20 tokea kuanzishwa kwake na sasa zimebaki bitcoin milioni 1.7 ambazo zija nunulika. Kuzalishwa tena hawamu nyengine ni mwaka 2114.

View attachment 2113689

Nchi nyingi zinaogopa kuwa pesa inaweza zisizibitiwe na kutawala pesa zenye mfumo mmoja.

Kuna watanzania sasa wameanza kuweka pesa zao nyingi isije kesho unapigwa utakatishaji wakafunga account zako
 
Kila kitu kwa tathimini mfumo huo unaweza pelekea ukuzaji ugaidi duniani na wizi mngetuacha kwanza mfumo gani hufatilii mzunguko wapesa
 
Back
Top Bottom