covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Toleo jipya la Johnson & Johnson la dozi 2 ni madhubuti kwa 94% dhidi ya COVID-9

    Toleo jipya la Chanjo ya Johson & Johson la Dozi mbili ni madhubuti kwa 94% dhidi ya kirusi cha covid 19 na sasa chanjo hiyo inalinganishwa sawa na Chanjo ya Modena na Pfizer. --- A two-dose version of Johnson & Johnson's coronavirus vaccine provides 94% protection against symptomatic...
  2. J

    Fuatilia taarifa za COVID-19 kutoka katika vyanzo vinavyoaminika

    Kumekuwa na kasi ya usambaaji wa taarifa na propaganda nyingi kuhusu ugonjwa wa Corona, chanjo na virusi vipya vinapoibuka ulimwenguni. Propaganda hizo zimeibua nadharia nyingi na taharuki miongoni mwa jamii. Shirika la Afya ulimwenguni limefanya jitihada mbalimbali katika kudhibiti ueneaji wa...
  3. J

    Watu Wenye mahitaji maalum wasaidie kupambana na Covid-19

    Covid-19 ni janga ambalo ni hatari kwa watu katika jamii, lakini ni hatari zaidi kwa watu wenye mahitaji maalumu kutokana na hali walizonazo kuwafanywa washinde kutekeleza mambo muhimu ili kuchukua tahadhari ya janga hili. Wataalamu wa afya wanashauri watu wa karibu na wenye uhitaji maalumu...
  4. J

    Pata chanjo hata baada ya kuugua na kupona COVID-19

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Marekani (CDC) kinashauri kupata chanjo bila kujali ikiwa tayari ulikuwa na COVID-19 na ukapona. Ushahidi zaidi unaendelea kuibuka kuwa watu wanapata kinga bora kwa kupewa chanjo kamili ikilinganishwa na kinga mwili inayopatikana baada ya kuugua COVID-19. Utafiti wa...
  5. beth

    Ufaransa: Watumishi 3,000 wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutopata chanjo

    About 3,000 health workers in France have been suspended because they have not been vaccinated against Covid-19. A new rule, which came into force on Wednesday, made vaccination mandatory for the country's 2.7 million health, care home and fire service staff. But French Health Minister Olivier...
  6. beth

    UN: COVID-19 haikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi

    Umoja wa Mataifa umesema janga la virusi vya corona halikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi. Katika ripoti iliyotolewa na umoja huo leo Alhamisi, imearifiwa kuwa utoaji wa hewa chafu ya kaboni katika sekta ya viwanda ulibaki katika kiwango kile kile cha mwaka 2019. Kitengo cha hali ya hewa...
  7. M

    Aliyewadanganya kuwa ukipima Covid-19 Tanzania basi ukisafiri kwenda Nigeria haiwezekani ukakutwa nao ni nani?

    Pimeni leo hapo Muhimbili hiyo Covid-19 yenu ila mkifika tu Kwao nchini Nigeria 85% ya Wachezaji wenu watakutwa nayo na Kuna uwezekano Golini akakaa Hersi, Kiungo akacheza Haji na Ushambuliaji akamaliza Senzo huku Mzee Mpili akiwa ndiyo Kocha Mkuu wenu. Eti leo mnailaumu Simba SC kuwa ndiyo...
  8. K

    Maoni yangu binafsi kuhusu mkopo wa Trilioni 1.3 ya COVID-19

    Jana kwenye taarifa ya habari tulihabarishwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imepokea mkopo wa 1.3 trillioni ili kupambana na ugonjwa hatari ya Covid-19. Binafsi sisemi au sikatai mkopo huu ila nasema fedha hizi ni nyingi sana kwa ajili ya mkopo. Kama juzi juzi tulipokea dozi millioni...
  9. J

    UNICEF: Watoto wajibiwe kirafiki wanapohoji kuhusu chanjo ya COVID-19

    Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) linasema kuwa watoto wanapaswa kufahamu kinachoendelea kuhusu Chanjo ya COVID-19 na ni muhimu wapewe majibu ya kirafiki Kama mzazi ana hofu kuwa taarifa aliyo nayo inaweza kumstua mtoto, inashauriwa kutoonesha hofu hiyo kwani hisia za watoto...
  10. Roving Journalist

    Serikali yaahidi kusimamia kikamilifu mkopo nafuu wa shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na IMF kukabiliana na athari za UVIKO-19

    Na Ramadhani Kissimba, WFM, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Ncgemba (Mb), amewahakikishia Wanzania kuwa Mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 567.3 sawa na shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya...
  11. J

