KERO CRDB kama huduma imewashinda fungeni fanyeni mambo mengine

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

BigBro

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
3,647
Reaction score
12,007
Tangu mazuji app yenu haifanyi kazi, Simbanking nako haifanyi kazi, mpigiwa simu mnadai IPO kwenye matengenezo. Matengenezo gani hayo hayamaliziki? Mnaboa mnooo
 
Huyo kiongozi wa IT huko CRDB afukuzwe kazi tu maana CRDB huwa ni benki hovyo linapokuja masuala ya mitandao ikiwemo ATM. Huwezi kuona hii shida NMB.
 
******* sana. Nipo sehemu hakuna ATM wala Bank najarinu app yao na Simbanking zote hazifanyikazi tangu asubuhi saa tano, kazi zimesimama
 
Tangu mazuji app yenu haifanyi kazi, Simbanking nako haifanyi kazi, mpigiwa simu mnadai IPO kwenye matengenezo. Matengenezo gani hayo hayamaliziki? Mnaboa mnooo
Umeshawahi kuwa na benki?
 
Back
Top Bottom