covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    Dubai, UAE: Wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kusafiri nje kuanzia Januari 10

    Mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesema zitapiga marufuku Raia ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kusafiri nje. Waliopata chanjo kikamilifu wanatakiwa kupata ya nyongeza (Booster) ili kukidhi vigezo vya kusafiri Hata hivyo, marufuku hiyo itakayoanza Januari 10 italegezwa...
  2. L

    Umakini na kujali wengine vitasaidia kutokomeza Covid-19

    Fadhili Mpunji Katika kipindi cha kuelekea sikukuu ya Krismas kumetokea wimbi kubwa la maambukizi ya COVID-19 katika bara la Ulaya na Amerika ya kaskazini hasa Marekani. Wimbo hili limetajwa kutokana na virusi vya aina mpya vya Omicron, ambavyo vimetajwa kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa...
  3. beth

    Ufaransa yatangaza kanuni mpya kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia kazi nyumbani itakuwa lazima kwa angalau siku 3 kwa wiki kwa wale wanaoweza. Mikusanyiko ya ndani...
  4. L

    Nigeria yateketeza chanjo ya COVID-19 iliyokwisha muda wake

    Hivi karibuni, Nigeria iliteketeza dozi milioni 1.06 za chanjo ya COVID-19 ya AstraZeneca iliyokwisha muda wake. Wakati virusi vipya vya Corona Omicron vinaenea haraka duniani kote, jambo hilo lililotokea katika nchi ya Afrika, ambako kuna uhaba mkubwa wa chanjo na idadi ndogo ya watu waliopata...
  5. M

    Je, chanjo ya COVID-19 inachukua muda gani hadi kuanza kufanya kazi mwilini?

    Natarajia kuchanja chanjo ya COVID-19. Hivi inachukua muda gani mpaka kuanza kufanya kazi mwilini?
  6. L

    Ushirikiano na Juhudi za Pamoja ndiyo Suluhu kwa Afrika kupambana na Janga la Covid-19

    Mwaka wa 2021 janga la Covid-19 linaendelea kuathiri karibu sekta zote za uchumi na jamii duniani. Watu hawawezi kujizuia kuuliza, je dunia yetu bado ni mahali salama pa kuishi? Tangu kuripotiwa kwa virusi vya Corona barani Afrika, zaidi ya watu milioni saba wameambukizwa virusi hivyo, japokuwa...
  7. Analogia Malenga

    Rais Ramaphosa akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na Covid-19 na anatibiwa kwa dalili zisizo kali. Bw Ramaphosa alianza kujisikia vibaya siku ya Jumapili baada ya kuondoka katika ibada ya kumbukumbu ya Rais wa mwisho wa enzi za ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini FW De Klerk mjini Cape...
  8. J

    Ufuatiliaji wa usalama wa chanjo ya COVID-19 ni mchakato endelevu

    Ufuatiliaji wa usalama wa chanjo ni muhimu katika ngazi za kitaifa, kikanda na kimataifa. Baada ya chanjo yoyote kutambulishwa, WHO hufanya kazi na watengenezaji chanjo, maafisa wa afya, kamati za ushauri za kitaifa na washirika wengine kufuatilia maswala yoyote ya usalama kwa kila mara. Maswala...
  9. Sanyambila

    Madarasa kujengwa ndani ya mwezi mmoja inawezekana au ndo siasa?

    Wadau habari za majukumu Napenda nianze kwa kumpongeza Rais wetu Samia kwa kuona changamoto ya upungufu wa madarasa nchini Na ndiyo maana alipo pata pesa za IMF Kupambana na COVID-19 akazipeleka mashuleni kila wilaya kujenga madarasa mapya sasa maagizo ndo tatizo. Madarasa hayo yameamuriwa...
  10. DELETED ACCOUNT

    Nilimpinga Hayati Magufuli kwa mengi, ila kwenye COVID-19 labda alikuwa sahihi

    Binafsi sikuwa mfuasi wa sera, mitizamo na style za kuongoza za Rais Magufuli. Nilimpinga waziwazi na sikuacha kutoa nyongo pale nilipoona anafanya mambo ambayo siyo, hasa yale ya kutumia madaraka yake vibaya na kuvunja sheria alizoapa kuzilinda. Lakini lilipokuja suala ya ugonjwa wa COVID-19...
  11. K

