King gorani
Member
- Oct 30, 2020
- 21
- 8
Habari zenu wanajamvi,
Mm ni mmojawapo wa watumiaji na wawekezaji wa sarafu za mtandao (cryptocurrency) pia ni mwajiliwa wa taasisi fulani, katika kipindi hiki cha bullish naona sarafu zinapanda sana na mimi sina mtaji wa kununulia.
Ila nilikuwa nina wazo moja nahitaji nikachukue nkopo wa miaka minne niwekeze kwenye sarafu ili pale zitakapopanda tu naenda bank na kulipa pesa yao, je mnaonaje hilo wazo wadau nipo sawa au napote, ushaur wenu please.