covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    KENYA: Maambukizi ya COVID-19 yapanda kwa 9.9%

    Watu 246 wamekutwa na maambukizi ya COVID-19 kati ya 2,484 waliofanyiwa vipimo ndani ya saa 24 zilizopita Nchini Kenya, huku Wizara ya Afya ikisema kuna ongezeko la 9.9% la maambukizi Katika waliobainika kuna Wakenya 196 na wageni 50, Wanaume wakiwa ni 135 na wanawake 111. Jumla ya wenye...
  2. JanguKamaJangu

    Marekani yazindua chanjo ya COVID-19 kwa watoto wachanga

    Marekani imeanzisha mchakato wa chanjo ya COVID-19 kwa ajili ya watoto wachanga na wale wanaosoma shule za awali, ambapo itaanza kutumika kuanzia wiki ijayo. “Tunajua kuna mamilioni ya wazazi ambao wanaisubiri chanjo hii kwa ajili ya watoto wao,” – Dkt. Rochelle Walensky kutoka Vituo vya...
  3. The Dictator

    COVID-19: Pfizer wasema " tulihamia kwa binadamu na kuacha kufanyia majaribia ya chanjo kwa wanyama kwa sababu waliendelea kufa."

    Maneno hayo yamesemwa ndani ya kikao cha baraza la senate nchini marekani na mwakilishi wa Maabara ya Pfizer akielezea changamoto wanazokutana nazo. Inasemekana kwa sasa kumeanza kuibuka visa mbalimbali vitokanavyo na maudhi ya chanjo kwa wengi waliopatiwa chanjo hizo hapo awali...
  4. L

    Hatua kali za udhibiti wa maambukizi bado ni njia bora zaidi ya kukabiliana na COVID-19 nchini China

    Hivi karibuni, mlipuko wa wimbi jipya la COVID-19 katika miji kadhaa nchini China ikiwemo Shanghai na Beijing umefuatiliwa na vyombo vya habari na jamii ya kimataifa. Watu wengi wanashangaa kwamba, wakati kirusi kipya cha Omicron, ambacho kinaambukiza kwa kasi zaidi na bila ya sumu kali...
  5. L

    BRICS bado iko imara licha ya changamoto ya COVID-19 na mgogoro wa Ukraine

    Caroline Nassoro Janga la COVID-19 limekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa nchi mbalimbali duniani, kwani katika kudhibiti maambukizi, hatua kadhaa za lazima zilichukuliwa, ikiwemo kufunga shughuli za biashara na kijamii, jambo lilivuruga mwelekeo wa uchumi wa nchi mbalimbali na dunia kwa...
  6. Boss la DP World

    Suala la COVID-19, Rais Samia anaigiza?

    Ujue kuna mambo mengine ya ajabu sana hasa kwa mtu anayetumia akili vizuri kutafakari mambo. Juzi Rais Samia akiwa Kagera alihimiza kuhusu kichukua tahadhari zote za COVID-19 na akaenda mbali kuwataka wananchi wachanjwe. Leo ameonekana Oman akiwa hajavaa barakoa na anashikana mikono na watu...
  7. beth

    Marekani: Kanuni ya Wasafiri wa Kimataifa kupima COVID-19 yaondolewa

    Utawala wa Rais Joe Biden utaondoa Kanuni ya upimaji wa COVID-19 kwa Wasafiri wa Anga wanaoingia kutoka nje ya Nchi kuanzia Juni 12, 2022. Hatua hiyo itaondoa moja ya vizuizi vya muda mrefu vya kusafiri tangu kuanza kwa Mlipuko. Kanuni hiyo iliwekwa na Utawala wa Donald Trump mapema 2021 na...
  8. Winfrith Hikloch Ogola

    Covid-19 Gives a Jab to Forestry and Health Programmes in Tanzania

    Section of tropical forest at Gombe Island in Tanzania, the home of world famous Chimpanzees of Tanzania. The Tanzania Forest Services (TFS) reports indigenous plants that make tropical forests disappear at the rate of 10 percent a year. Traditional Medicine (TM) practitioners in the country...
  9. beth

    Maambukizi yaongezeka nchini, Dar es Salaam yaripoti visa 130

    Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya kuanzia Mei 05 - Juni 03, maambukizi mapya 161 yamerekodiwa ikiwa ni ongezeko la 137% ikilinganishwa na kipindi cha Aprili 02 - Mei 04, 2022 Dar imeripoti visa 130, Arusha (10), Mwanza (5), Shinyanga (4), Mtwara (3), Dodoma (2), Mara (2), Morogoro, (1)...
  10. beth