    UNICEF: Watoto wapewe taarifa sahihi kuhusu chanjo ya COVID-19

    Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) linasema ni vyema watu wazima wakawa na taarifa sahihi kabla ya kuzungumza kuhusu chanjo ya COVID-19 na watoto Inashauriwa pia kusikiliza maoni na mitazamo yao na kuzingatia hofu zao Ni vema wakaona wapo huru kueleza mitazamo yao kwa watu wazima...
  12. beth

    Ripoti: Ushahidi zaidi unahitajika kuhalalisha Chanjo za nyongeza

    Kundi la Wanasayansi wa Kimataifa limesema Chanjo za nyongeza (Booster shots) dhidi ya Virusi vya Corona hazihitajiki kwa Umma katika hatua hii ya mlipuko na ushahidi zaidi unahitajika kuzihalalisha Wameeleza hayo katika Ripoti iliyochapishwa na Jarida la The Lancet ambapo pia wamesisitiza...
  13. J

    Usichanjwe ikiwa bado unaugua au una dalili ya COVID-19

    Wataalamu wa afya kutoka Shirika la Afya Duniani wanashauri watu kutochanjwa ikiwa bado wanaugua au wana dalili za Covid-19. Jambo hili linajidhihirisha katika majadiliano kati ya Vismita Gupta Smith ambaye ni Mwandishi wa Habari na Dokta Soumumya Swaminathan. Daktari anaeleza kuwa Mgonjwa...
  14. The Sheriff

    COVID-19 cases, deaths drop despite third wave threats

    The Health ministry yesterday urged Ugandans to be vigilant, get vaccinated and be vocal in sharing correct and verified information to “reduce the chances of entering a third Covid-19 wave. The reported number of Covid-19 cases in the country has dropped by 10 percent in the last seven days...
  15. beth

    Afrika Kusini kulegeza kanuni za kudhibiti janga la Corona

    Rais Cyril Ramaphosa amesema Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko zitalegezwa kuanzia leo Septemba 13, 2021 kutokana na maambukizi kupungua. Amesema japokuwa Wimbi la Tatu ambalo limechochewa na Kirusi cha Corona aina ya Delta halijaisha, Taifa hilo limeshuhudia maambukizi yakishuka katika wiki...
  16. Lycaon pictus

    Kuna siku Watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili kuchanja

    Kwa hali ninavyoiona ya hii Korona kuondoka na watu, kuna siku watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili wapate chanjo. Nilienda kupata chanjo siku ya jumanne. Nilikuwa niko peke yangu na mtoa chanjo. Tulizungumza mambo kirefu sana. Nilikaa pale kama nusu saa hivi. Mbaya zaidi...
  17. J

    Utafiti: Asiyechanja hatarini kufa kwa COVID-19 mara 11 zaidi ya aliyechanjwa

    Utafiti mpya uliofanywa na Kituo Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) unaeleza kuwa chanjo ya Covid-19 bado ina umuhimu mkubwa katika kudhibiti homa kali na vifo vinavyotokana na Covid-19. Aidha, inaelezwa utafiti huo ulichunguza visa 600,000 kutoka katika Majimbo 13...
  18. J

    Usiweke hadharani kadi yako inayokuthibitisha kuchanjwa

    Ni muhimu na ni haki kwa kila anayechanjwa kuwa na kadi maalumu inayotambulika na kumthibitisha kuwa amchanjwa. Unashauriwa kuitunza na kuihifadhi kadi hiyo kwa sababu inakuwa na taarifa zako muhimu na za siri kama vile majina yako kamili, tarehe yako ya kuzaliwa na eneo ambalo alipatiwa...
  19. J

    CDC: Pata chanjo ya COVID-19 iliyoidhinishwa katika eneo unaloishi

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema Chanjo za #COVID19 zilizoidhinishwa kwa sasa ni salama na zenye ufanisi. CDC inasema uamuzi muhimu zaidi kwa kila mtu ni kupata chanjo ya #COVID19 haraka iwezekanavyo kwani chanjo kuwafikia watu wengi ndiyo njia sahihi ya kumaliza...
  20. J

    Chanjo ya COVID-19 haiondoi uwezo wa kupata watoto

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini Marekani (CDC) imesema kuwa ikiwa unajaribu kupata ujamzito sasa au baadaye, unaweza tu kupata chanjo ya COVID-19 inayopatikana katika eneo lako kwani ushahidi kwamba chanjo ya COVID-19 husababisha shida yoyote kwa mchakato wa kupata ujauzito au...
Back
Top Bottom