crypto

The International Association for Cryptologic Research (IACR) is a non-profit scientific organization that furthers research in cryptology and related fields. The IACR was organized at the initiative of David Chaum at the CRYPTO '82 conference.

View More On Wikipedia.org
  1. Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

    Wakuu habari? Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida. Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200. Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
  2. Uwakala wa crypto una faida kubwa na huduma zisizohitaji ofisi

    Mimi ni trader wa forex katika soko la gold ambayo pear XAUUSD niliyoingia nayo ilinipa kama usd 7700 kwa lot size 20 kipindi cha nyuma mwaka 2021. Kipindi cha nyuma kutrans pesa kufika kwenye nchi yetu ilikuwa changamoto hata wengine ilifikia pesa zao kuzuiwa na benki nyingi au kuletewa...
  3. Nahitaji kuchukua mkopo wa miaka minne niwekeze kwenye cryptocurrency

    Habari zenu wanajamvi, Mm ni mmojawapo wa watumiaji na wawekezaji wa sarafu za mtandao (cryptocurrency) pia ni mwajiliwa wa taasisi fulani, katika kipindi hiki cha bullish naona sarafu zinapanda sana na mimi sina mtaji wa kununulia. Ila nilikuwa nina wazo moja nahitaji nikachukue nkopo wa...
  4. Je, Forex, Crypto na utapeli mwingine wa uwekezaji hufanyaje kazi? Unapaswa kufanya nini ikiwa umetapeliwa?

    Nimeona kashfa ya Noelbillions nikaona bora nije na ninachokijua maana serikali ya CCM imekaa kimya toka enzi za Ontario. Ingawa kuna aina mbalimbali za kashfa za utapeli katika uwekezaji. Katika mazingira mengi, huwa zinafanana kwa kiasi fulani. Unaweza kuepuka miradi mingi ya ulaghai ikiwa...
  5. Chapa ya Mpinga Kristo nyuma ya Worldcoin na Crypto currency, AI robot

    Kabla sijaenda kwenye lengo kuu la mada hii nielezee kwanza Worldcoin ni nini ? Cypto/Cryptocurrency ni nini ? na mahusiano yake na AI robot. Baadhi ya member wa JF nimeona wakigusia mada hii kwa sehemu ndogo.. Worldcoin ni nini? Worldcoin ni jukwaa la utambuzi wa kidijitali ambalo linalenga...
  6. Free Crypto Coin Mining Apps

    Bila shaka Neno crypto currency sio geni, miongoni mwetu coin maarufu ya BITCOIN ilianza mwaka 2009 ukiwa na thamani ya kutupwa lakini bada ya miaka kidogo ilifikia Hadi thamani ya $67,000. Dunia inaelekea huko hata hapa Kwetu TZ kuna fununu za miongozo kuandaliwa. Pia kuna wanadau Tayari...
  7. U

    Ni kampuni gani nzuri ninayoweza kujifunza masuala ya crypto, kununua na kuuza kwa uhakika?

    Basi usijali ilinichukua mda sana kujifunza na nkafanya uchunguzi ni sehemu gani sahihi ambayo mtu anaweza kununua na kuuza cryptocurrency. Basi jawabu lenyewe ni coinsmart. Hili ni kampuni linalijihusisha na masuala ya kuuza na kununua crypto lakini pia utaweza kujifunza mengi zaidi. Ukiwa na...
  8. Artificial Intelligence (AI) projects in the crypto!!!!

    The rumor that AI could dramatically change the market in all sectors has intensified thanks to the popularity of OpenAI and applications such as ChatGPT. This trend has also spread to the crypto industry, which has seen a surge in the price of tokens associated with AI projects. ➡️Alex...
  9. BoT kuanzisha mfumo wa Crypto Currency

    Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa ya muelekeo wa kuanzisha mfumo wa pesa za kidigitali Yani Crypto Currency. Fedha hizo zitatolewa tu na benki Kuu na sio chanzo kingine. Benki Kuu tayari imeshakaa na mabenki yote Tanzania na kuangalia namna Bora ya kuendesha mfumo wa fedha hizo. Fedha hizo...
  10. Crypto na ahadi ambayo haijatimia

    NB: Uzi ni mrefu, kinoma 👽 Uchumi wa dunia umekuwa ukidorora kwa miezi (Kama sio kwa miaka) kadhaa sasa, na mdororo huo umeathiri pia thamani ya cryptocurrencies kwa kiwango cha kutisha. Watu wamepoteza mabilioni ndani ya muda mfupi, kiasi ambacho wengine wamechukua maamuzi magumu ya kujiondoa...
  11. M

    Wana Crypto tusikate tamaa mwaka 2023 ni wakutajirika

    Hii misemo ya kiswahili ina nguvu na maana kweli. Mvumulivu hula Mbivu. Subira huvuta kheri. Licha Soko la Crypto kushuka na kushusha na kukatiza wadau tamaa lakini dhoruba ya muda tu. Huu ndio wakati wa kununua na kutrade. Wajanja watakaosoma huu uzi na kuutilia maanani watanikumbuka baada...
  12. Overview of Cryptos Asset Regulation in Sub-Saharan African Countries

    Ukuaji Wa Soko la Cryptocurrency Africa unahitaji Utaratibu Mzuri. Heri ya Mwaka Mpya 2023 wana JF 🙏💜 Utafiti uliofanywa na Chainalysis unonyesha kuwa, Bara la Africa ni ya 1 kwa ukuaji Wa haraka kwny soko la Cryptos Ulimwenguni lakn imekuwa ikifanya mihamala michache kwa makadilio jumla ya...
  13. Remitano wazindua sarafu ya Renec na kuanza kwa kishindo

    Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec. Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao. Renec iliingia sokoni ikiwa na thamani ya $ 0.1 lakini ndani ya saa 24 ilipanda thamani hadi kufikia $ 3+...
  14. WhatsApp Unafanya Majaribio Ya Mfumo Wa Kutuma Na Kupokea Crypto

    Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1. WhatsApp imeanza majaribio ya kuunganisha Wallet ya Novi na WhatsApp hivyo utaweza kutuma na kupokea pesa...
  15. Usiwekeze kwenye Bitcoin wala crypto currency yoyote, wekeza huku

    1. Dhahabu - dhahabu kilo moja thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania. Dhahabu haiwezi kushuka thamani kwasababu i) haipatikani kiurahisi ii) ina matumizi mengi iii) ipo tangu mwanzo wa ulimwengu kwa hiyo soko lake sio jipya 2. Mafuta na Gesi
  16. M

    Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

    Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida. Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account...
  17. Kali ya mwaka; Kenya Overtakes US as World Leader in Crypto Trade

    Tuko front kwenye yote na vyote, chochote kinachohusu matumizi ya ubongo. Kenya has emerged among countries to watch globally after a report by Chainalysis ranked it top in peer to peer (P2P) cryptocurrency trading. The report published on August 18, indicated that Kenya was the leading...
  18. S

    Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

    Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza. Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…