    Waziri Ummy Mwalimu: Ipo hatari ya kuingia wimbi la 5 la COVID-19

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Ugonjwa huo bado upo Tanzania na Wagonjwa wanashuhudiwa Hospitali. Kutokana na hali hiyo, kuna tishio la kupata Wimbi la Tano la Maambukizi Akizindua Mpango wa Global Vax amesema, "Tumepita katika Mawimbi manne ya UVIKO-19, tunaendelea kufuatulia kwa karibu...
  11. L

    Baraza la Afya Duniani kufuatilia COVID-19, Afya na amani

    Mkutano wa 73 wa Baraza la Afya Duniani (WHA) umeanza jana huko Geneva, Uswiss, ambapo utafuatilia masuala makubwa yakiwemo janga la COVID-19 na afya ya dunia inavyohimiza pendekezo la amani. Janga la COVID-19 linaendelea kuwa moja ya vipaumbele vya mkutano wa mwaka huu wa WHA ambao ni wa...
  12. JanguKamaJangu

    Korea Kaskazini: Maambukizi ya Covid-19 yawakumba zaidi ya Watu milioni 2

    Korea Kaskazini imeweka wazi kuwa imeanza kupata matokeo mazuri katika vita yake dhidi ya Ugonjwa wa Covid-19 lakini idadi ya walioambukizwa ikitajwa kuwa imefika zaidi ya watu milioni 2 Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol na Rais wa Marekani, Joe Biden ambao wanatarajiwa kukutana leo...
  13. Roving Journalist

    Ripoti mpya ya Covid-19 kwa Mwezi Aprili 2022, Dar yaongoza kwa wagonjwa wengi

    Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kuwa na visa vya watu 70 waliothibitika kuwa na ugonjwa huo. Katika...
  14. JanguKamaJangu

    Marekani: Waziri wa Mambo ya Nje akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Vipimo vimeonesha kuwa Antony Blinken ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutwa na maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19, ametakiwa kufanya kazi kwa njia ya mtandao. Licha ya maambukizi hayo, Waziri huyo alipata chanjo mara mbili na nyongeza ya kujikinga na ugonjwa huo. Msemaji wa...
  15. Lady Whistledown

    WHO yasema visa vya maambukizi vya Covid-19 vyaongezeka Afrika Kusini

    Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini Benido Impouma, Mkurugenzi wa Magonjwa ya yasiyoambukiza WHO-Afrika, Aprili 28, 2022 alisema, ndani ya...
  16. JanguKamaJangu

    WHO: Maambukizi na vifo vya COVID-19 vimepungua sana Afrika

    Idadi ya maambukizi ya Corona na vifo vinavyotokana na virusi hao vimepungua kwa kiwango kikubwa katika Bara la Afrika kwa mara ya kwanza tangu kuibuka kwa maambukizi hayo. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ripotiN yao ya Aprili 14, 2022, ambapo maambukizi...
  17. Analogia Malenga

    Kenya kutupa dozi 800,000 za Covid-19 zilizoisha muda

    Wizara ya afya nchini Kenya imetangaza kwamba muda wa matumizi wa zaidi ya dozi laki nane dhidi ya ugonjwa COVID-19 aina ya AstraZeneca umekamilika bila kutumiwa. Idadi ya watu wanaojitokeza kuchanjwa imepungua pakubwa baada ya serikali kulegeza baadhi ya masharti yaliyowekwa kudhibiti...
  18. Shark

    Mafuta ya kupikia yaadimika mitaani

    Kuna watu wanamhujumu Mheshimiwa Rais na pengine yeye hajui hili. Kwa sasa huku mitaani mafuta ni adimu sana, na pale ambapo yanapatikana basi bei yake haishikiki. Dumu/Ndoo ya Lita 20 iliyokua ikiuzwa TZS 70,000/- mwezi wa sita mwaka jana leo inauzwa TZS 140,000/- Aliekua Waziri wa Kilimo...
  19. Suley2019

    Obama akutwa na Covid-19

    Aliyewahi kuwa rais wa Marekani Barack Obama amekutwa na maambukizi ya corona baada ya kufanyiwa vipimo. Obama ametangaza kuwa na maambukizi hayo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. "Nimekutwa na covid. Nimekuwa nikiwashwa kwenye koo kwa siku mbili, lakini ninajisikia vizuri" alisema...
  20. Analogia Malenga

    Vifo vya Covid-19 vyafikia milioni 6 duniani kote

    Idadi rasmi ya watu waliokufa kutokana na COVID-19 inakaribia kuzidi watu milioni sita, wakati ambapo janga hilo linaloingia mwaka wake wa tatu, likiwa bado halijaisha. Takwimu zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, zinaeleza kuwa hadi Jumatatu watu 5,999,158 wamekufa kutokana na virusi...
Back
Top Bottom