    Ushauri Wangu Kuhusu Miradi Inayojengwa na Msaada wa Fedha za COVID-19

    Nimekuwa nikiona kupitia luninga jinsi viongozi wa Kata, Tarafa, Wilaya, Mikoa na hata Taifa wanavyohangaika na kukamilishwa kwa miradi hii. Walipewa agizo kuwa miradi hii iwe imemalizika katika muda wa miezi mitatu. Mimi binafsi natofautiana na agizo hili. Kwa Mhandisi anayejua maana ya ujenzi...
  12. kupe

    Maabara ya Taifa (COVID-19), wateja wakiulizia majibu au kuomba msaada sio uhalifu

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kwanza niwapongeze hapo maabara kwa kuweka namba za simu yaani customer care au kwa kizungu call center. Ili mwenye malalamiko au maswali apate Majibu. Sasa basi hapa ndio kuna tatizo. Hawa watu wa kupokea simu kutuona sisi wateja kama wahalifu au tunapoteza...
  13. Semahengere

    Tuna Serikali ya ajabu sana. Nchi inachafuliwa kwa COVID-19 huko India na mamlaka zimekaa kimya

    Hii nchi Ina laana kama balaa bluu. Tangu juzi India inalalamika kupokea watu wao wanaorudi kutoka Tanzania wakiwa na Omicron the latest COVID-19 na walipimwa huku wakawa Negative. Nashangaa hakuna mwenye dhamana anayejibu chochote. Watu wamekaa kimya na kisheria ukinyamaza Ina maana umekubali...
  14. beth

    Serikali: Hatujabaini Kirusi cha Omicron mpaka sasa

    Serikali imesema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi ili kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya COVID-19, ikiwemo Omicron na mpaka sasa haijabaini aina hiyo mpya ya Kirusi Imesema haijajulikana kama abiria kutoka Tanzania aliyeripotiwa kubainika na Kirusi...
  15. S

    We develop covid-19 antiretroviral drugs

    COVID-19 PANDEMIC PROBLEM STATEMENT Emerging variants of covid-19 pose a strong challenge to the current medications mostly vaccine. INSPIRED MECHANISMS ARV-based microbicides works by targeting HIV at different phase in its life cycles such as cell fusion which preventing the virus from...
  16. M

    Makao Makuu ya EU duniani yatoa dozi 115,200 kwa Tanzania bila Masharti

    Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU, Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure, Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu...
  17. J

    Usinywe pombe kupindukia baada ya kupata chanjo ya COVID-19

    Watu wamekuwa wakijiuliza endapo kama kuna madhara pale ambapo mtu atakunywa pombe siku au saa chache baada ya kupata chanjo ya COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema unywaji wa pombe baada ya Chanjo ya COVID-19 hauna madhara lakini ulevi wa kupindukia unaweza kupunguza ufanisi wa...
  18. J

    CDC: Hakuna madhara kupata chanjo za maradhi mengine kabla au baada ya chanjo ya COVID-19

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema watu waliopata chanjo ya COVID-19 wanaweza kupokea chanjo za maradhi megine. Mwitikio wa chanjo mwilini hautofautiani endapo mtu atapata chanjo ya aina moja au tofauti. ====== Getting a COVID-19 Vaccine with Other Vaccines People...
  19. Analogia Malenga

    Maambukizi Afrika Kusini yameongezeka maradufu. Visa 8,500 vyarekodiwa ndani ya saa 24

    Afrika Kusini imerekodi ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameongezeka maradufu kote nchini humo tangu Jumatatu. Maafisa wa afya wanasema aina mpya ya Omicron iliyogunduliwa inaweza kuwa inachochea kuongezeka, ingawa haijulikani wazi ni watu wangapi kati ya wenye...
  20. L

    Dunia inakabiliana vipi na janga la UKIMWI huku kukiwa na janga jingine kali zaidi la COVID-19?

    Na Pili Mwinyi Ugonjwa wa UKIMWI bado unaendelea kuwa tatizo kubwa ambalo linaathiri afya ya mamilioni ya watu duniani. Ingawa dunia imepiga hatua kubwa katika miongo ya hivi karibuni, lakini malengo muhimu ya mwaka 2020 duniani bado hayajatimizwa. Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya UKIMWI, kila...
Back
Top Bottom