TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili.
TFF imekosea sana...
Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3
Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi?
Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi?
Au mshahara wa Aziz...
Taarifa kutoka TFF
--
TAARIFA
Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba.
Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?
Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita
---
TAARIFA KWA...
baada
bodi
bodi ya ligi
crdbcrdb federation cup
federation
katika
kuhusu
kutoka
ligi
madai
mashindano
msemaji
msemaji wa yanga
msimu
pesa
taarifa
tff
ubingwa
ufafanuzi
umma
yanga
yanga sc
Press ya Yanga muda huu,
Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita.
"Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
Hii bank nadhani kwa sasa wanabweteka sana hawajali tena wateja wao. Imagine wateja 8 tu wanahudumiwa masaa matatu kwenye huduma za kutoa/kuweka pesa dirishani, hivi mnaajiili vilaza au?
Na kama mnajua mnaajili vilaza si muwajaze kwenye counter zote ili wasaidiane angalau tupate huduma haraka...
Explore Exciting Career Opportunities at CRDB Bank – May 2025
CRDB Bank, a leading financial institution in Tanzania, is renowned for its commitment to excellence, innovation, and customer-centric banking. With a strong presence nationwide and a dynamic work environment, CRDB Bank offers...
Rais John Magufuli akielezwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei baada ya kufungua tawi jipya la benki hiyo lililopo Chato Mkoani Geita. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji, March 9, 2018. Picha na Othman Michuzi.
SEHEMU YA STORI YA MWANANCHI...
Kila kitu hoi, customer service hawapokei.
CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu
Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
File movement katika ofisi za umma, hasa majalada ya siri, yanaenda kwa mtu mahsusi, na mpelekaji maalum. Pia CRDB mtu anayeingia katika akaunti mfumo unamsoma.
Basi, yaliyokuta yamewastahili
Zanzibar. Tarehe 21 Mei 2025: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo baada ya kusaini mkataba wa mkopo nafuu wa takriban Euro milioni 80 (shilingi bilioni 240)...
Hii ni kutokana na matengenezo makubwa ya uwanja wa Mkapa na ule wa amaan Kila baada ya mechi wanaufunga kwa matengenezo (wanatunza kama wazee wa kichaga na pick up ya Datsun)
So final ni Tanga
Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳
Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈.
wasiliana nao kwa taarifa zaidi
Kama CAF
Wamesimama MSIMAMO WAOO
NASHAURI YANGA msikubali kuchezea kwa mkapa final ya crdb
Huo UWANJA HAUKO salama kwa mechi kabisa
Yaani wamehangaika gafla KUREKEBISHA kisa final
Huko nyuma walikuwa wapi na kama walikuwa na uwezo WA KUREKEBISHA mapema kwa nn wasubiri CAF ichague AMAN ndio...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Baada ya wananchi yanga kutinga hatua ya fainal za CRDB tiar viongozi wa Simba wameanza mbinu za kukimbia game
Na mbinu yao ya kwanza kabisa itaanza kwenye game yao na singida
Yenu macho
LONDON BOY
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.