covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Benki ya damu na chanjo ya COVID-19

    Wataalam tusaidieni. Hivi ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa chanjo ya Covid wakati wewe hujachanja je, damu hiyo mpya haiwezi kuhamia kwenye damu yako na chanjo ile kwamba huna haja ya kuchanja tena? Kwa kuwa sayansi ya tiba iko kimya kwenye hilo, najaribu kujifikirisha kwamba endapo...
  2. BAK

    Michael Jordan weighs in on NBA's COVID-19 protocols, vaccinations: 'I'm a firm believer in science'

    Michael Jordan weighs in on NBA's COVID-19 protocols, vaccinations: 'I'm a firm believer in science' Michael Jordan faced criticism during his playing career for his apolitical views, but the NBA legend didn't hesitate to share a strong stance on the league's COVID-19 protocols. During an...
  3. beth

    Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima kumwakilisha Rais Samia kwenye Kongamano Nchini Urusi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la tatu la Kimataifa la Wanawake litakalofanyika nchini Urusi kwa siku tatu kuanzia Oktoba 13-15, 2021...
  4. J

    Namna Walimu na Wanafunzi wanavyoweza kujiweka salama dhidi ya Covid-19 katika mazingira ya shuleni

    Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus. Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia...
  5. J

    Afya ya akili yako ni muhimu katika kupambana na COVID-19

    AFYA YA AKILI YAKO NI MUHIMU KATIKA KUPAMBANA NA #COVID19 Shirika la Afya Ulimwenguni linaeleza kuwa afya ya akili ni miongoni mwa jambo la msingi katika kupambana na janga la #coronavirus. Inaelezwa kuwa athari za janga la Corona linaweza kuzalisha hisia za wasiwasi, woga na msongo wa mawazo...
  6. Bratherkaka

    Naomba kujuzwa jinsi ya kupata certificate of COVID-19 Vaccination

    Guys, Nimepata Choja ya covid19 week ya kwanza tu ya utojia, Hadi leo sijapata message ya kupata cheti, Naona wanaona choma hivi karibu wanapata message zina link ya cheti, Njia gani naweza pata cheti, nimeangalia kwenye website ya wizara ya afya bila mafanikio. Help me out. Thanks
  7. Analogia Malenga

    Moderna yalaumiwa kupeleka chanjo nchi tajiri kuliko kwa nchi zinazoendelea

    Ripoti katika gazeti la New York Times inasema kwamba watengenezaji wa chanjo ya Moderna wamekuwa wakitoa chanjo zao kwa mataifa tajiri tu. Ripoti katika gazeti la New York Times inasema kwamba watengenezaji wa chanjo ya Moderna ya virusi vya corona ambayo inaonekana kuwa kinga bora zaidi...
  8. beth

    Waziri Mkuu: Uchanjaji sio lazima lakini ni muhimu

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema licha ya kwamba dalili za mlipuko zinaonekana kuwa nzuri, bado tatizo lipo hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kujikinga. Ameeleza, "Tuendelee kuwasikiliza Wataalamu wetu wa Afya, na yale masharti yote tunayotakiwa kufuata ni muhimu kufanya...
  9. winnerian

    Chance That COVID-19 Vaccines Are Gene Therapy? 'Zero'

    uly 19, 2021 -- There are lots of unfounded fears about the COVID-19 vaccines floating around, and one of the most pervasive is the idea that these new shots aren't really vaccines, but that they will somehow change your genes or insert themselves into the DNA of your cells. You may see people...
  10. J

    Serikali: Watu zaidi ya laki 5 wamepata chanjo ya COVID-19, mikoa iliyofanya vizuri ni Katavi, Lindi na Mtwara!

    Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema hadi sasa watanzania zaidi ya laki tano wamepata chanjo ya covid 19 ambayo ni 51% ya chanjo zilizopokelewa. Mikoa iliyofanya vizuri ni Katavi, Lindi na Mtwara, amesema!
  11. Analogia Malenga

    Kenya: Vifo vilivyotokana na COVID-19 vyafikia 5,128

    Kenya imepata jumla ya maambukizi 249,725 tangu kuripotiwa kwa Virusi vya Corona nchini humo. Vifo vya Corona vimefikia 5,128 kwa takwimu walizotoa Oktoba 1 Hadi kufikia sasa watu 241,828 wamepona wakati watu 963 wakiwa bado hospitalini na wengine 2,078 wakitibiwa majumbani mwao Wagonjwa 61...
  12. Cannabis

    Waziri Dorothy Gwajima aagiza Baraza la Madaktari kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa wa COVID-19

    Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari (MAT) kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa na chanjo dhidi ya UVIKO19. Amesema atakayeshindwa kuthibitisha taarifa zake atachukuliwa hatua, lengo likiwa ni kudhibiti upotoshaji.
  13. J

    Zingatia haya unapomuuguza mgonjwa wa COVID-19 nyumbani

    Mtenge mgonjwa katika chumba cha peke yake, mgonjwa ale au alishwe katika chumba chake. Vaa barakoa kila unapoingia chumba cha mgonjwa. - Safisha vyombo vyake kwa maji ya moto ukiwa na glovu, usitumie vyombo vya mgonjwa - Safisha mikono yako baada ya kumhudumia - Kuwa na mawasiliano ya...
  14. J

    Funika pua na mdomo wako unapokukohoa au kupiga chafya ili kuzuia ueneaji wa Covid-19

    Kufunika pua na mdomo wakati wa kukohoa, kupiga chafya na kuongea kunapunguza kasi ya ueneaji wa #coronavirus. Unashauriwa kufunika pua na mdomo kwa kitambaa safi au Kisugudi 'elbow' na kisha ukisafishe au kukitupa ili kuwakinga wengine dhidi ya maambukizi ya corona. Zaidi ya hayo, unashauriwa...
  15. J

    Watoto waonywe kwa lugha rafiki wanapokosea kujikinga na Covid-19

    Watoto ni miongoni mwa kundi mahsusi ambalo linahitaji uangalizi na kusaidiwa katika kuchukua tahadhari na kupambana dhidi ya Covid-19 Wataalamu wa Saikolojia wanashauri kuwa ukiona mtoto amefanya tabia hatarishi katika kijikinga na #coronavirus usikae kimya wala usichukue uamuzi usiofaa...
  16. J

    Zingatia usafi wa barakoa wakati wa kujikunga na Covid-19

    Uvaaji wa barakoa ni miongoni mwa tahadhari muhimu inayosisitizwa katika kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona. Wataalamu wa Afya wanahimiza usafi wa mara kwa mara katika barakoa inayotumika kujikinga dhidi ya maambukizi ya Corona. Inaeleza kuwa barakoa huweza kuchafuka kutokana...
  17. Sam Gidori

    Nchi 15 zisizo na maambukizi ya COVID-19 duniani

    Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa UVIKO19 katika jimbo la Wuhan nchini China, maambukizi ya virusi hivyo yamepindukia visa milioni 200 huku zaidi ya watu milioni 4.5 wakipoteza maisha. Kubadilika kwa aina za virusi vya corona kama Alpha, Beta, Delta nk., kunaongeza chumvi...
  18. beth

    Museveni opens places of worship, keeps schools shut

    President Museveni on Wednesday ordered for the reopening of places of worship but with strict adherence to the Standard Operating Procedures (SOPs) to avoid further spread of coronavirus. “Places of worship can now open under strict guidelines like; limiting the number to 200 people and...
  19. J

    Unapohisi dalili za Covid-19 nenda kituo cha afya kupima usijitibu

    UNAPOHISI DALILI YA #COVID19 NENDA KITUO CHA AFYA USIJITIBU Wataalamu wa Afya wanashauri pindi unapohisi dalili za Corona nenda kituo cha afya ukapime badala ya kuanza kunywa dawa na kujaribu kujitibu. Inaelezwa kuwa miongoni wa dalili hizo ni pamoja na kupata shida wakati wa kupumua, kupata...
  20. J

    Covid-19 na malezi ya watoto: Mpongeze au mzawadie mtoto wako pindi atakapochukua tahadhari

    Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari. Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari...
Back
Top Bottom