#COVID19 Dakar, Senegal: Rais wa zamani wa Chad Hissene Habre afariki kwa COVID-19 akiwa gerezani

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,800
FILE - In this Friday, Nov. 25, 2005 file photo, former Chad dictator Hissene Habre gestures as he leaves a court in Dakar, Senegal. Chad's former dictator Hissene Habre, whose government was accused of killing tens of thousands and became the first former head of state to be convicted of crimes against humanity by an African court, has died in Senegal of COVID-19, aged 79, according to Senegalese officials Tuesday, Aug. 24, 2021. (AP Photo/Schalk van Zuydam, File)

Rais wa zamani wa Chad Hissene Habre, ambaye alikuwa akitumikia kifungo cha maisha nchini Senegal kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu, amefariki dunia.

Taarifa hiyo imetolewa leo Jumanne na Waziri wa Sheria wa Senegal Malick Sall alisema Jumanne. Habre alikuwa na miaka 79.

Ubalozi mdogo wa Chad umesema kuwa kiongozi huyo amekufa kwa Covid-19.

Habre, ambaye alitawala Chad kutoka 1982 hadi 1990, alihukumiwa kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya haki za kibinadamu katika kesi inayoungwa mkono na Umoja wa Afrika katika mji mkuu wa Senegal Dakar mnamo 2016.

Alichukua madaraka nchini Chad mnamo 1982, lakini alikimbilia Senegal mnamo 1990 baada ya yeye kupinduliwa.

Takribani watu 40,000 wanakadiriwa kuuawa chini ya uongozi wake.

Akiwa uhamishoni Dakar, Habre aliishi maisha ya kimya katika kitongoji maarufu na mkewe na Watoto, lakini mwishowe alikamatwa mnamo 2013 na kushitakiwa katika mahakama maalum iliyoundwa na Umoja wa Afrika (AU) chini ya makubaliano na Senegal.

===

The former president has died while serving a life term in prison for crimes against humanity. Local media reported that the 79-year-old died of coronavirus.

Hissene Habre, the former Chadian president, died on Tuesday, Senegal's justice ministry announced.

The 79-year-old Habre had been serving a life sentence in a Senegalese prison for war crimes and crimes against humanity. He died of COVID-19, local media reported.

"Habre is in his Lord's hands," Justice Minister Malick Sall said on television channel TFM.

An ally of the West during the Cold War, he was ousted in a coup in 1990, at which point he fled to Senegal. His 8 years in power were marked by a violent crackdown against dissent.

Habre's government's repression resulted in the deaths of 40,000 people, according to investigators.

A feared security service headed by members of Habre's Gorane ethnic group was allocated to every village in the country, recording all perceived transgressions against the regime, they said.

Offenses that merited arrest included speaking ill of Habre and listening to "enemy'' radio stations.

Death of a 'pitiless dictator'

The former leader of the landlocked central African country was sentenced during an African Union-backed trial in Dakar in 2016 for rape and ordering the killing of political opponents.

The ex-dictator was released on furlough for two months last year to protect him from catching coronavirus.

Reed Brody, a lawyer representing Habre's victims, told AFP that there had been calls to vaccinate him against the virus.

Habre will "go down in history as one of the world's most pitiless dictators, a man who slaughtered his own people to seize and maintain power," Brody said.

(AFP, Reuters)
 
Back
Top Bottom