covid

 1. P

  Bunge na wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA

  Nimeona mwongozo wa spika kwa viongozi wa vyama vya siasa kuhusu kufukuza wanachama wabunge. Naona huyu bwana anataka kuujulusha umma kuwa wabunge ni wanachama wa vyama wa daraja la kwanza ambapo wakifukuzwa sharti makosa yao, vikao vya kuwafukuza, wajumbe waliohudhuria, rufaa zao za mavazi...
 2. Ami

  Rais Duterte wa Ufilipino ajuta kuchanjwa Covid 19

  Raisi matata wa Philippines ,Rodrigo Duterte amesema amejuta kuchanjwa kwa chanjo ya kichina iitwayo Sinopharm huku akihofia afya yake. Wakati huo huo raisi Duterte ameutaka ubalozi wa China nchini humo kwenda kuchukua chanjo zao 1000 za Sinopharm walizozitoa kama msaada kwa Phillipines. Raia...
 3. S

  Kudhibiti COVID-19 na kuepuka kulishana uchafu, tuweke sheria ya kupiga faini yeyote atayepiga chafya hadharani bila kuziba pua na mdomo

  Hata kabila ya ujio wa Covid, hakuna tabia ambayo huwa naichukia kama mtu kupigya chafya mbele za watu bila kuziba pua na mdomo kwani mbali na kusambaza magonjwa, lakini pia inachangia sana kulishana uchafu(makamasi). Kutokana na ujio wa Covid, ugonjwa unaosambaa kwa njia kadhaa ikiwemo mtu...
 4. M

  Africa medics warn of India-like Covid surge

  Sijaona bado maagizo kuhusu sharti ya kuvaa barakoa, hasa kwenye mabasi, wakati wa kuingia katika majengo ya serikali n.k. Tanzania si serious, ila virusi ni serious! Soma hiyo (Citizen ya leo): 'Act now': Africa medics warn of India-like Covid surge Some countries, including the Democratic...
 5. Mathanzua

  Mass Murder: 3,486 Deaths in the U.S. Following COVID Injections in 4 Months: More Vaccine Deaths Recorded Than the Past 15 Years!

  Please let people read this thread so that everyone can accept the shot from an informed position.Do not accept to be collaborators in this ongoing human genocide.After all if the information is also reported by the American Centre for Disease Control,why should you hide it. Mass Murder: 3,486...
 6. beth

  Kenya suspends flights from India as Covid cases surge

  Kenya has suspended passenger flight from India to Kenya for the next 14 days, Health CS Mutahi Kagwe has announced. The new directive will take effect in the next 72 hours. This follows a surge in Covid-19 cases in India. Kagwe however said cargo flights will continue upon adherence to the...
 7. Z

  Kuna maambukizi makubwa ya covid 19 huko India,tuchukue tahadhali sana

  Kule India Visa vya Covid 19 vimepamba moto zaidi ya laki 2 kila siku wanaambukiza na 1% wanakufa. kuna wafanyabiashara wanaenda au wanatoka huko. Tunaitaji kuwa na mikakati ya kujikinga na janga hili. Cha kufanya pale airport tuwe makini .Mgeni awe wa nje au wandani anapongia aonyeshe...
 8. S

  Covid 19 awamu ya nne

  Wakati serikali ikiandaa kamati maalum ya kushughulikia gonjwa la Covid 19 , naomba kuuliza hivi hii Covid 19 iliyopo India kwa sasa ndio hiyo ya awamu ya Nne au bado hii ya awamu ya tatu? Maana India Jamani hali ni mbaya sana sana mpaka umoja wa mataifa umetoa tamko rasmi la kuingalia India...
 9. MK254

  Kenyans defy Covid to save an extra Sh 483 bilion

  Kenyan households and businesses have stockpiled an additional Sh483.3 billion of savings over the Covid-19 pandemic period, the biggest in over a decade, highlighting the impact of precautionary spending and thin investment opportunities in an environment fraught with uncertainties. Data from...
 10. Kifurukutu

  Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

  Habari JF, Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote Tanzia nyingi...
 11. stakehigh

  Covid patients with sedentary habits more likely to die, study reveals

  Among covid patients, a lack of exercise is linked to more severe symptoms and a higher risk of death, according to a study covering nearly 50,000 people who were infected with the virus. People physically inactive for at least two years before the pandemic were more likely to be hospitalised...
 12. A

  COVID-19 inapelekea Waafrika 30 millioni kwenye umaskini - IMF

  SHAREDCovid pushing 30 million Africans into poverty - IMF Africa editor, BBC World Service ReutersCopyright: Reuters Some African nations will need to increase health spending by 50% to vaccinate 60% of their populations, the IMF saysImage caption: Some African nations will need to increase...
 13. R

  In the era of covid 19 pandemic: Tuna mahitaji yanayotofautiana sana-angalia mahitaji yetu yalivyo diverse in terms of defying covid-19 restrictions

  1. Wazungu wana defy covid restriction ili waende beach kuogelea. Wao shida yao ni kustarehe! Beach partygoers in Barcelona defy Covid-19 restrictions 2. Wahindi wamefanya kitu kinaitwa super spreader kwa kwenda mto Ganges kuogelea ili watakaswe dhambi zao! wao shiida yao ni dini, waondolewe...
 14. FRANCIS DA DON

  Mbunge Sospiere Mukweli ameniogopesha kwa kauli yake kuhusu ujenzi wa bwawa la Rufiji; je, kuna haja ya wabunge wote kupimwa akili?

  Tangu niliposikia kauli ya Mbunge Sospiere Mukweli akisema kwamba ujenzi wa mabwawa ya kufua umeme kwa sasa yamepitwa na wakati, akili yangu imevurugika kabisa nisielewe nini kinaendelea kichwani mwa wabunge wetu, nimeogopa sana. Na hii imekuja baada ya ile kauli ya hayati Rais John Joseph Pombe...
 15. FRANCIS DA DON

  Tangu Rais J.P Magufuli afariki dunia, kelele zote za Covid- 19 zimeisha, hii ina maana gani?

  Nakaribisha maoni
 16. D

  Tujadili na kushauri Serikali kuhusu chanjo za covid -19 na ukusanyaji wa takwimu zinazotakiwa na WHO za covid 19

  Jana rais wetu ameagiza kuundwa task force ya watalaam kuchambua kwa makini masuala haya ya covid 19 na kuishauri serikali hatua sahihi za kuchukua. Pressing issues hapa ni hasa msimamo wetu kuhusu chanjo za covid na utoaji wa takwimu zinazohitajika WHO kila siku. Tujadili faida na hasara au...
 17. L

  KUHUSU KAMATI YA USHAURI YA COVID 19

  Nakumbusha tuu kuwa "Mwendazake" naye alishauriwa na kamati flani.Ndiyo ilipelekea kutoa maamuzi yake yaliyoifikisha nchi hapa tulipo. Pendekezo la kwanza :ili kupata ushauri mpya wenye mantiki, kamati ya mara hii itakayoundwa na Mhsehimiwa Raisi iwe na akili nyingine mpya(huwezi solve tatizo...
 18. Nyendo

  Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

  Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu. Rais Samia...
Top Bottom