Maisha na biashara ya fedha mtandaoni

Termux Black

Member
Jan 30, 2022
23
32
Nakumbuka ilikua 2017 Mida ya jioni nipo na laptop yng naperuzi mtandaoni kumtafuta njia ya kuningixia pesa bila ya mimi kuwa na mizunguko miingi, katika kuperuzi hapa na pale first time nikaona BITCOIN na ndio ulikua mwaka ambao ilianza kupata soko, bei ya coin moja ilikua ni ndogo sana nakumbuka ni 200$ kitanzania ni 450k Tsh, sasaiv coin moja ni 35,000$ takrobani 80mil Tsh.
Muda unakimbia na coin inazidi kupanda thamani, hata ukiangalia katika cap rate za crypto, yenye rate kubwa ni BITCOIN yenye 800 billion Dollar.

Kuna utajiri ulojificha na wachache ndio wanauona.

Termux_Black

IMG_20220127_235131.jpg

IMG_20220127_235131.jpg
 
Jamaa anafanya marketing ya bitcoin; ameambiwa J-zz / Dorsey wanakuja wekeza huku kwa wanyambwa na yeye anaweza ukoteza %!!! Mimi nangojea crypto itakayoanzishwa na progressive Governor wa BOT baada ya Luoga kuondoka!!!
 
Kama Kuna Crypto ambayo inategemewa kuanzishwa na serikali itakua nzuri ila wasimeke masheria Yao makali maana this is a decentralized world. Eg USDT ilianza kama utani walonunua mwaka janaa wanaunload tu sasaiv.
Crypto is something very valuable than gold
 
Wakianzisha lazima waweke sheria. Manake itakuwa regulated.
 
Benki kuu mwaka 2019 SI walitoa tangazo kuwa hizi sarafu za mitandaoni hazitambui??,

Ila mama Samia nasikia Alikuwa anazifanyia promo.. Ili zitumike sijajua kama wamezuruhusu
 
Wamekataza kama njia rasmi ya malipo. Mf. huruhusiwi kufanya biashara ya kuuza magari malipo yakawa na crypto kwa sababu haiko regulated nchini. Ila mara kadhaa viongozi wakuu wa nchi wamesisitiza watu wajiandae kwa mabadiliko kwani ndio dunia inapoenda.
 
Wamekataza kama njia rasmi ya malipo. Mf. huruhusiwi kufanya biashara ya kuuza magari malipo yakawa na crypto kwa sababu haiko regulated nchini. Ila mara kadhaa viongozi wakuu wa nchi wamesisitiza watu wajiandae kwa mabadiliko kwani ndio dunia

Wamekataza kama njia rasmi ya malipo. Mf. huruhusiwi kufanya biashara ya kuuza magari malipo yakawa na crypto kwa sababu haiko regulated nchini. Ila mara kadhaa viongozi wakuu wa nchi wamesisitiza watu wajiandae kwa mabadiliko kwani ndio dunia inapoenda.
Safi sana mkuu, ngoja tuendelee kujifunza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom